Chadema kesho kupiga kura za maoni Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kesho kupiga kura za maoni Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Molemo, Feb 28, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri.Tunaamini ushindi ni kwa Joshua Nassary
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mbona mgombea kaishapatikana siku nyingi hizo kura ni kujikosha tu, mgombea ni yule aliyefanyiwa harambee na viongozi wa Chadema.
   
 3. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi waliochukua form ni wangapi na majina yao ni yapi?
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mchuano unawahusisha member wangapi?
   
 5. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kama unalijua hili tatizo lako nini?
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kila la heri kwa wana CDM lakini mwisho wa siku itakuwa ni kama Igunga na Uzini.
   
 7. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba haki itendeke kwa usawa!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Bora harambee kuliko wizi wa hela za kodi za wananchi kama wafanyavyo magamba
   
 9. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini tuukatae ukweli na kutaka kuuthibitisha uongo hili ilitatugharimu mi nadhani ili hili liwe sawa ni bora kusema kinachokwenda kufanyika ni formalities tu and nothing else........... Ukweli ulishajulikana sasa kwa nini kuwekwe tena chembe za uongo........ Kila lakheri Joshua Nassary
   
 10. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Thibitisha unayoyasema. Vinginevyo unataka kuleta chokochoko ili ionekane CDM hakuna demokrasia kama CCM. Maana katiba ya CCM haisemi mshindi ni yule aliyepata zaidi ya asilimia 50 ya kura za maoni; lakini kwa manufaa ya kundi fulani wameamua kura zirudiwe ili kumpata mgombea
   
 11. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Viva cdm viva 4reva
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  na nyie wenu ni yupi ni huyu mkwe wa lowasa au??
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  tunaomba kama jina la chama lilivo demokrasia izingatiwe, na demokrasia ni pamoja na kukubali kushindwa! maana chama ni kimoja kina itikadi moja katiba moja na sera moja kwa hiyo kura zipigwe bila mizengwe yoyote ili wataoshindwa waungane na mshindi kupeperusha bendera ya chama na hatimaye kutwaa hicho kiti,hatutaki kusikia walioshindwa wakilalamikia rushwa na kukimbilia vyama vingine kumbukeni kupambana na rushwa na ufisadi na kupanua wigo wa demokrasia na hatimaye maendeleo kwa wananchi ndio ajenda kuu ya chama sasa itekelezwe kwa vitendo huko Arumeru CCM nao wajifunze toka CHADEMA, Mungu Awabariki!!
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mtaweweseka sana lakini Joshua Nassary atawatoa kamasi Magamba
   
 15. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu utawaweza hawa magamba Ritz,Rejao,Kengemumaji n.k,wana visa balaha,yaani wakisikia cdm roho zinaruka
   
 16. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wanazuga naona wanataka kumtosa mkwe wa Lowassa wameweke mtu wa Nape(SARAKIKYA) maana hii ni kupimana ubavu,NAPE vs LOWASSA
   
 17. L

  LLJ Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahuku kutakua na duru ya pili kama magamba..?
   
 18. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Cdm hatubahatishi nimoto mpaka magogon duru lapili?utasubiri sana mwambie ****** hatuogopi risas tumezizowea
   
 19. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  weeeee thubutu huku hakuna ma.ga.mba hayo mambo yataanzia wapi?
   
 20. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  unamuogofya eeeh? unalo
   
Loading...