Naomba kuuliza matokeo ya Arumeru Mashariki 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuuliza matokeo ya Arumeru Mashariki 2010

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mpigania Uhuru, Feb 28, 2012.

 1. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana JF naomba mtu mwenye data kamili kuhusu washiriki na MATOKEO Yao ya ubunge (percentage) wa ARUMERU mashariki anijuze.
  I know things are dynamic and can not be used solely to Predict outcome of the co
  Coming election, for we who are lacking opinion poles can give a clue in this high dense forest!
   
 2. G

  Galula Jr Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ccm 34661 62.23%
  chadema 19123 34.33%
  tlp
  cuf
   
 3. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  cjakuelewa hata kidogo
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  matokeo ni haya hapa ndugu

  [TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]WILAYA YA MERU[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%, bgcolor: #b3d5e6"]Candidate[/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6, align: center"]
  Political Party
  [/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6, align: center"]
  Number of Votes
  [/TD]
  [TD="width: 15%, bgcolor: #b3d5e6, align: center"]
  Percentage Votes
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] SUMARI JEREMIAH SOLOMON [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CCM
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]34,661[/TD]
  [TD="width: 15%"]62.23[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] JOSHUA SAMWEL NASARI [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CHADEMA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]19,123[/TD]
  [TD="width: 15%"]34.33[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] JOHN YESAYA PALLANGYO [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CUF
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]265[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.48[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] LINDA PENIELI BANA [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  JAHAZI ASILIA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]176[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.32[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] FANUEL GABRIEL PALLANGYO [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  TLP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]88[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.16[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] CHARLES MOSES MSUYA [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  UPDP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]88[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.16[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 5%"] [/TD]
  [TD="width: 15%"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"]1,297[/TD]
  [TD="width: 15%"] 2.33 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"] 55,698[/TD]
  [TD="width: 15%"] 100 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 5%"] [/TD]
  [TD="width: 15%"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  haya fanya statistical analysis uangalie kama kuna correlation kati ya 2010 na 2012 utupe jibu nani ataibuka mbunge
   
 5. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  It is a good chance for CHADEMA.
   
 6. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona cuf wakikua na mtaj igunga na wakaambulia kura 2000,au wapigakura wao walikufa?kura sio kitu cha kuongezea upepo hua unabadilika,uzin simliona wenyewe?bila nasar siend meru kukampen God bariki cdm
   
 7. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Mchuano utakuwa mgumu sana, cha msingi chadema kulinda kura zake tofauti ya kura 15000+ ni nyingi sana ninahitajika kazi ya ziada hapa ndipo naona umuhimu wa feasibility study.
   
 8. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Naomba kujuzwa Arumeru ina kata na vijiji vingapi.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Pamoja na SUMARI kutopiga kampeni bado CDM waliachwa mbali hivyo? sijui uchaguzi huu itakuwaje...ngoja tusubiri.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ya tshs.19 milioni?
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: toccolours"]
  [TR]
  [TH="width: 100%, bgcolor: lightsteelblue, align: center"]Kata za Wilaya ya Arumeru - Tanzania[/TH]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3, align: center"]Akheri | Bangata | Bwawani | Ilkiding'a | Kikatiti | Kikwe | Kimnyaki | King'ori | Kiranyi | | Leguruki | Maji ya Chai | Makiba | Maroroni | Mateves | Mbuguni | Mlangarini | Moivo | Moshono | Murieti | Musa | Mwandeti | Nduruma | Ngarenanyuki | Nkoanrua | Nkoaranga | Nkoarisambu | Oldonyosambu | Oljoro | Olkokola | Oltroto | Oltrumet | Poli | Singisi | Sokoni II | Songoro | Usa River
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Safari hii watajumulisha na za CUF, Jahazi asilia na UPDP angalau kupunguza gap la kura 15,538 za mwaka 2010 pamoja na SUMARI kutopiga kampeni.
   
 13. p

  politiki JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  MATOKEO YA TUME HAYAKUWA SAHIHI: JOSHUA 27000 NA SUMARI 34000.

  matokeo ya tume hayakuwa sahihi kwa maana hayajafanyiwa marekebisho kwa maana alipoulizwa yeye mwenyewe joshua alisema amepata kura 27000 na ushee kwahiyo hayo matokeo ya kutoka kwenye tume ya uchaguzi hayakuwa sahihi kwahiyo hayawezi kuwa kipimo kizuri cha kupimia. joshua alitoa takwimu hizo siku alipokuwa akichanguwa pesa za kugombea kwenye hoteli moja huko Arusha.
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Siyo sawa kwani zinazotambulika ni ambazo zimetolewa na yume ya uchaguzi cha msingi nguvu uliyotumika kulinda kura Arusha inapaswa itumike Arumeru.
   
 15. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Yap, kata zipo zaidi ya 30 inapaswa kwenda kata moja baada ya nyingine kufanya utafiti kazi siyo ndogo.
   
 16. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Huu uchaguzi utakuwa mgumu sana CDM haitakiwi kuubeza hata kidogo
   
 17. p

  politiki JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kumbuka matokeo yalikuwepo kwenye tume ya uchaguzi mengi si sahihi hata tume yenyewe imekuwa ikiyarekebisha kulingana na taarifa wanazopokea mfano ni yale ya zanzibar yaliyoonyesha chadema imeshinda kwenye moja ya majimbo ya huko lakini yalikuwa ni makosa lakini ninachojaribu kukisema ni kwa mujibu wa joshua mwenyewe kwa wale wanaofuatilia matukio watakuwa wamesikia haya ninayoyasema alipohojiwa kuhusu kugombea tena akasema kuwa ktk uchaguzi wa kwanza alipata kura zaidi ya 27000.
   
Loading...