Sakata la Sioi: Chilligati alitishia kujiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Sioi: Chilligati alitishia kujiuzulu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by EasyFit, Mar 1, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Chiligati juzialitaka kujiuzulu ujumbe wa Sekretarieti ya chama hicho mbele ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete kutokana na kukerwa na kile alichokiita kuvuja kwa siri za kikao cha sekretarieti hiyo iliyoketi mwishoni mwa wiki kujadili mchakato wa kura za maoni kuelekea uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki.

  Sekretarieti hiyo ambayo ilitoa mapendekezo hayo kwa Kamati Kuu (CC) ya CCM,pia ilitoa angalizo kwamba kama Sioi angepitishwa, chama kingekuwa katika hatari ya kuwekewa pingamizi kutokana na madai hayo ya utata wa uraia na pia,vigogo wengine wangekisaidia Chadema ili kishinde uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili Mosi, mwaka huu.

  Siku iliyofuta mkakati huo ulivuja katika vyombo vya habari siku ambayo pia kulikuwana kikao cha CC na ndipo Chiligati alipolalamika mbele ya Mwenyekiti Kikwete akidaiwa kusema: "Haiwezekani mambo tuliyojadili jana (siku ya kikao) yaandikwekatika magazeti neno kwa neno."

  Wakati Chiligati akijibu hayo, taarifa kutoka ndani ya kikao hicho cha CC,zilisema kwamba baadaye Rais Kikwete aliitaka sekretarieti hiyo yenye watu tisa ijiangalie yenyewe kujua nani anavijisha taarifa za vikao.

  Source: Mwanachi
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chiligati nae ni janga kuu ktk taifa letu.Ajiuzulu tu,who cares?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  duh!! kweli ccm ni aibu mijitu tisa tu lakini imevujisha siri. kweli watu wamajichokea na hilo lichama
   
 4. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Ndugu Chiligati kuachia ngazi hakuhitaji mabadiliko ya katiba ya chama.
  Aeleze alikuwa wapi wakati wote siri za chama chake zimekuwa zinavuja kwa kasi ya kutisha?
   
 5. n

  nkungu Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi mdogo mambo ndio hivi, je ikifika 2015 itakuaje ndani ya CCM?
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  For this reason uchaguzi wa marudio ni changa la macho tu,anayetakiwa ni Sarakikya
   
 7. n

  nkungu Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatakiwa na nani.
   
 8. n

  nkungu Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatakiwa na nani?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  duh, ashakum si matusi... umeshawahi kusikia changu anatishia kustaafu?? sijui nani atambembeleza kurudi kazini!!

  CCM are better off people like chiligati kwani tangu wawe active hapo juu ndio graph ilianza kushuka "free fall" ningekua JK ningesema thanks, and goodbye!!... wanaCCM wanatakiwa wajue hii ni missed opportunity ya kumuacha huyu jamaa kubaki
   
 10. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Huyo mtoa siri ni mwigulu anakula huku na huku
   
 11. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Bado mtoa siri hajakoma,na hili la kutishia kujiuzuru limevuja tena!Watu tisa ni wengi mno
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndiyo faida za kuwa na magroup chamani, angejiuzuru.
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hii habari nayo si ni imetokea kwenye hivyo vikao? which means imevuja..
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  naombeni mniwekee picha ya chiligati mana nishamshahau
   
 15. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hahaha hamna siri ya watu wawili sembuse tisa khaaaa
   
 16. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  tatizo katika hao tisha kila mmoja ana kundi lake na anawakilisha kundi
   
 17. MZEE WA ROCK

  MZEE WA ROCK JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  duuuh! hiyo ni faraja kweri kwa wana mageuzi, watu tisa ndio hivyo tuwasubili siku wakiwa chimwaga
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Imebidi kwanza nijiulize....nani tena kavujisha hii habari ya kikao cha CC?? Je Nchemba alikuwa kwenye hiki kikao?
   
 19. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Na hii ndo ishavuja sasa sijui Chiligati ndo atajiuwa kabisa kuonesha uzalendo!!!!??
   
 20. n

  nicksemu Senior Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  secret is something which a person tells everybody not to tell anybody
   
Loading...