CCM kumpitisha Mgombea Ubunge Arumeru Mashariki le | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kumpitisha Mgombea Ubunge Arumeru Mashariki le

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by SOKETI, Feb 20, 2012.

 1. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi kuwa leo Mabalozi na Wanachama wa CCM, Arumeru Mashariki watampitisha mgombea atakaye wania nafasi ya ubunge kwa tiketi ya chama hicho. Mchakato huo utafanyika kwa kupiga kura zitakazo mpitisha mgobea mmoja atakaye wakilisha chama hicho katika mchuano mkali kati ya vyama pinzania kikiwamo CHADEMA.

  ANGALIZO:
  Chama cha CCM kinatakiwa kutumia hekima na maarifa ili kumpata mtu sahii atakaye kiwawakilisha. Kutokufanya hivyo wanaweza kupoteza jimbo na kulisahau kabisa katika historia ya kuliongoza.
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo wewe ulitegemea kuwa watapata jimbo?
   
 3. B

  Bagumako Yoweli Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao mabalozi hawajapewa mapesa kamailivyo kawaida ya magamba mwenye dau kubwa ndiye atakaye shinda.
   
 4. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Ccm wameshampata Sioi Sumari ambaye anamrithi babayake kiti hicho.kwa sasa ni company secretary wa stanbic bank tz na kwa upande mwingine amemuoa binti wa lowassa aitwaye pamela na wamejaaliwa watoto watatu.nawakilisha
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  tayari wameshampitisha kwani ?
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kampeni za CCM akisimamia Lowassa CDM mnapigwa chini kiulaini!
   
 7. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,750
  Likes Received: 17,828
  Trophy Points: 280
  Mungu anafanya makusudi, mshindwe kujinasua tu wenyewe kutoka mikononi mwa Magamba, ole wenu Arumeru
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Yani na wewe bado unaendelea kutoa ushauri kwa CCM? Hili ni sikio la kufa mkuu alisikii dawa.
   
Loading...