Kwa maamuzi yao, Siku madaktari wakigoma tena basi historia itawahukumu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa maamuzi yao, Siku madaktari wakigoma tena basi historia itawahukumu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LATTICE BOND, Feb 14, 2012.

 1. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyoni Kasimamishwa!!! what about Jairo's Story? wote wale ni makatibu wakuu!! kwa nini Pinda ashindwe kumsimamisha Jairo halafu aweze kumsimamisha Nyoni?
  Hakika madaktari waliingizwa mjini!! walionyeshwa bulb wakaambiwa ndio mwezi nao wakakubali!! huenda ndio sababu madaktari hawa huweza kufanya operation ya Kichwa badala ya ile ya mguu!!!
  WHAT A SAD STORY!!
   
Loading...