Dr. Mwakyembe anahitaji watetezi nje ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Mwakyembe anahitaji watetezi nje ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PETER JOHN MLAY, Feb 23, 2012.

 1. P

  PETER JOHN MLAY Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr. Mwakyembe amekuwa mmoja kati ya wale wachache wanaolengwa na mafisadi kunyamazishwa kwa njia yeyote ile. Bahati mbaya sana amekamatika na tayari afya yake imezurika kwa kiasi kikubwa sana. Rai yangu kwa wana CHADEMA wote na wana harakati wote ni juu ya kuunganisha nguvu zetu kulisemea jambo hili kwa nguvu zaidi kuliko jinsi linavyo ongelewa kwa sasa. Tuvuke mipaka yetu ya kisiasa na sasa tuone wazi kuwa Dr. Mwakyembe ni mwenzetu mpiganaji mwenzetu japo yupo ndani ya chama cha mafisadi na pia katika serikali inayo linda mafisadi.
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jitahidi ku-proof read kabla hujapost! pia kwenye title "Mwakambe"!!! inaonekana ulikuwa na haraka sana!!!!
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umeeleweka mkuu pamoja na mapungufu ya kiuandishi!ni wazo zuri,ila Mwakyembe nae atoke huko,anang'ang'ania nini wakati wanamuhujumu mpaka uhai wake?mwalimu ambae ni muasisi wa hiko chama,aliwahi kutamka kua mizengwe ikizidi atarudisha kadi na kuachana na c.c.m,kwa kua si mama yake
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shida ya issue ya Dr. Mwakyembe ni ushahidi, huwezi kumtuhumu mtu kampa sumu mtu halafu ukawa hauna ushahidi vinginevyo unajitafutia matatizo ya kulipa fidia watu bure kabisa.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mwakyembe bado ana mdomo, ajisemee wapi patamfaa. Tunaweza kumsemea kumbe ni intelijensia ya ccm at work.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shida ya issue ya Dr. Mwakyembe ni ushahidi, huwezi kumtuhumu mtu kampa sumu mtu halafu ukawa hauna ushahidi vinginevyo unajitafutia matatizo ya kulipa fidia watu bure kabisa.
   
 7. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,112
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Haya ndio mambo yanayotuangusha kila siku, tunawaomba wanasiasa watudanganye," tudanganyeni hivi tutakubali!" Dr Mwakyembe ni mmoja katika kundi la majambazi, kinachotokea ni kuwa walipoiba wakampunja mavuno sasa ametishia kusema na wao wanamwinda wamnyamazishe, ugonjwa haumbadilishi dhamira yake mbaya
   
 8. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Kiukweli ujumbe umetufikia habari ya lugha wote zinatusumbua sana, Ndugu yangu mleta mada ukosahihi sana, Hili swala la Mwakyembe inatakiwa lifuatiliwe kwa kina, Watu wengi tulikuwa tunamlazimisha Mwakyembe aseme nini kinamsibu, Lakini mgongano wa vyombo vya dola na wizara ya afya na kufuatiwa na majibu ya Mwakyembe inatupa wasiwasi kua Mwakyembe amefanyiwa jambo lisilo la kawaida.Hivyo Watanzani ingawa sisi ni makondoo pumbafu tujitahidi kuwawajibisha hawa manyang'au.
   
 9. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,112
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Halafu tusiingie katika mtego wa kufikiri eti kila aliye cHADEMA ni mtu safi na hapendi ufisadi. Ndani ya CHADEMA pia wako watu mafisadi hatari tena walitoka CCM au hawapo CCM kwa vile walikosa tu channel au wameona kuna ugumu wa channel.

  Hakuna chama kitachowakomboa watanzania kama tutaendelea kubaki na kuangalia mambo yanavyokwenda. Haya mambo ya itikadi tuachane nayo, tuamue kama walivyoamua Songea kuwa hili hatulitaki bila kujali itaikadi, tuamue kama walivyoamua Mbeya. Leo rais anaambiwa hadharani alishiriki na anajua kila kitu katika Richmond eti tunamchekea hata kamaandamano kadogo hakikufanyika. madaktari wamethibistisha inawezekana bila chama cha siasa wala itikadi.Mambo ya msingi mbele itikadi na majina ya wanasiasa uchwara baaadae
   
 10. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Njoo pole pole, anaitwa Mwakyembe na sio mwakwembe. Pia unataka tumhurumie? Tunamuombea ila akitaka maombi na utetezi zaidi atoke ccm kwanza

   
 11. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Mkuu upo sahihi, sisi Watanzania tupo kama tunalaana vile, Kwasababu Maswali Magumu sisi tunayajibu kwa majibu rahisi ambayo ni makosa.Yaani nchi zima limejaa laana tupu.
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  let him take the big secret to his grave..tired of this gibberish,he is just one of them but only in a different looting camp.
   
 13. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hili jambo la Mwakyembe ni gumu. Najiuliza, je kamada wa makosa ya jinai alipotoa taarifa kuwa Mwakyembe hakuwekewa sumu bali ana ugonjwa wa ngozi tarifa zilikuwa sahihi au la? Pia kamanda aliamua kukaa kimya baada ya Mwakyembe kujibu ni kwa nini? vyombo vya dola na vya kiintelijisia vina nafasi kubwa sana kumsaidia Mwakyembe na taifa kwa jumla. sidhani kama mtu mmoja mmoja ataweza kufumbua fumbo hili. NI NANI HASA MWENYE TAARIFA SAHIHI KUHUSU MAFISADI NA NI NANI HASA MWENYE UWEZO WA KUWAONDOA? TUKIJUA HILO UTAKUWA NI MWANZO MZURI ...
   
 14. P

  PETER JOHN MLAY Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana kwa mawazo yako, lakini kumbuka kuwa Mwakyembe ni mtanzania anaye pitia wakati mgumu kutokana na misimamo yake iliyo kinyume na wana CCM wengi japo yeye ni mwana CCM. Hoja yangu ni kwa watanzania kama wewe kuungana ili kuwatetea watu kama hao ambao wapo kwa maslahi ya watanzania. Tuvuke mipaka ya vyama kwa jambo kama hili.
   
 15. C

  Cos 'B' New Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyabingi hilo nalo neno mana Mwakyembe anajua jinsi tulivyoibiwa na tunavyoibiwa Watanzania lakn hatak kusema kwa sababu anashirikiana na mafisadi kutuangamiza! Mwache afe polepole ili liwe funzo kwa wengne wanafiki kama yeye!
   
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa Peter!!It's either NOW or NEVER!!
  Yafaa nini kuja kutoa rambirambi likitokea la kutokea(GOD forbid),wakati tulikuwa na nafasi ya kumsaidia na tukakaa kimya?
   
 17. P

  PETER JOHN MLAY Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo yako ni ya msingi sana, hakuna jinsi tutakavyo weza kuikomboa nchi yetu hii kama hatutavuka mipaka ya vyama na itikadi zake.
   
 18. P

  PETER JOHN MLAY Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ndio msimamo tunaotakiwa kuupeleka kwa kila mpenda haki wa nchi hii. Tuweke chini itikadi za vyama vyetu sasa na tuinuke kama watanzania kupigania haki za wale wote wanaofanyiwa vitendo visivyo sawa ili kuwanyamazisha.
   
 19. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Inapofika wakati kama huu ambapo uhai wa mTanzania una tishiwa na genge la mafisadi,kila mTanzania inabidi achukie suala hilo na kichukua hatua binafsi ya kupambana nalo.
  Utetezi wa haki si suala la chama bali wananchi wote wenye uelewa wa utawala bora.
  Kimsingi CCM inaanza kukosa uhalali wa kuwepo madarakani kama kinafikiri kinaweza kuwafurahisha mafisadi na wapinga ufisadi kwa pamoja, na chama kuendelea kuishi kama kawaida.
   
 20. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Toka ccm mzee watakumaliza!! Oh hoo,! Unachezanao. Huwezi kumpatia mtu sala ya toba wakati hajakiri mwokozi wake, kama ni yesu au mtume! Cwezi kufanya kazi ya kuesabu njiti,atoke mwenyewe. Kwani ckunavyombo vya habari?! aite nakutangaza kumkana kwanzia jk mpaka mtendaji wa kijiji chake. Actuzingue hapa bwana. Watu wanauwawa na polisi (walioko chini ya ccm) kilacku halafu bado anasubiri kufia ndani ya ccm. Kama ndio pendekezo lake hayabwana jehanam njema!
   
Loading...