Chadema yaunguruma mombo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yaunguruma mombo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Feb 19, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi sasa Mh.MNYIKA ANAHUTUBIA,ANADHIHIRISHA NAMNA gharama ya maisha inavyowasumbua wananchi kutokana na kukwama kwa kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya pamoja na maisha bora na hatimaye bora maisha,anasema hali hii mbaya iombewe isilete machafuko bali umma uandae mustakabali dhidi ya matatizo haya kuelekea 2015.TUTAZIDI KUPEANA TAARIFA
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,784
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Nape niko naye hapa.Anajiandaa kubwatuka baadaye.Viva CHADEMA!
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Taarifa yako ni fupi mno na incomplete! Iandae vizuri na uitume
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Haraka yako ya nini?amesema ataendelea kutujuza!read btn lines.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145

  Ahsante kwa taarifa hii mkuu.
  Tunataraji utaendelea kuiwakilisha vyema JF huko mombo.
  Na bila shaka utaweza kupata uhakika wa ziara yao wilayani Lushoto kama ulivyokuwa unaiulizia, makamanda wote unao hapo!
   
 6. S

  Selungo JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani nipo nje ya nchi. Nasikia MAKAMANDA sas hivi wapo viwanja vya Korogwe Manundu. Twanga kote kote MAKAMANDA. DR wa ukweli kawapa makali vijana sasa MAGAMBA wanaipata pata.

  Halafu kijana wa KUJICHUBUA NAPE anamtaka DR wa ukweli kule Meru! NAPE ulaaniwe na mizimu ya ukoo wenu. Hata huruma na waTanzania huna kabisa.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa habari tuendelee kujuzana
   
 8. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kila ukiona kichaka unataka ku..n.ya.ushaambia habari zaidi baadae we unakurupuka kama upo kichakani
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  peopleeeessss.........
   
 10. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu tunasubiri utujuze
   
 11. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Endelea kutupa ripoti
   
Loading...