CUF inajiandaa kuchukua Arumeru Mashariki-Mtatiro

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe
 
Kama kwao tu wameshindwa ndiyo iwe ugenini? Hata hivyo propaganda zinaruhusiwa na ni wajibu wake aseme hivyo!
 
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe

Watafanya vizuri Arumeru Mashariki kama ilivyokuwa Igunga - not!
 
Nawashauri wasipoteze fedha kwenda Arumeru maana trend inaonekana iko agaist them. Igunga zilipungua kura, Uzini zimepungua kuliko walivyopata 2010. Kwa chama makini hiyo ni dalili tosha kuwaambia wasivamie chaguzi bali waanze upya kujiuza kwa wananchi, yaani STATUS QUO ANTE. Labda kwa vile lengo lao ni kuipigia kampeni CCM A wataenda tu bila kujali hasara, after all hela ya kampeni si inatoka kwa baba watoto
 
Mwenye matokeo ya 2010 atuwekee hapa tujue walipata kura ngapi
 
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe
Hivi wana mtaji wa kura ngapi huko?
 
Ndugu,

Nilifundishwa hivi;
Arumeru Mashariki + CDM = 74%
Arumeru Mashariki + CCM = 17%
Arumeru Mashariki + CUF = 09%

Labda Mtatiro atueleze ana au CUF wana mtaji kiasi gani Arumeru Mashariki
 
Hata Igunga na Uzini mlitabili hivyo, matokeo yake hapo kwenye red wakawa CCM japo hata hiyo uliyoandika ni ndogo.
 
wameru ni tofauti,by tha way chadema wana nafasi kubwa na hapa wasiposhinda chadema arusha tutavua nguo tuandamane uchi,2mejipanga
 
Hivi mbona mnawaogopa CUF zaidi kuliko CCM?

Go Go Mtatiro, wasikukatishe tamaa[/QUO HAPO MTU ANAFIKIRIA ATAPATA CHA JUU KUNA ISSUE YA GHARAMA ZA MAFUTA , KULIPA MAOFISA WACHAMA , KUKODI NDEGE . ALIVYOTOKA IGUNGA ALINUNUWA GARI NA AKITOKA ARUMERU ATAMNUNULIA DEMU WAKE GARI?? HONGERA MTATIRO KWA KUWA MJASIRIAMALI
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom