Imevuja: Siri ya mpango wa sioi na Sarakikya kurudia kura ya maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imevuja: Siri ya mpango wa sioi na Sarakikya kurudia kura ya maoni

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by chachana, Feb 28, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanabodi,
  Baada ya JF kunasa na kurusha TETESI ya mpango wa awali CC (Mapendekezo ya Mwigulu) ya CCM ambao ulikuwa na lengo la kuwatosa WANNE wa kwanza na kurudia kura kwa WAWILI wa MWISHO, sasa wameamua kufanya kwa kinyume chake ila kwa gharama kubwa. WAWILI WA KWANZA kurudia kura.

  Kama inavyojulikana kuwa SIOI anabebwa na kundi la EL na UVCCM yote ya mkoa wa Arusha. Zengwe la suala la URAIA wa SIOI lilionekana kituko sana na limeaibisha sana kundi la BM. Mpango unaosukwa sasa ni wa kugombania kura walizopata za Elirehema na Elishilia. Kwa sehemu kubwa kura za sasa zitakuwa za ukanda katika koo za Meru.

  Imeshajulikana wazi kuwa SIOI hatakiwi na wakubwa na marudio haya ni MTEGO ili kumpa SARAKIKYA nafasi ya pili ambayo kimsingi ATAPITISHWA. Pamoja na hayo kuna zengwe linaandaliwa kubwa zaidi (MTALISIKIA NA MTASHANGAA) ambalo UVCCM arusha wameapa kuwa SIOI akitolewa kwenye nafasi hiyo basi hawatashiriki kampeni zote na watawahamasisha vijana wasishiriki kampeni hizo.
   
 2. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara watoswe wanne wa mwanzo wabaki 2 wa mwisho! mara watoswe wanne wa mwisho wabaki 2 wa mwanzo! mkanganyiko tu huu! Hizi habari za kutengeneza zina matatizo sana kuzitetea!
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waiter Lete nyingine, mpe moja supervisor, moja kaunta na nyingine chukua mwenyewe!!!
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kazi kwelikweli tatizo mkuu ni pale kile kinachotarajiwa kufanywa kuvuja kabla hivyo kukibadilisha. hata hivyo tutarajie hayo sioi akitoswa EL naye atamwaga mboga kwa kuhakikisha aliyeteuliwa hapati ubunge kwa gharama yoyote ile.
   
 5. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ila nitakapo lipa bili yangu napenda nanyi muwemnalipa zenu
   
 6. m

  msnajo JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,129
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Kwani hao UVCCM ndo wapiga kura? Ndo maana RA alisema siasa za CCM "maji taka"
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna makundi mawili kundi na Nape Vs EL. sisi yetu macho wacha vyuma viumane.haya yote yanayojitokeza ni kutokana na uozo ambao upo kwenye system.aingii akili issue ya 50% ije kuamuliwa na CC hivi wao katika level ya mkoa hili hawakuliona kabla ya kutangaza matokeo?

  Dhambi ya rushwa na umtandao itawatafuna daima.
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,206
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Adui muombee njaaaaa...

  Nilipoona tu uwezekano wa Nape kwenda kumpigia kampeni mkwewe Lowassa nikajua hapa patachimbika, na watu wameanza kubeba sululu na majembe. Always vita ya panzi huwa inamnufaisha kunguru CDM
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Wenyewe kwa wenyewe wanaanza kugombana hao hao!
  Huo ni wimbo unaotumika na wazaramo kwenye mdundiko bila shaka na wakwere pia!
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yetu macho na masikio.ya kwao shughuli..
   
 11. d

  dguyana JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa yeyote atakae kaa ni shida kwa CCM. Tayari mgawanyiko umeshatokea. Labda watafute watu wengine mbali na hawa.

  Unajua hata wazo la mwigulu(kama ni kweli) la kuchagua wengine mbali ya hawa lilikuwa zuri sana.

  Ila mwisho wa siku ya ngoswe .........

  Waiter somba viti, meza na glass sasa navyenyewe vile bata!!!.
   
 12. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Hizo propaganda,Urais hautafutwi kihivyo huyo EL anamatatizo yake anadhani waTz wanaweza kumpatia huo URS kwa kuchanganya watu ajifute usoni aone jinsi alivyo na vumbi,yeye halioni lakini siye twaona huo utakuwa mwaka wa CDM itakuwa kama Kenya ,Malawi <Zambia nk
   
 13. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wajumbe ni walewale watamwagiwa kitita apite Sioi Sumari
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Ingependeza walumbane mpaka wote wajione ni mafisadi flu!
  NDIPO HILI NENO LINAKAMILIKA.

  Kupasuka kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,160
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa vijana wanaosoma Political Science huko vyuo vikuu hawawezi kweli kufanya tafiti na wakitoa kitaifa kujua kitu gani kimejili kwenye chama kongwe linaloitwa CCM kuwa wanafanyiziana namna hii katika kila chaguzi
   
 16. Mshangai

  Mshangai JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 230
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  CCM wampitishe Sioi (lakini kaoa) au Sarakikya au hata Nape sidhani kama hiyo ina impact yeyote kwa wakazi wa Arumeru katika kuchagua Mbunge wao, kwani wote hao ni zao la chama kilekile kilicho wazalishia Umasikini,maradhi na ujinga.
  Chama ambacho itakuwa ujinga kama wameshaelewa kuwa zawadi za kanga,kofia na vitenge wanavyogawa wakati wa kampeni ndio Laana na chimbuko la dhiki zao miaka yote hii kisha wao wakakichagua. Wachawi wakigombana ni ahueni ya wenye haki na chimbuko la wokovu.
   
 17. Ambrose Nshala

  Ambrose Nshala Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini demokrasia ndio jibu la kweli...CCM isipindishe ukweli..atakayepata kura nyingi ndio apitishwe hata kama wachache watafurahia.
   
 18. G

  Gongolo Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Amekuambia nani mdundiko ngoma ya wakwere? Polepole!!
   
 19. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama anafaa mchukueni nyie,mara hivi mara hivi,mwisho wa siku mtadai mmechakachuliwa,wenzenu wanajipanga
   
 20. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,469
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Hapa hili swali tumwulize mwalimu wao CCM Bana!
   
Loading...