Maalim Seif Shariff Hamad tuombe radhi wakristo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif Shariff Hamad tuombe radhi wakristo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msee Lekasio, Feb 19, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Msee Lekasio Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maalim Seif Shariff Hamad, nduguyo Jussa katika utetesi wake kuhusu CUF kufanya vibaya huko Usini, alisema kuwa ni kwa sababu jimbo hilo lina Wakristo wengi. Sasa kwa kuwa wewe ndio CUF na CUF ndio wewe sisi wakristu wa masehebu yote hapa nchini tunaomba kupata ufafanusi wa hii kauli.
  1. Je CUF huwa inapigiwa kura na wasilamu tu
  2. CUF ni chama cha dini au siasa
  Na baada ya ufafanusi ni matarajio yetu kuwa utamfukusa huyu mchochesi wa mambo ya udini kutuomba radhi wakristu.
   
 2. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Na kwa hiyo ccm kashinda, so ccm ni ya wakristo na Raza naye kaasi uislam?

  RIP CUF, tulukupenda sana.
  Huko uendako kamwambie mtoto aliyefia tumboni (ccj) bado tupo.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Maalim eti anataka rais ajae 2015 atoke Zbar ili awe mwislam.
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na NCCR-MAGEUZI nayo ina RIP!
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hiyo kauli yake aliyota ni mbaya sana kwa wakati huu tukiwa na mwamko mkubwa wa kisiasa Tz kwani nidhani udini tuliuacha 2010 baada waliounzisha kutimiza dhana yao kumbe cuf na kushindwa kwao kujenga hoja wanaanza kuumbatia udini
   
 7. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Ana ******** huyu eeh maalim??? yani hilo wasahau kabisa kutawaliwa tena na wagonjwa ******* wale... JAMANI EEH MSIPENDE KUONGELEA **********..The so called Jussa he's a prominent ****** iin Zanzibar..vijana humuita father christmas..at that age hajaoa hana mpango..msameheni bure

   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kwa mujibu wa imani.yake.seif wakristo wote hawamwamini mungu
   
 9. a

  adobe JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  hawa jamaa ni majini hawastahili kuishi na jamii
   
 10. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  cuf cha cha kiislaaam na sio chama cha kisiasa...tukikatae kwani kinachochea udini
   
 11. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kwani Mtatiro ni muislam?
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Jussa ni kiboko cha wakiristo.kaeni na chadema yenu
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  chadema ni chama cha wakiristo waliouchukia utawala wa kikwete. hapa nakusudia akina Pengo na kundi lake.
   
 14. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hili nalo neno! Duh
   
 15. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CCM na CUF Waislamu wanaopenda utawala wa Kikwete sio?
   
 16. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Heeh ya kweli hayo? hawa wapemba vipi?
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  Walioendesha mtandao wa kumwingiza kikwete madarakani ni wakristo wengi tu hawakujua kuwa ni mwislamu? Kauli zenu hizi zimesababisha baadhi ya wakristo kujuta kwani wanamuunga mkono sana kikwete lakini mmemgeuza ni Rais wa waislamu. Kwa maneno mengine mnawaambia wakristo tafuteni Rais wenu mkristo huyu ni wa kwetu.

  Mtandao:

  Samwel Sitta
  Edward Lowassa.
  Benard Membe
  Emmanuel Nchimbi

  kulikuwa na wakristo wengi tu kwenye mtandao huu walimtanguliza kikwete mbele bila kujali dini yake lakini mnageuza matusi. Bila Lowassa na Sitta kumpigania pengine Jk asingefika hapo.
   
 18. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Leo nilikua naongea na askofu mmoja pale baraza la maaskofu.//..Aliniambia kua ni wao walinuita JK na kumpa onyo siku tatu kabla hajasaini mambo ya kadhi na wali muahidi kua hatomaliza muda wake kama angekubali..jamaa akaogopa katika terms and conditions ndo akawaambia waislamu kua watajiju serikali haito usika..Hii nchi ya kikatoliki bwana!!! waislam ni pwani tu huku..nenda songea ndan ndan hata uislam hawaujui

   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mwaka 2005 Rais aliyekuwa anaondoka madarakani Mkapa alikuwa mkristo na waliogombea kupitia CCM walikuwa 13 kama sijakosea. Waislamu walikuwa wawili au watatu lakini katika mchujo akapita Mwisalmu. Katika tatu bora waislamu walikuwa wawili na mkristo mmoja ikiwa ni pamoja na Salim Ahmed Salim na Mark Mwandosya. Nchi yetu haina udini ila watu mnaukuza kwa sababu tu ya maslahi yenu.

  wanamtandao wengi walikuwa wakristo wangeweza kumtumia mkristo mwenzao Mkapa akiwa madarakani kuwamaliza waislamu lakini Mkapa akaondoa jina la John malecela kwenye kamati kuu wakati huo Malecela alikuwa na nguvu kubwa sana katika chama na baadhi ya watu wanadai kama Mkapa asingeondoa jina lake pengine ndiye angekuwa Rais mwaka 2005.

  Nchi yetu ni nzuri haina udini.
   
 20. L

  Luluka JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hebu edit kwanza tittle!hawezi kuwa mwalimu huyo!ni maalim!elimu dunia haijui kabisa
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...