Tundu Lissu - Je kafanya tuliyotarajia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu - Je kafanya tuliyotarajia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TzPride, Feb 17, 2012.

 1. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,421
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,212
  Likes Received: 3,822
  Trophy Points: 280
  It is true. Tundu Lisu amekidhi matarajio ya Waliomchagua. Kama ingelikuwa sio yeye miswada yenye makosa/iliyochakachuliwa /fake mingi ingelipita unnoticed!!! Amekidhi mahitaji
   
 3. m

  msambaru JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kupata jembe T.A.M.Lissu, lakin awe mwangalifu kwani kura zake alipigiwa na watu wa jimbo lake sio watanzania wote, Mulika nyoka huanzia miguuni pake.
   
 4. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Mungu AMBARIKI Antipasi Lissu!
   
 5. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kufahamu zaidi jinsi alivyotimiza matarajio ya wapigakura wake fika ofisi za mkoa wa Singida, siku hizi hakuna miradi hewa!!! kisa Tundu Lissu atawaumbua!
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,421
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Ndugu Msambaru unataka kusema jamaa hajafanya kitu jimboni?! Kama kuna kitu unataka kifanywe, tafadhali wasiliana na mbunge wako. Nijuavyo mambo makubwa kafanya huko...has ile kuondoa unyanyasaji wa watu na serikali. Ni swala la kumpa ushirikiano, na is kukaa kutegemea afanye kila kitu.

  Ila ujue Tundu kabla ya kuja kugombea ubunge alikuwa akilitumikia taifa kwa njia ya uanaharakati, akitetea haki za wanyonge kitaifa. Sitegemei unataka aache kazi hiyo ati kwa kuwa amekuwa mbunge... ataendelea kulitetea taifa hili mpaka ukombozi upatikane.
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hii ni machine safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! tungekuwa na watu wenye kujituma kutumia taaluma zao kama huyu ninaimani tungekuwa tume piga hatua kwenye mambo mengi sana
   
 8. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  T. L. anastahili pongezi si kwa jimbo lake tu pia kwa Taifa zima. Lakini inasikitisha hatuoni anayefaa kuchambuliwa utendaji wake huko ccm si ndani ya chama wala serikalini mara nyingi tumewachambua viongozi wa Cdm. Yawezekana wenzetu wanayofanya wananchi wakiyajua watapigwa mawe.
   
 9. m

  msambaru JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Basi achague 1 kati ya hayo, awe mwanaharakati kama Ananiliea Nkya au mbunge ili ijulikane, jimboni kunahitaji uratibu na uhamasishaji wa rasilimali watu, ardhi n.k ktk kujiletea maendeleo.
   
 10. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kutokana na hali halisi jinsi ilivokuwa ukilinganisha na sasa nafkiri tundu lissu ameplay part yake kama mbunge nikiwa na maana mwakilishi wa wananchi na pia kama msomi ameweza kutumia knowledge yake ya sheria ili kuhakikisha watanzania tunapata kile tunachostahili kupata nikiwa na maana katiba bora siyo mpya japo bado kuna baadhi ya sehemu mambo hayajawa sawa ila kidongo angalau
   
 11. The only

  The only JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Hahahahah TZ PRIDE sikufichi ulichotaka ni kumshusha lissu ila umeona jamaa ni the best katika bunge ,jaribu mbinu nyingine hii umeshindwa nimepitia michango yoooote inamkubali
   
 12. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,421
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  The Only...you got me wrong! Kuna thread nilianzisha Nov 1, 2010 kutoa taarifa za ushindi wa Lissu. Watu walichangia na kushukuru, wakionyesha matarajio makubwa. Sasa jamaa ameshafanya kazi ya ubunge kwa mda, nimerudi nawauliza je amefikiwa matarajio tuliyotegemea?

  Hakuna sehemu nilionyesha kumshusha ua namna gani. Kwa taarifa yako mimi ni mmoja wa watu tulimtambulisha Lissu maeneo ya kwetu kwa ajili ya kupigiwa kura. Nilipokuwa metallurgist migodini way back niliwahai kushare some data kwa ajili ya kazi zake za unaharakati wa mazingira. Lissu ni jamaa ninayemheshimu sana...in fact he is brilliant.
  Hasa hasa nilitakakuwaonyesha watu matarajio yenu yamefikiwa na ataendelea kufanya makubwa, maana ana uwezo na uzalendo.

  ***njaghamba iuhoma ilolo isekhuuu***
   
 13. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa kapitiliza kama huamini kamuulize baba mwanaasha na magambazi watakusimulia
   
 14. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wiki iliyopita nilifika SGD baada ya miaka kadhaa. Kwa maoni yangu kazi imefanyika hasa jimboni kwa Lisu, hasa pale Ikungi, makiungu na vijiji vingi tu pamechange sana. Hapo penye red " Iyei Njaghamba haswa tri uhoma ilolo tu, iuhoma kighuu wadii " Tungekuwa nao japo majimbo mawili tu kama TAL nadhani SGD ingeshika kasi zaidi. Bravo Mbunge wangu Lissu. Khua mwimo tratra
   
 15. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  He has exceeded the expectation.! We expected him to be under the hood, but look at him, he is getting on top of the hood..Bravo T.A.M Lissu.
   
 16. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wakati mwingine huwa na washangaa sana wabunge wa CCM wanaposimama na kutumia siku tatu kujadili umahiri wa Lisu katika fani ya sheria.
   
 17. The only

  The only JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  hapana shida mpiganaji we are then of the same coin side.nilikimiss-interpret kamanda.
   
 18. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haina ubishi jamaa ni jembe la ukweli kuanzia jimboni mpaka ktk level ya kitaifa ukitaka kuamini linganisha jimbo lake na baadhi ya majimbo ya magambaz
   
Loading...