Chadema hakujiandaa kabisa

R.Lewis

Member
Sep 25, 2009
14
4
Kuhusu katiba na mchakato wake naamini kila kiumbe alielewa serikali ya CCM na kikwete ingefanya, na wamefanya walivyo tarajiwa, kinacho sikiticha ni CDM wanavyoonekana wakitapatapa, hawakua na plan kabisa mara watoke inje ya bunge, mara waombe kuongea kuongea na mtu aliye plan na kuandaa mchakato mzima pamoja na kuwatwisti mikono wachemkaji wa CCM mpaka wakapitisha, kutaka kuongea nae walikua wanategemea nini zaidi yakumpa tu ujiko, yaani asisaini wakati yeye na serikali yake Ndio wamelaipitishwe atawaambia nini wabunge wake
 
Is sad Chadema always try to fight from behind, unajua nyinyi ni timu changa mnaachia mabao 5-0 then try to come back, walitakiwa wawaweke wananchi sawa, walie faulu ways before before CCM hawajacheza foul, ilikua inajulikana, may be, just may be momentum ingekua imebuild up na kuwascare kidogo CCM.
 
Kila mara hapa ukumbini nawaeleza wenzangu katika CDM munakwenda ki jazba na fujo tu. Hamuna umakinifu. Nataka musome nyaraka zote za mswada kabla hamujaandika maana leo yale yote waliotaka CUF wamepata na lakusikitisha juzi viongozi wenu wa CDM wametamka hadharani kuwa wanakubali serikali tatu hahhahahahahah. Basi bado ngoja mwada ufike zanzibar usikilize changa moto ilioko. Hapo ndio mutakapo juwa siasa ni kitu gani. Bado nyinyi watoto kisiasa. hahahhahahahahahah
nawacheka na CDM yenu.
 
Mzee Zomba alililjibu hilo, anaweka wote hao ni "system at work" na hakuna mpinzani Tanzania. Nakubaliana na Zomba na sasa hivi tutaona magwanda wanakaa kimya kama wa kabla yao.

Upinzani Wa Tanzania utaanza baada ya kizazi chote cha kuanzia 1985 kumalizika. We are talking at least 50 years from now, labda CCM wenyewe waamuwe kukiuwa chama chao.
 
kama hakuna upinzani kwa nini mnaongea hadi mimate inawatoka kila saa? kwa nini mnatumia nguvu nyingi na vyombo vya dola? si mkaushe muone
 
Kila mara hapa ukumbini nawaeleza wenzangu katika CDM munakwenda ki jazba na fujo tu. Hamuna umakinifu. Nataka musome nyaraka zote za mswada kabla hamujaandika maana leo yale yote waliotaka CUF wamepata na lakusikitisha juzi viongozi wenu wa CDM wametamka hadharani kuwa wanakubali serikali tatu hahhahahahahah. Basi bado ngoja mwada ufike zanzibar usikilize changa moto ilioko. Hapo ndio mutakapo juwa siasa ni kitu gani. Bado nyinyi watoto kisiasa. hahahhahahahahahah
nawacheka na CDM yenu.
kafu ni mke wa ccm.... we mumeo huwa anakunyima UNACHOTAKA?
 
Mzee Zomba alililjibu hilo, anaweka wote hao ni "system at work" na hakuna mpinzani Tanzania. Nakubaliana na Zomba na sasa hivi tutaona magwanda wanakaa kimya kama wa kabla yao.

Upinzani Wa Tanzania utaanza baada ya kizazi chote cha kuanzia 1985 kumalizika. We are talking at least 50 years from now, labda CCM wenyewe waamuwe kukiuwa chama chao.
Mngegawana madaraka Zanzibar???uoni hilo nidoa kwa CCM??Endeleza fikira za KANU!
 
mzee zomba alililjibu hilo, anaweka wote hao ni "system at work" na hakuna mpinzani tanzania. Nakubaliana na zomba na sasa hivi tutaona magwanda wanakaa kimya kama wa kabla yao.

Upinzani wa tanzania utaanza baada ya kizazi chote cha kuanzia 1985 kumalizika. We are talking at least 50 years from now, labda ccm wenyewe waamuwe kukiuwa chama chao.

bado hujaona tu kwamba wana ccm wameshaiuwa ccm? Ccm ilishakufa zamaniiii, sasa hivi wanatumia pumzi ya nguvu za dola tu, kuchakachua matokeo, kununua kura, kuhonga kanga na vitenge, pilao.

Ufisadi tayari umekiuwa ccm.

Serikali lege lege
 
Mpenda maendeleo na mwenye kuitakia nchi yake mema hawezi kubeza juhudi hizo,sisi wananchi ndiyo tunaamua na kujua nani wapo kwa ajili ya maslahi yetu na nani wapo kwaajili ya matumbo yao.Hiki ni kilio,wala si suala la kubeza kama mtoa mada anavyojitahidi kujenga hoja.Wamefanikiwa kupenyeza mambo yao watawala hawa,lakini historia itawahukumu kizazi hadi kizazi.Tunaotaabika zaidi ni sisi wananchi ambao ndiyo waathirika wakubwa wa mfumo dume ndani ya nchi yetu.Usanii aliuoufanya jaji Werema wa kushindwa kujenga hoja ni ombwe la uongozi na aina ya viongozi tuliowaamini kuwa ni vilaza walioamua kuidhalilisha taaluma tuliyowapa kwa kodi zetu.

Waathirika wakubwa wa vita hivi vya katiba ni sisi watanzania,kwani mfumo huu duni hautachagua kuwa hawa ni wana ccm au wapinzania wote tutaangamia kwenye jahazi hilo hilo lilitoboka na kushindwa kutufikisha.Kutokana na mfumo duni leo tunaionja jehanamu wakati bado tupo hai.Sipendi kuamini haya maandalizi ni ishara tosha ya mafisadi kuchukua madaraka mnamo mwaka 2015.Kuna wabunge wanashabikia na kucheza ngoma wasiyoijua,ila ipo siku damu ya usaliti italipwa hata kwa makaburi yao kuchapwa bakora.Wapi tunakwenda ndugu zangu.Bora tutangaze kuwa taifa hili linafuta mfumo wa chama kimoja kuliko michezo ya kuigiza inayofanywa ndani ya bunge hili.Shame on you
 
Kuhusu katiba na mchakato wake naamini kila kiumbe alielewa serikali ya CCM na kikwete ingefanya, na wamefanya walivyo tarajiwa, kinacho sikiticha ni CDM wanavyoonekana wakitapatapa, hawakua na plan kabisa mara watoke inje ya bunge, mara waombe kuongea kuongea na mtu aliye plan na kuandaa mchakato mzima pamoja na kuwatwisti mikono wachemkaji wa CCM mpaka wakapitisha, kutaka kuongea nae walikua wanategemea nini zaidi yakumpa tu ujiko, yaani asisaini wakati yeye na serikali yake Ndio wamelaipitishwe atawaambia nini wabunge wake
Lakini sisi wananchi tumewaelewa kuwa walitafuta (CDM) every opportunity kufanya sheria hiyo iwe ya wananchi lakini ccm kwa kutumia ovyo wingi wao tunaona kilichotokea. La pili tulilothibitisha ni kuwa JK aliyokubaliana na CDM (na Werema akiwepo kama mshauri wake wa sheria na katiba) baadae amekaa na wabunge wa ccm kuyachakachua. Si mlimuona werema anakubaliana moja kwa moja na mabadiliko yaliyopendekezwa na wabunge wa CCM? Hapa ameonyesha udhaifu mkubwa sana maana ameshindwa kutetetea yale serikali iliyoyapeleka bungeni. MChezo umechezwa bungeni, kwa win gi wao wamepitisha na wataendelea kufanya hivyo hadi kwenye kuandika katiba na kuipitisha lakini nawahakikishieni iko siku atatokea kiongozi atatumia katiba hiyo hiyo na kuendesha udikteta. tusijelalamika!
 
Mkuu umeona walichokuwa wanapigania mpaka sheria imerekebishwa kabla ya kuanza kutumika.
 
Tatizo nilililona mapema sana wabunge wa CCM hawakutaka kabisaaa Rais akutane na CDM.Matokeo yake baada ya Jk kurudisha mchakato bungeni,Wabunge wa CCM wanaendeleza UBISHI WA KICHAMA.Bila hata kufikiria kuwa wanatakiwa kuwatumikia watanzania.NI WABUNGE WACHACHE SANA WENYE UZALENDO NA NCHI HII.WENGI NI MASHABIKI WA KUANGALIA FULANI KASEMA NINI TUMPINGE MPAKA VIONGOZ WA BUNGE NAO WAMEINGIA KWENYE HUO MCHEZO.Inasikitisha sana.
 
Yawezekana kabisa watu wengine huenda shule kama format,kila siku hali hiyo imekuwa ikijidhihirisha.Naamini elimu ni funguo wa kuweza kujikomboa toka kwenye lindi la ujinga,ikitokea ukawa miongoni mwao waliokwenda shule na kushindwa kujikomboa kifikra ujue wewe ni mpumbafu hata ukieleweshwa vipi utabaki kuupigania upumbafu wako ili mradi mkono uende kinywani.

Tena ni bora ungetembea uchi ukajulikana,kuliko jamii kugundua upo uchi kichwani,ni heri uchi wa nyama kuliko uchi wa akili.Lini tutapingana na fikra mgando na kujigundua kuwa hatuko sahihi!Tunahitaji mapinduzi ya kifikra zaidi kuliko utetezi wa fikra mgando ndani ya vichwa vyetu
 
hawa wa mama na wadada zetu wa viti maalumu ni tatizo kuwepo bungeni .kwenye katiba mpya tufute viti maalumu .na wao wagombe majimboni ,kwani ni wabunge wawakilishi wa vyama na sio wananchi ,wako pale kutetea itikadi za chama ,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom