Pale serikali yako inapokupa maisha magumu na papo hapo kukutisha usitangaze... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pale serikali yako inapokupa maisha magumu na papo hapo kukutisha usitangaze...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Prisoner 46664, Feb 27, 2012.

 1. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Nimejionea leo hii kwenye habari ya jioni ya ITV.Pale wale waathirika wa mafuriko ya jangwani waliorundikwa kwenye jengo la kiwanda cha maziwa Ubungo,kwa miezi mitatu sasa,wanawake,watoto na baba zao pamoja, walipohojiwa na kuthibitisha kuwa wamekatazwa kuzungumza kabisa na waandishi wa habari la sivyo hawatapelekwa huko mabwepande.

  Ni serikali gani hii?
   
 2. N

  Nguto JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,652
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Wewe umepewa viwanja vingapi na serikali?
   
 3. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkwajunidaraja.jpg
  Mkwajuni valley resident Kondo Mkabala takes a break from reconstructing a bridge leading to his house in Kinondoni district in Dar es Salaam yesterday after the old one was swept away by the floods in December making it difficult to reach his house.


  Haya ndo maendeleo ya JK aliyoyasema. ''Tumejaribu tumedhubutu tunasonga mbele kudumisha umasikini''
   
 4. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  La hasha sijapata.lakini serikali yenye kuheshimu sheria si hutimiza ahadi itoazo kwa wananchi wake??

  Kama walijua hawana uwezo wa kusaidia wananchi wake wenye shida(of course hii ndiyo maana ya sisi kulipa kodi,seuze serikali kutenga fungu kwa ajili ya matukio ya dharura kwenye kila bajeti)kwanini kuwapa ahadi hiyo?kwanini wawatekeleza kwenye hilo gofu kwa mwezi wa tatu sasa?

  Werevu wanatambua kuwa serikali ina ukata mkubwa sasa na pengine ndiyo sababu kubwa ya haya kutokea..ninaonelea tu kuwa ni aibu kubwa kwa serikali hii iliyoahidi mengi ya kukurupuka wakati ikiingia madarakani ikiwamo barabara za juu..ikishindwa hili dogo..yatawezekana hayo?????
   
Loading...