Tujikumbushe walio bungeni isivyo halali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe walio bungeni isivyo halali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by emalau, Feb 10, 2012.

 1. e

  emalau JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Katika uchaguzi uliopita kuna watu waliweza kuingia bungeni bila matakwa ya wananchi, naomba tusisahau hili maana wabongo huwa tunasahau haraka, naanza kuaja mmojawapo
  (1) Gozibert Blandes wa karagwe aliyetangazwa kwa mtutu wa bunduki na kusindikizwa uwanja wa ndege chini ya ulinzi mkali,

  Naomba kuwakilisha.
   
 2. L

  Lua JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  makongoro mahanga, aliiba mabox ya kura na kujiongezea kura za kutosha.
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Peter selukamba - Kigoma mjini,Kilaza Mkeketa - Kilombero
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Steven wasira,bwana usingizi wa bunda
   
 5. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 529
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 80
  kuna yule wa shinyanga mjini jina limenitoka,stephen .....
   
 6. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Jumanne Abdala Maghembe - Jimbo la Mwanga. alianzia kura za maoni Waniccm waliopiga kura za maoni ni 18,000 waliomchagua ni 12,781 na leo hii baada ya mwaka mmoja kwa mujibu wa dafatri la Wanachama wa CCM lililohakikiwa juzi tarehe 18 January 2012 lina wanachama 9,000! tu
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Shinyanga mjini,steven maselle
   
 8. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  no more room for them 2015 naamin wote wanaodeserve ndio watakao chukua majimbo though mipango ya ccm ya kuchakachua najua kua inaendelea up to now
   
 9. k

  kicha JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  unaishi tz wewe mtoa mada au? labda umekosea, ni halali na wala si harali
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu ngoja nikusaidie wale wasiomfahamu wamjue kuwa ni yupi unayemzungumzia:
   

  Attached Files:

 11. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280

  amekuelewa
   
 12. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kuwaelewa baadhi ya wana JF, kwa nini hawawezi kuandika kiswahili fasaha na sanifu au ndio wale waliotoka shule za kata?

  HAWAFAI HATA KUWA WAHUDUMU WA OFISI
   
 13. l

  luckman JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  kaka fredrick upo?naona id yako ni mtuchake, hahahahahhahahhahha!
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ANNA KILANGO MALECELA aliiba kura na akafunguliwa mashtaka
   
 15. MANI

  MANI Platinum Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Sasa Mjomba hao wengine wlikuwa maruhani?
   
 16. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hao wengine 3,781 sio lazima wawe ccm, hukumbuki wale wa pilau, t-shirt, kanga na kofia?
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dr Hadji Mponda, Ulanga Magharibi, alimachakachua Prof Mlambiti akisaidia na Bi Kombani
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  FANUEL NTABALIBA a.k.a OBAMA, KASULU MAGAHARIBI
   
 19. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Dr. Koka pale Kibaha mjini alichakachua kura za yule dogo wa CDM.
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yule jamaa kibaha somebody koka nahisi mwizi mbaya.Aliiba hadi kura za raisi ajiongezee yeye manake za ubunge hazikumtosha
   
Loading...