Siku za ccm kuwahadaa watanzania zinahesabika.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu! Ile kauli ya mjinga akijitambua mwelevu upo matatani imejidhirisha leo baada ccm kubwagwa chini na cdm katika uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Busulwangili,kata Tabaluka wilayani sengerema karibia na kwao Waziri Mr Megawati na dharura na mbunge wa zamani ndgu Shija. Uchaguzi ulihusisha vyama vya ccm na cdm. Ndgu zangu wanaharakati ukombozi wa pili unakaribia coz hapa ni kijijini ndani kabisa but wananchi wameamua na kusema enough is enough. Je mtaji wa ccm vijijini uko wapi? Huu ni mwanzo kama manyunyu,masika yanakuja. MUNGU BARIKI MABADILIKO,MUNGU IBARIKI TANZANIA. Naomba kuwasilisha. Source: Nilikuwepo.
 
hope Nepi kapata salamu
 
Back
Top Bottom