NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Chiligati juzialitaka kujiuzulu ujumbe wa Sekretarieti ya chama hicho mbele ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete kutokana na kukerwa na kile alichokiita...
Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, ameibuka na kuweka wazi dhamira yake kwamba, kama Mahakama Kuu itaridhia uamuzi uliofikiwa na Baraza Kuu la Uongozi wa CUF Taifa wa kuvuliwa uanachama...
Ndugu, wadau nimekuwa nikiitizama Nchi yetu kwa muda mrefu na kuutafakari uelekeo wetu na kushindwa hata kuamua kwa vitu vidogo kabisa. Hebu fikiria hadi leo hii, Tanzania na ikiwa ni hivi majuzi...
Category: East Africa
Published on 28 February 2012
Dar es Salaam. Tanzania has been ranked as the most democratic nation in East Africa region in a research which covered 165 independent...
Leo asubuhi nimesikia habari Radio Free Afrika kuwa mwanasiasa machachari kutoka CHADEMA Tundu Lissu aliomba kufanya mhadhara katika viunga vya chuo kikuu SAUT Mwanza. hata hivyo hilo...
Ni pale ilipotokea kwa viongozi wa CUF wakiongozwa na katibu wao bara Ndg. Mtatiro kufanya mikutano ya mfululizo katika wilaya za mkoa wa Tabora na kuambulia maputu huku wakitumia mbinu za...
Muendelezo wa mauaji ya polisi umeendelea kutokea Urambo, Tabora.
Jana polisi wamemuua kwa kumpiga kijana anayeitwa Mgalula kwa kumtuhumu ni mwizi, hawakutaka kumpeleka mbele ya vyombo vya...
Source:blogu ya michuzi.
Taarifa ya ikulu kwa vyombo vya habari inasema kwamba, Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania jana (29/2/2012) ametoa mwaliko kwa wadau mbali mbali kuwasilisha majina...
Jinamizi linaloendelea kukitesa Chama cha Wananchi (CUF) limeendelea kukigubika chama hicho, kufuatia Uongozi wake Manispaa ya Mtwara-Mikindani kujiuzulu.
Tukio hilo lilitokea jana baada ya...
Nimeonelea ni vyema kuonyesha hatari kubwa inayolinyemelea taifa kwa siku za husoni kutokana na uwepo wa Watanzania wenzetu ambao nyoyo zao wamezielekeza katika Kuhakikisha Kwamba wanakuja...
BG Group to invest $20 billion in Tanzania gas exploration BY GEORGE MWANGI
BG Group plans to invest up to $20 billion to extract gas in Tanzania, The Guardian newspaper reports Wednesday.
BG...
Jk leo atahutubia kama utaratibu ulivyo kwa kila mwisho wa mwezi.
Tusubiri tuone atakuja na yapi yakutuleza sisi wananchi wake wenye matatizo lukuki
stay tuned.
UPDATES
Ameanza sasa kuhutubia...
Aliyekuwa miongoni mwa wagombea ubunge kupitia CCM katika hatua ya kura za maoni na kushindwa na baadaye akahamia CHADEMA na kugombea tena kupitia chama hiki bwana ANTHONY MUSAMI amefukuzwa kazi...
Baada ya kuzuiwa kuongea na wanafunzi wa SAUT ktk viwanja vya chuo kuhusu umuhimu wa KATIBA MPYA, sasa TUNDU ANTIPAS LISSU anaongea na wanafunzi hao ktk ofisi la chama icho tawi la SAUT...
That's right. Baada ya kumsikiliza ndugu Spika Anna Makinda akiongea na watu wa jimbo lake kuwa hana nyumba na itabidi akope ajenge nyumba, nimeona tukusanye kero za viongozi wetu na tuwapelekee...
TUMELAZIMIKA leo kuzungumzia suala la utoaji holela wa uraia wa Tanzania kutokana na mambo mawili makubwa. Kwanza, ni utamaduni wa Serikali ambao unaendelea kushika kasi hadi hivi sasa wa kuwapa...
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya BBC swahili,asubuhi hii.wamefikia uamuzi huo baada ya kumtuhumu kukigawa chama kwa hatua yake ya kuwatuhumu baadhi ya vigogo ndani ya chama kwa mambo...
Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema suala la mafuta na gesi asilia kuondolewa katika orodha ya mambo ya Muungano litajulikana hatima...
Violence rocked Arusha town after the 2010 elections. Picture: File By ELSIE EYAKUZE
Posted Saturday, February 25 2012 at 13:28
About two or three years into the Fourth Administration...
Kuna mambo na vitu vitokeapo katika Jamii huwa na ushawishi mkubwa na mara nyingine huacha alama au urithi (Legacy) kubwa katika maisha ya mtu au Jamii. Wanadamu na Taasisi (kwa kuwa huongozwa na...