Beno kajitoa ubunge EAC, Sasa Millya na Bashe kupelekwa

Jan 21, 2012
49
8
Baada ya kamanda mkuu wa Lowasa na mwanaye Fred maarufu ndani ya UVCCM kwa jina Uday (mtoto wa Saddam) kwenda na kijana wao Bashe Dodoma wakati wa bunge, kujaribu kupiga kampeni ya kumsaidia Benno malisa aungwe mkono na vijana wa CCM wabunge kugonga mwamba, hatimaye maelekezo yametoka kwamba Benno ajitoe mara moja na nafasi yake ndani ya kundi lao itachukuliwa na Bashe na Millya.

kwa maana hiyo wagombea wapya wa kundi la Edward Lowasa ni Hussein Bashe na Millya
 
Kama millya anashindwa kuzungumza mahakamani ktk kesi alomshitaki ole sendeka na kutetemeka,pumzi tumboni je ataweza kuzungumza na kutetea hoja za nchi eac
 
Millya Ana ambitions Kubwa sana za kutaka uongozi tatizo Ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na kupambanua mambo nilikuwa mpambe wake wa karibu wakati akigombea urais wa serikali ya wanafunzi tumaini iringa na madudu aliyoyafanya akiwa rais hadi sisi tulijuta angekuwa Hana pesa angepinduliwa.. Hata kwenye uchaguzi aw UV CCM Mkoa aw Arusha alikuwa ni hopeless nguvu ya ziada isingetumika asingeshinda, tukaenda naye Simanjiro kura za maoni akawa a nafanya tofauti na maelekezo ya campaign team yake kwa kifupi ni JK type of leader.. Ni legelege mno asiyejiamini ila Kama bado watu wataendeleza njaa ka zangu na wenzangu ambao tulikuwa wapambe wake huku tukijua uwezo wake duni atashinda ubunge wa E.A believe it or not
 
naona hatuangalii competence na uwezo wa watu kutuwakilisha na kusimamia maslahi yetu kikamilifu ndani ya EAC, badala yake tumeweka mbele siasa za makundi zisizokuwa na tija...
 
Baada ya kamanda mkuu wa Lowasa mwanaye fred maarufu ndani ya UVCCM kwa jina Uday(mtoto wa saddam) kwenda na kijana wao Bashe Dodoma wakati wa bunge, kujaribu kupiga kampeni ya kumsaidia Benno malisa aungwe mkono na vijana wa CCM wabunge kugonga mwamba, hatimaye maelekezo yameyoka kwamba Benno hajitoe mara moja na nafasi yake ndani ya kundi lao itachukuliwa na Bashe na Millya.kwa maana hiyo wagombea wapya wa kundi la Edward Lowasa ni Hussein Bashe na Millya

Wote hawafai labda wakajaribu fani nyingine.
 
Kama Tanzania inataka iheshimiwe na wenzetu katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki it is high time wabunge wetu wakawa serious na kuacha njaa zao na siasa za makundi ,kwani wenzetu hupeleka watu wenye proper education na wazalendo na wenye experience!! Sasa kama Lowassa anataka kuleta siasa zake za makundi na kuwahonga hao wabunge ili nchi yetu ikawa represented na hao vilaza Millya na Bashe basi ajue toka sasa kuwa wabunge wa sasa hawataunga mkono ujinga wake kama vile walivyomuangusha crony wake Ole Medee uchaguzi wa wabunge wa East Africa uliopita inspite of kutumia fedha nyingi sana!! It is important to put national interests instead of personal ambitions.
 
..we need to send our best brains kwenye bunge la Afrika Mashariki.

..ikiwezekana kuwe na kamati ya kitaifa ya vyama vyote vilivyoko bungeni kuhakikisha tunapeleka watu wa maana kwenye bunge la Afrika Mashariki.

..kupeleka watu kama Bashe na Millya kwa kweli itakuwa makosa makubwa--suicidal!!!
 
Millya Ana ambitions Kubwa sana za kutaka uongozi tatizo Ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na kupambanua mambo nilikuwa mpambe wake wa karibu wakati akigombea urais wa serikali ya wanafunzi tumaini iringa na madudu aliyoyafanya akiwa rais hadi sisi tulijuta angekuwa Hana pesa angepinduliwa.. Hata kwenye uchaguzi aw UV CCM Mkoa aw Arusha alikuwa ni hopeless nguvu ya ziada isingetumika asingeshinda, tukaenda naye Simanjiro kura za maoni akawa a nafanya tofauti na maelekezo ya campaign team yake kwa kifupi ni JK type of leader.. Ni legelege mno asiyejiamini ila Kama bado watu wataendeleza njaa ka zangu na wenzangu ambao tulikuwa wapambe wake huku tukijua uwezo wake duni atashinda ubunge wa E.A believe it or not

Umezidi kunifurahisha mkurugenzi,,,,,hasa hapo kwenye kipengele cha njaa ka zako na wenzako!
 
Hata Rwanda watatuona hopeless Rgional wise kama ISRAEL wanavyotuona IRRELEVANT Global wise
Ni vijana.... SAWA! lakini hawana COMPETENCE KABISA. E. A wanahitajika watu kama MNYIKA, ZITTO, JANUARY ..sio hawa MAZEZETA.
Millya yule Ignorant ataongea nini East Africa, eti Beno mmmhh, Labda Bashe kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
dinamarioooooooooooooooooossssssssssssssssssssssssss aiaiiiiiiiiiiiiiiiiaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Safari hii kuna umuhimu wa kufanya mambo kitaalamu ili tupate wawakilishi wa kweli na sio wenye vyeti bandia vya kugushi !! Ni lazima ifanyike due dilligence na kamati maalum ya bunge preferably na ile ya mambo ya nje ili kujua wenzetu kama Rwanda wanapeleka wawakilishi wenye hadhi gani hasa kielimu. Kuna watu wengi hapa kwetu wenye weledi wa kuweza kutoa challenge nzito katika bunge la Afrika Mashariki ili mradi wabunge waache ushabiki wa makundi na siasa bali waweke utaifa mbele kwani wanaochaguliwa ni wabunge wanaowakilisha wanannchi wote!! Hasa ccm chama chenye mpasuko wa makundi ndio inawabidi wasahau tofauti na uhasama wao na wajikite katika kupata wabunge wenye weledi,wazalendo na wanaoweza kuwatumikia wananchi. Hasa Lowassa aachane na siasa za kutaka kusponsor vilaza kama Bashe na Millya akiamini kuwa fedha zake atawahonga wabunge na kuwavusha hao vikaragosi wake; kufanya hivyo itakuwa going against the national interest na itamharibia muonekano wake kwa wananchi kuwa he takes personal parochial interests and not the national interests at heart
 
Kama watepelekwa hao jamaa..........basi ni bora kufa kuliko kushuhudia fedheha ya kitaifa kama hiii
 
1. Jack of all trade master of none
2. He who touches everything will grab nothing at the end of the day
 
Ningeshauri kama inawezekana JF isaidie katika kuhakikisha kuwa some of our competent members wanashawishiwa kuchukua form ili kugombea ubunge wa Afrika Mashariki na wakiteuliwa na vyama husika tuwaunge mkono through our network kuhakikisha wabunge hawafanyi ujinga wa kuwachagua watu watakaonunua au kununluiwa kura na sponsors wao!!
 
Safari hii kuna umuhimu wa kufanya mambo kitaalamu ili tupate wawakilishi wa kweli na sio wenye vyeti bandia vya kugushi !! Ni lazima ifanyike due dilligence na kamati maalum ya bunge preferably na ile ya mambo ya nje ili kujua wenzetu kama Rwanda wanapeleka wawakilishi wenye hadhi gani hasa kielimu. Kuna watu wengi hapa kwetu wenye weledi wa kuweza kutoa challenge nzito katika bunge la Afrika Mashariki ili mradi wabunge waache ushabiki wa makundi na siasa bali waweke utaifa mbele kwani wanaochaguliwa ni wabunge wanaowakilisha wanannchi wote!! Hasa ccm chama chenye mpasuko wa makundi ndio inawabidi wasahau tofauti na uhasama wao na wajikite katika kupata wabunge wenye weledi,wazalendo na wanaoweza kuwatumikia wananchi. Hasa Lowassa aachane na siasa za kutaka kusponsor vilaza kama Bashe na Millya akiamini kuwa fedha zake atawahonga wabunge na kuwavusha hao vikaragosi wake; kufanya hivyo itakuwa going against the national interest na itamharibia muonekano wake kwa wananchi kuwa he takes personal parochial interests and not the national interests at heart

Lowassa ni extreme self interested individual...
 
Back
Top Bottom