Mawaziri wa Kikwete kwenye mparaganyiko - Nini cha kufanya Rais Kikwete?

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Naibu waziri "amepewa sumu"!!Sitta anatuambia Mwakyembe amelishwa sumu, Nahodha anasema Sitta alete ushahidi, Mwakyembe anasema Nohodha na Jeshi lote la polisi wanawatumikia mafisadi na hahitajiki kupeleka ushahidi poilisi bali polisi wanatkiwa kuutafuta. Nini cha kufanya muheshimiwa Rais wakati baraza la maziri wanashutumiana kwenye vyombo vya habari?
 
Cha kufanya baraza la mawaziri linatakiwa kuwa Collective irresposibility.
 
Naibu waziri "amepewa sumu"!!Sitta anatuambia Mwakyembe amelishwa sumu, Nahodha anasema Sitta alete ushahidi, Mwakyembe anasema Nohodha na Jeshi lote la polisi wanawatumikia mafisadi na hahitajiki kupeleka ushahidi poilisi bali polisi wanatkiwa kuutafuta. Nini cha kufanya muheshimiwa Rais wakati baraza la maziri wanashutumiana kwenye vyombo vya habari?

Ukiona watoto wote hawana adabu ndani ya nyumba basi tambua either baba na mama hawaelewani au mmoja wa wazazi hana adabu. kama chama (mama yao) hakina mwelekeo basi hawa mawaziri watakua na hali gani? Cha msingi huwa naona ni talaka tu ndo solution na hakuna reunion. Ndo maana Kikwete kaamua kuwasikiliza chadema na kuwaacha waendelee kulumbana

Back
Top Bottom