Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Saed Kubenea - Imechapwa 01 February 2012 MSIMAMO wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu marekebisho ya sheria ya katiba sasa uko njiapanda, imefahamika jijini Dar es Salaam. Kile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa za habari jioni hii, mashitaka dhidi ya wanaharakati akina mama Kijo-Bisimba, Ananilea Nkya na wengineo yamefikishwa kwa Mwanasheria Mkuu. Vielelezo ambavyo vimekamatwa ni...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
:flypig:Raisi michael Sata wa zambia ameishukia sekta ya madini nchini humo na kuwambia wakezaji kuwa wazawa wote wenye elimu sawa na wageni walipwe mishahala sawasawa kama haiwezekani basi wageni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF wenzangu napenda kukishukuru CDM kwa chachu kiliyoleta ndani ya Bunge na serikali iliyo likizo ya CCM, Lakini ninakuwa na hofu juu ya utendaji ama uwajibikaji wa baadhi ya wabunge wetu...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Ukiacha hoja za TL kwamba haukujadiliwa (i.e. mara ya kwanza na pili), naomba kwa dhati kabisa ubaya wa muswada huo kama ulivyo sasa, na pengine utaratibu gani ndio ungeleta katiba nzuri?? kwanini...
0 Reactions
76 Replies
5K Views
kutokana na matokeo ya Uchaguzi uliofanyika uzini, ukweli ni kuwa chadema wamezidi kuanguka na sio kuipiku CUF kama ilivyokuwa ikinadiwa hapa. haya ni maneno ya Jussa alioandika kwenye facebook...
4 Reactions
169 Replies
11K Views
YEAR 2010 2012 % drop CCM 6651 5377 -23.7 CAHADEMA 617 281 -119.6 CUF 524 223 -135.0 Nwaomba mnisamehe sana wana JF najua hesabati...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF napenda kuwaomba sana tuliiangalie hili kwa wabunge wa CHADEMA vijana,wabunge hawa wamekuwa wapambanaji wazuri sana Bungeni kwa umoja wao,mipango yao,na Upambanaji wao Bungeni ki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iowa State University no will longer participate in an advisory capacity on a controversial agriculture project in Tanzania, the university announced Friday. The large-scale agricultural...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana JF wote salaam sana Nimekaa na kutafakari sana kwanini watu hawaitaki CCM tena kwenye maisha yao. Pamoja na tabu na ugumu wa maisha kwa watanzania unaotokana na Uzembe,upuuzaji na Ufisadi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi. Hatimaye nyongeza ya posho za vikao vya wabunge kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 zimefutwa, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema. Kauli hiyo rasmi kutoka kwa kiongozi wa Bunge...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Dear Ethinkers Resonate Consulting Group LTD has organized intensive CISA review course at a very reasonable and affordable cost for candidates, who would like to sit CISA exam in June 2012. The...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilibahatika kuwepo hapa Dodoma kwa muda wa majuma manne. Kwa kipindi nilichokuwepo katika mji huu wa Dodoma yapo mambo mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine na pamoja na kuwa yanajulikanwa na...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni mabadiliko makubwa katiba ya CCM Viongozi wastaafu kuwa na baraza lao Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nilipita mahakamani majira ya saa 3asb kesi ilikuwa bado kutajwa,ila wafuasi wa cdm walikuwa nyomi,MWENYE TAARIFA ATUJUZE KILICHOJIRI KTK USHAHIDI.vp Nanyaro upo wapi?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Upo msemo kwamba dalili njema huonekana asubuhi. Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wake uliomalizika juzi limeonyesha ukomavu, umoja na mshikamano baada ya kufikia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanachama 1,328 wamekihama CUF kwa maelezo kwamba wamerithiswa na kauli ya Hamad Rashid kwamba chama kinaongozwa Kisultani. Kwaheri See you F. Source: Nipashe
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam kwa Malaria Sugu, Rejeo, Ritz, Faizay Fox, Barubaru na wengine wanaoamini katika udini. Tumeaminishwa kwamba chadema ni chama cha wakristo lakini kimeshika namba 2 kwenye uchaguzi wa jimbo...
11 Reactions
167 Replies
11K Views
GreatThinkers, Nina jambo la kusema linaniumiza kichwa kwa baadhi ya wasomi tuliowaamini na kuwapa dhamana ya uwakilishi. Wanajitahidi kutumia usomi na utaalamu wao kuumiza vichwa ili mikataba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninaomba nipewe ukweli kati ya rais jk waziri mkuu kayanza spika makinda naibu spika job ndugai na katibu wa bunge kashilila ni yupi kati yenu anayesema ukweli wananchi huku sisi tumebaki midomo...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Back
Top Bottom