Unakumbuka ulimsingizia Mzee mtei kuwa alikuomba ugombee ubunge kupitia Chadema ukakataa kuwa ni chama cha Wachaga.
Vilevile unakumbuka maneno ya Mzee Mtei
Quinine.
"Tena uandike kabisa, mimi ndiyo ninao ushahidi wa wao kunitaka nikagombee kupitia chama chao nikakataa, kwa sababu siwezi kuhamia kwenye chama cha Wachagga, kile ni chama cha ukoo"
Vilevile unakumbuka maneno ya Mzee Mtei
Sasa nakuomba kwa ninavyowajua wachaga (machalii) kabla ya kuja kwenye kampeni Arumeru Mashariki ni busara ukawaomba radhi watu wa Kilimanjaro na Arusha.Mtei: Nape ametutukana, amevivunjia heshima
Mwasisi wa Chadema, Edwin Mtei, amekaririwa akisema Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye kwa kauli yake ya kuwa Chadema ni chama cha Wachaga kuwa kijana huyo amemvunjia heshima mbele ya jamii.
Mtei alisema kada huyo wa CCM amejivunjia heshima na kukosa adabu. "Kijana huyu Nape ametutukana kabisa, amejivunjia heshima na amekosa adabu. Kiongozi mwenye busara huwezi kutamka maneno kama haya," alisema Mtei.
Quinine.