DP iungane na CHADEMA

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
MAWAZO YANGU! Kwanza nimpongeze sana baba yangu Rev.CHRIS MT,Sifa zake nazifahamu hasa aliponifanya niwachukie magabachori.sifa ya kusikia ni pale alipokuwa machachari wa kujenga hoja akiwa Tosamaganga Sec.School ambapo baba yangu 'alikaacha kakiwa Santen' Baba yangu alitumia neno 'kali' kwa sababu ya udogo aliokuwa nao Chris kadhalika babu yangu alimfumdisha History huyu Rev MT.SASA ANAZEEKA,FIKRA ZINADHOOFU KWA HIYO NAMSHAURI AFANYE KAMA Nccr AUNGANISHE NGUVU NA CDM ILI MAJIMBO YA MAKETE,LUDEWA YAWE NA WABUNGE TOKA DP. NAIMANI KWA HIYO ALLIENCE MH.REV MT UTAONYESHA UJASIRI UNAOWAKILISHA SISI WANYALU WOTE NA PIA KUMBUKA CDM NAO WANATUMIA KAULI MBIU KAMA YA DP YAANI SAA YA UKOMBOZI IMEWADIA. Unganisha na uonyeshe uintellectual ambao Marehemu mwalimu wako wa history na mwl.mwakisusange walikuwa wanakusifia kwa ujasiri wako katika kweli.
 
Mmmhm muanzishaji wa thread najua unafikra nzuri za kuona Tz inakombolewa lakin tatizo inaonekana humfahamu vizuri mtu unayemuongelea .Mtikila anakula huku huku, haaminiki.kumbuka lile tukio la mama rwakatale na kakobe, Rostam na Mengi.ila kama unafahamiana naye in person unaweza kuongea nae akakupa mtizamo wake.
 
Mmmhm muanzishaji wa thread najua unafikra nzuri za kuona Tz inakombolewa lakin tatizo inaonekana humfahamu vizuri mtu unayemuongelea .Mtikila anakula huku huku, haaminiki.kumbuka lile tukio la mama rwakatale na kakobe, Rostam na Mengi.ila kama unafahamiana naye in person unaweza kuongea nae akakupa mtizamo
wake.
Mkumbushe pia vituko vyake kule Tarime.
 
MAWAZO YANGU! Kwanza nimpongeze sana baba yangu Rev.CHRIS MT,Sifa zake nazifahamu hasa aliponifanya niwachukie magabachori.sifa ya kusikia ni pale alipokuwa machachari wa kujenga hoja akiwa Tosamaganga Sec.School ambapo baba yangu 'alikaacha kakiwa Santen' Baba yangu alitumia neno 'kali' kwa sababu ya udogo aliokuwa nao Chris kadhalika babu yangu alimfumdisha History huyu Rev MT.SASA ANAZEEKA,FIKRA ZINADHOOFU KWA HIYO NAMSHAURI AFANYE KAMA Nccr AUNGANISHE NGUVU NA CDM ILI MAJIMBO YA MAKETE,LUDEWA YAWE NA WABUNGE TOKA DP. NAIMANI KWA HIYO ALLIENCE MH.REV MT UTAONYESHA UJASIRI UNAOWAKILISHA SISI WANYALU WOTE NA PIA KUMBUKA CDM NAO WANATUMIA KAULI MBIU KAMA YA DP YAANI SAA YA UKOMBOZI IMEWADIA. Unganisha na uonyeshe uintellectual ambao Marehemu mwalimu wako wa history na mwl.mwakisusange walikuwa wanakusifia kwa ujasiri wako katika kweli.

Vimelea vya ukabila!
 
Mmmhm muanzishaji wa thread najua unafikra nzuri za kuona Tz inakombolewa lakin tatizo inaonekana humfahamu vizuri mtu unayemuongelea .Mtikila anakula huku huku, haaminiki.kumbuka lile tukio la mama rwakatale na kakobe, Rostam na Mengi.ila kama unafahamiana naye in person unaweza kuongea nae akakupa mtizamo wake.

Mkuu, Kosa mojawapo tunalo lifanya ni hilo! Kama mwanadamu anayo madhaifu yake na si mkamilifu! Na dhamira inapo msuta anatubu mbele ya Mungu wake, haitupasi kumnyooshea kidole. Jee wewe binafsi umeteleza na kuanguka mara ngapi? Jee uliendelea kugalagala chini! Si uliinuka na kusonga mbele!

Mimi Naunga mkono hoja ya mtoa hoja!
Thanks!
 
Kunguru hafugiki!! Nakumbuka kuwa Mim i na Rafiki zangu tulimchangia fedha aiende Kigoma kumfanyia kampeni DK. Warid Kabouru wakati huo akiwa CHADEMA ili ukombozi wa Tanganyika uanzie Kigoma kwenye uchaguzi mdogo wa kwanza baada ya kuanza kwa vyama vingi(1993), lakini hakuweza kwenda maana Inteligensia ya Wanamagamba walimdaka Airport!!!! Angelikuwa si kunguru, CHADEMA ingemfuga tangu wakati huo!!!
Je unakumbuka baada ya Kolimba kufariki, Mtikila alidhaminiwa kugombea huko? kipi kilichotokea?
 
Hata ile kesi ya kutaka mgombea binafsi, kuna mtu behind alikuwa akimgharimia. Kiukweli Mtikila ni mzuri tuu kwa kujenga hoja tatizo lake ni umasikini uliotopea hivyo kujikuta analazimika kutumika ili kusurvive. Kuna moja ya kesi zake pale Kisutu ambayo ilikuwa haina mfadhili, alikuwa analazimika kufika kwa kutumia usafiri wa bajaj!.

Binafisi nilikutana nae mahali miaka ya nyuma na mazungumzo yetu yalikuwa kama ifuatavyo

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/73798-uso-kwa-uso-na-mtikila-akataa-hongo-ya-millioni-100-a.html
 
Vimelea vya ukabila!

Kwa HIYO HAPO UMETHINK GREAT MWENZANGU!POLE SANA,maana kuandika maneno hayo siukabila bali kukumbusha spirit ya ujasiri hao wanyalu wakisema basi maana yake basi[KUMBUKA USHUJAA WA MKWAWA].ACHA FIKRA ZA UKABILA UTAKULA NYAMA YA MTU SIKU MOJA
 
Mtikila ni mpigaji mzuri sana,lakini anaweza kushinda ubunge huko kwao iringa ila anahitaji support nzuri,tatizo kubwa la huyu mkuu ni binadam ambaye haaminiki hata kidogo,anaweza kuwageuka wenzake any time,huyu na mrema sawasawa!
 
Mtikila bado ni CHADEMA, maana sijasikia siku akirudisha kadi. Mwaka 1997 aligombea ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Ludewa (baada ya kifo cha Horace) kwa tiketi ya CHADEMA. Ila kama wachangiaji wengine walivyosema, KUNGURU HAFUGIKI.
 
Kunguru hafugiki!! Nakumbuka kuwa Mim i na Rafiki zangu tulimchangia fedha aiende Kigoma kumfanyia kampeni DK. Warid Kabouru wakati huo akiwa CHADEMA ili ukombozi wa Tanganyika uanzie Kigoma kwenye uchaguzi mdogo wa kwanza baada ya kuanza kwa vyama vingi(1993), lakini hakuweza kwenda maana Inteligensia ya Wanamagamba walimdaka Airport!!!! Angelikuwa si kunguru, CHADEMA ingemfuga tangu wakati huo!!!
Je unakumbuka baada ya Kolimba kufariki, Mtikila alidhaminiwa kugombea huko? kipi kilichotokea?
Mzee unakumbukumbu sana, nakumbuka huyu jamaa mwaka 1990 wakati bado kuna mvutano wa kuruhusiwa vyama vingi alikuwa anajitepu kwenye kanda maneno ya kumkashifu Nyerere na kutuletea Chuo kikuu kutuuzia kwa kificho. Watu walikuwa wanaogopa hata kuzisikiliza kanda zake kwa sauti kubwa kwa kuongopa yale maneno yake makali. Ingawa amechangia katika ustawi wa mageuzi lakini kwa sehemu kubwa amechangia kudidimiza mageuzi.
 
MAWAZO YANGU! Kwanza nimpongeze sana baba yangu Rev.CHRIS MT,Sifa zake nazifahamu hasa aliponifanya niwachukie magabachori.sifa ya kusikia ni pale alipokuwa machachari wa kujenga hoja akiwa Tosamaganga Sec.School ambapo baba yangu 'alikaacha kakiwa Santen' Baba yangu alitumia neno 'kali' kwa sababu ya udogo aliokuwa nao Chris kadhalika babu yangu alimfumdisha History huyu Rev MT.SASA ANAZEEKA,FIKRA ZINADHOOFU KWA HIYO NAMSHAURI AFANYE KAMA Nccr AUNGANISHE NGUVU NA CDM ILI MAJIMBO YA MAKETE,LUDEWA YAWE NA WABUNGE TOKA DP. NAIMANI KWA HIYO ALLIENCE MH.REV MT UTAONYESHA UJASIRI UNAOWAKILISHA SISI WANYALU WOTE NA PIA KUMBUKA CDM NAO WANATUMIA KAULI MBIU KAMA YA DP YAANI SAA YA UKOMBOZI IMEWADIA. Unganisha na uonyeshe uintellectual ambao Marehemu mwalimu wako wa history na mwl.mwakisusange walikuwa wanakusifia kwa ujasiri wako katika kweli.

Kwa mwendo wa Mtikila, jamani kesho tavuruga watu!!!
 
Back
Top Bottom