Mgogoro ndani ya chama na kushuka kwa cuf katika chaguzi mbili bara na visiwaani na kupanda kwa chadema katika chaguzi zote,
inaweza ikawa ni mwelekeo mbaya kwa cuf na kufifisha matumaini yao...
Do you think you have what it takes to become successful in politics? There are those that ponder what they would do if they were given the opportunity, but very few people actually succeed at...
Kitendo cha Naibu katibu mkuu wa CuF kulalamikia matokeo ya kidato cha nne eti wanzanzibari wanabaguliwa kwa kuwa katika shule kumi bora ya Zanzibar ni moja tu (Lumumba sekondari) na eti shule...
TAARIFA KWA UMMA
RATIBA YA CHADEMA YA UCHUKUAJI FOMU NA UTEUZI WA MGOMBEA WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Baada ya kupokea taarifa za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), juu ya...
MWENYEWE ALITOA SH2 MILIONI, SHEKIFU, OLE SENDEKA NAO WALICHANGIA
Peter Saramba, Arusha
MMOJA wa wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara...
Vyama vya CCM na CHADEMA vimetambiana kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru mashariki. Kwa upande wa CCM, Katibu wa itikadi na uenezi NAPE NAUYE amesema kuwa watani zao...
Tunafahamu kwamba mzee Kingunge ni miongoni mwa makada na wanasiasa wakongwe wa CCM. Kwa mujibu wa mzee Kingunge kikao kilichokaa kupitisha mabadiliko ya katiba hakikuwa na mamlaka ya kikatiba ya...
Paschally Mayega
RAIS wangu maneno nitakayoyaandika hapa, si maneno yangu. Ni moja kati ya nukuu nyingi zilizoandikwa katika mabango tofautitofauti yaliyokuwa yamebebwa na wanaharakati...
KINGUNGE ADAIWA KUPINGA, ASEMA HAYALENGI KUBORESHA MFUMO WA CHAMA
Midraji Ibrahim, Dodoma
SIKU moja baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitisha mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1977 juu ya namna...
Toa maoni juu ya statement hii kwa kurejea maaumuzi na maagizo mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda. e.g kilimo kwanza, kupiga marufuku ununuzi wa mashangingi (Magari ya kifahari), ununuzi wa thamani...
MBUNGE CHIKU ABWAO ANUSURIKA KUFA AJALI YA GARI
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha Demokrasia na maendeo (Chadema) Chiku Abwao amenurika kifo baada ya gari lake lenye...
Taarifa ya habari tbc imeonesha jinsi vijana yaani wanachuo cha walimu songea waliokwenda kumwangukia mkuu wa mkoa wa ruvuma mwambungu.hii ni baada ya kugomea kufanya mtihan wa somo ambalo...
Wakuu wangu naombeni kwa moyo mmoja kabisa mnisaidie kwenye hili,siku hizi hatupati zile tv za ITV na Star tv, na nyinginezo, tuinapata TBC na radio zao peke yake.
Kasa tumeonyeshwa huyu mkuu...
Kuhusu Kauli za Sekretariati
ya Maadili ya Viongozi wa
Umma Kufuatia Sekretariati ya
Maadili ya Viongozi wa Umma
kutangaza katika vyombo
mbalimbali vya habari tarehe
15 Februari 2012 kwamba...
Ilikuwaondoa wote wanao shindwa kufanya kazi wanawaza uRais!!
Tuchague wabunge tu alafu chama chenye wabunge wengi wachague wazir mkuu(ndie awe mtendaji mkuu)atokane na ubunge
Wakatabahu...
Salaam wana jamvi,
Nadhani hii ilipaswa kwenda kwenye jamiiphoto lakini kufuatana na maudhui yake, nimeileta hapa kwenye siasa kwa maana ina-reflect hali halisi zilivyogeuka ukilinganisha na hapo...
Nikuanzia tarehe 03-05 Machi,2015 ni Geita Mjini,kata ya Nkome na Buselesele:Mnyika,Mdee,Zito,Lema,Silinde,Wenje,Higness nk.Kifupi ni wabunge wote vijana kupitia CHADEMA(wakuchaguliwa na wa viti...
Benki Kuu ya Tanzania imezitaka benki zote nchini kuhakiki taarifa za wateja wao, sote tunajua jinsi ilivyo rahisi kwa mtu kuchonga muhuri feki mtaani na jinsi watendaji wa kata na mitaa wasivyo...
Nimefika mahali pa kusema kweli watanzania hatuna uchungu na taifa hili. Hali inasikitisha kwenye nyanja zote za maisha. Elimu Afya, Miundombinu, Mipango miji, Maji Viwanda. nk...
Elimu: Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.