Ushauri kwa CCM na CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa CCM na CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ureni, Feb 19, 2012.

 1. u

  ureni JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Wakuu mie kama mzalendo wa Tanzania ningependa kutoa ushauri kwa hivi vyama viwili kama ifuatavyo.

  Kama tulivyoona uchaguzi uliopit Igunga gharama kubwa sana ilitumika kwa vyama vyote kurusha mahelikpta,kuwahonga wapiga kura na wazee wa kampain kupata ma allowance kibao fedha nyingi zilitumika jumla ikiwa zaidi ya billion 4 kwa vyama vyote.

  Sasa mie ushauri wangu najua ARUMERU mchezo utakua ni huohuo na gharama zinaweza kuwewepo hata zaidi ya hizo,kwa nini hivi vyama viwili vifanye makubaliano wampitishe mgombea mmoja akawakilishe bungeni na hizo fedha watakozosave around 4 billion zitumike kujenga mazahanati,barabara,mashule na kuwalipa walimu katika hiyo ARUMERU badala ya kuanza kuonyeshana umwamba wa nani zaidi wakati wananchi wanakufa na matatizo mbalimbali.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wakubaliane?!! Nina wasiwasi na uwezo wako wa kureasoning.
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujaeleza wakubaliane kwa njia ipi?heb eleweka zaidi
   
 4. m

  moma2k JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 953
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 180
  That is unconstitutional, un procedural and un democratic. We need free and fair elections there.
   
 5. u

  ureni JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Unashangaa nini?ujumbe ndio huo japo wewe hutaki iwe hivyo.
   
 6. u

  ureni JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Nyie ndio walewale mnaosubiria kanuni bungeni ifanye kazi wakati wagonjwa wanakufa muhimbili?

  Mnajifanya mnajua democrasia sana wakati fedha kibao watu wanazifuja kwenye chaguzi wakati wananchi wanakosa mahitaji muhimu.
   
 7. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,250
  Trophy Points: 280
  Mimi vile vile nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri, sasa kuna maana gani kuwa na mfumo wa vyama vingi? Bila shaka wewe utakuwa mfuasi wa cuf kwa hiyo unaombea hata chama fulani kisishiriki na hapa umechemka ndugu
   
 8. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  habari zako ni za kufikirika tu, nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri

   
 9. B

  Bless Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  naona 2015 utasema hivyohivyo kuwa chadema na ccm wakubaliane wamteue mtu 1 awe rais bila uchaguzi ili kupunguza gharama........kitu hicho hakiwezekani kiongozi lazima achaguliwe na watu
   
 10. Scolari

  Scolari JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thead nyingine bana! Kichefu chefu tuuuupu!
   
Loading...