Anna Makinda Samamba Speaker wa bung la Tanzania
Baadhi ya wabunge wa Bunge, wamesema uongozi wa umma sio fedha pekee na kwamba hawana mpango wa kuachana na siasa kutokana na kulipwa mshahara na...
Ndugu wanaJF,
Rais Paul Kagame wa Rwanda ni kiongozi anayeheshimika sana ndani na nje ya bara la Afrika na heshima hiyo anaipta kutokana na yale anayofanya kwa nchi yake na watu wake. Ni hivi...
Wakuu hivi mmewahi kufikiria au imewahi kukupitia ktk mawazo yako ikiwa Rais wetu Mheshimiwa sana Dk. Jakaya M. Kikwete akaomba kugombea tena Urais 2015 kwa mwanya/kisingizio cha kuwapo KATIBA...
Wanabodi..
Mgogoro mkubwa unakinyemelea Chadema wilayani Arumeru baadhi ya wananchama na wagombea waliochukuwa fomu za kuomba nafasi ya kupeperusha bendera ya chama hicho.
Wagombea pamoja na...
Inashangaza kuona mkulu amerilax sana kuhusu Mwakyembe.
Watanzania wameona jinsi viongozi wakuu waandamizi wanavyotofautiana lugha hasa DCI, Waziri wa mambo ya ndani, Waziri wa afya na hata Mzee...
MVUTANO mkali unadaiwa kuibuka katika kikao cha Kamati ya Siasa ya CCM mkoani Arusha baada ya baadhi ya wajumbe kupinga uongozi wa chama hicho Wilaya ya Arumeru, kumpitisha Sioi Sumari kugombea...
Unakumbuka ulimsingizia Mzee mtei kuwa alikuomba ugombee ubunge kupitia Chadema ukakataa kuwa ni chama cha Wachaga.
"Tena uandike kabisa, mimi ndiyo ninao ushahidi wa wao kunitaka nikagombee...
Waziri wa Mambo ya Ndani,Shamsi Vuai Nahodha
ASEMA UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA NA MATOKEO ATATANGAZA YEYE, ATAKA MANUMBA AULIZWE MWENYEWE CHANZO CHA TAARIFA YAKE
Ramadhan Semtawa
WAZIRI wa...
Nimejionea leo hii kwenye habari ya jioni ya ITV.Pale wale waathirika wa mafuriko ya jangwani waliorundikwa kwenye jengo la kiwanda cha maziwa Ubungo,kwa miezi mitatu sasa,wanawake,watoto na baba...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bibi Amina Saidi Mrisho kuwa Kamishna wa Sensa ya Mwaka 2012.
Aidha, Rais...
Dr. Mwakyembe amekuwa mmoja kati ya wale wachache wanaolengwa na mafisadi kunyamazishwa kwa njia yeyote ile. Bahati mbaya sana amekamatika na tayari afya yake imezurika kwa kiasi kikubwa sana. Rai...
Katika kuelekea uchaguzi mdogo Jimboni Arumeru Mashariki vimbwenga vingi vimeshaanza kuonekana na vingi vinasikitisha kutokana na makundi yaliyojitokeaza mengi yakitamani yule wao wanaomtaka ndiye...
Kinadharia ni rahisi kusema kwamba Katiba iandaliwe au itokane na mawazo ya wananchi, lakini ki uhalisia, jambo hili linakuwa gumu na linahitaji jitihada za wananchi wenyewe ambao ndio hasa wenye...
BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Kilimanjaro (Bawacha), limemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, John Tendwa, kuacha siasa na badala yake awaamuru...
...Tangu harakati za kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Arumeru-Mashariki kuanza,kumekuwa na kila aina ya njia za kuhakikisha kuwa vyama vinavyoliwania jimbo hilo vinalipata.Njia hizo...
Huyu Kigwangalla anatumia muda mrefu kwenye vyombo vya habari ikiwemo JF yenyewe kuzungumzia hoja ambazo ni moja ya sera za CCM kwa mfano suala la ajira kwa vijana pamoja na makazi bora inajieleza...
Dear friends,
I was shocked by Mama Makinda provocative speech over the Office of the Parliament as she tried to defend the heft allowances that was to be given to the MPs! This made me try to...
Wanabodi,
Baada ya JF kunasa na kurusha TETESI ya mpango wa awali CC (Mapendekezo ya Mwigulu) ya CCM ambao ulikuwa na lengo la kuwatosa WANNE wa kwanza na kurudia kura kwa WAWILI wa MWISHO, sasa...
MAWAZO YANGU! Kwanza nimpongeze sana baba yangu Rev.CHRIS MT,Sifa zake nazifahamu hasa aliponifanya niwachukie magabachori.sifa ya kusikia ni pale alipokuwa machachari wa kujenga...