Mimba ni matokeo ya tendo....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimba ni matokeo ya tendo.......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by New2JF, Feb 19, 2012.

 1. New2JF

  New2JF Senior Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "....Mimba ni matokeo ya tendo la furaha baina ya mume ana mke, sasa mwenzako anapata fistula unampa talaka, kwani mimba aliipata peke yake? hilo ni jambo la ovyo sana, wewe ndio ulihusika halafu unajidai kutoa talaka, ajabu sana hii" ( J. M. Kikwete)
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Pole sana kwa hayo, kwani si vema umkimbie mwenzie kwasababu tu ameugua.
   
 3. m

  mchambakwao Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baeleze baeleze nana!
   
Loading...