Nataka kumng'oa Vita Kawawa (jimbo la Namtumbo) kupitia CHADEMA... Ushauri pls!

Kawawa yupo Dar, wewe Kisaka uko Arusha. Wote mnataka ubunge Namtumbo, ila walau yeye anao mkononi. Nitakupa data za kukusaidia kidogo baadae, ila sasa unatakiwa uwepo huko, sasa wewe Mangi unaendeshaje kampeni mbali kote huko?
 
Toka Arusha ukapige kambi Namtumbo uanze kutoa elimu ya uraia kwa kushirikiana na uongozi wa CDM ulioko huko...mfungue matawi jimboni kote...hakika 2015 jimbo utalichukua kiulaini.
 
arusha unafanya nini mkuu?kama kweli upo seriuos wasiliana uongozi wa chadema makao makuu ili wakupe support'vile vile jitahidi kurudi jimboni kuwa karibu na wanchi kule pia itakuwa jambo la maana kwa chadema kwani tunaitaji watu kama wewe kukijenga chama'sasa issue kama unafanya kazi arusha litakuwa swala la chama kuangalia utafanyaje
 
Mkuu arusha nipo kikazi tu ila ni mtu wa Wilaya ya namtumbo na ninaijua vema, Ok, nitafanyia kazi maoni yako mkuu, na kwa sasa nimebaini hakuna matawi mengi ya chadema hivyo elimu ya uraia ni muhimu sana kwa wananchi
 
Toka Arusha ukapige kambi Namtumbo uanze kutoa elimu ya uraia kwa kushirikiana na uongozi wa CDM ulioko huko...mfungue matawi jimboni kote...hakika 2015 jimbo utalichukua kiulaini.

Asante mkuu kwa ushauri, Nitawasiliana na Makao makuu ili kuona uwezekano wa kujenga ngome huko namtumbo!
 
Jitahidi kijana. Huyu vita hana maana, hana hoja. Matatizo kibao mkoa huu wala hawapigi kelele: mahindi yanawaozea wananchi nyumbani, umeme ndio hauleweki ni afadhali walio ktk grid ya taifa. Wako bungeni utadhani wote ndio serikali..wabunge wa mkoa wa Ruvuma ni hasara mtupu. Wanamajina makubwa lakini hakuna kitu.
 
Mkuu,kwa moyo mmoja nakuambia nenda Namtumbo ukalikomboe jimbo lile!.
Lakini kwanza wasiliana na CDM makao makuu na wakupe ridhaa na miongozo stahiki.
Binafsi majimbo ya Tunduru na Namtumbo yananisikitisha sana! yaani watu wamepigika kule
usisikie....nimewahi ishi wilaya ya Tunduru na nilijionea mwenyewe' ila hapo namtumbo huwa napita tu.
All the best mkuu!
 
******* lazima yang'oke tuu....Wahi baba Wahi hujachelewa, haijalishi uko wapi Wewe jipange Tia timu namtumbo lazima ujipange coz siku zote hakuna gamba linalong'oka kwa urahisi.
 
Jitahidi kijana. Huyu vita hana maana, hana hoja. Matatizo kibao mkoa huu wala hawapigi kelele: mahindi yanawaozea wananchi nyumbani, umeme ndio hauleweki ni afadhali walio ktk grid ya taifa. Wako bungeni utadhani wote ndio serikali..
 
Acha ufa-- hung'oi bali sema nitagombea kwa kua wakati unagombea jimbo litakua wazi yaani vita atakua sio mbunge,au anaweza asigombee
 
Hebu tafuta timu ya vijana kule uwape logistic wamwage sumu ya cdm kule,afu kama ulivyoshauriwa pita makao makuu na pia tafuta bendera na vijikadi.anza sasa na usihofie gharama.
 
Back
Top Bottom