Mgombea ubunge Arumeru Mashariki afukuzwa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea ubunge Arumeru Mashariki afukuzwa kazi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Idimulwa, Mar 1, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Aliyekuwa miongoni mwa wagombea ubunge kupitia CCM katika hatua ya kura za maoni na kushindwa na baadaye akahamia CHADEMA na kugombea tena kupitia chama hiki bwana ANTHONY MUSAMI amefukuzwa kazi na mwajiri,awali Ndg Musami alikuwa ni mkuu wa shule ya sekondari moja inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania huko Arusha.

  Source:Tanzania Daima la leo ukrs 2.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,720
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  kwangu mimi namwona kama ni mtu mwenye tamaa sana,kama yupo serious na mapambano chadema itafanya naye kazi
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,747
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Mkuu ulitegemea nini wakati alikuwa mwajiriwa wa jumuiya ya wazazi ya CCM?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  shule za jumiya ya wazazi mmilik wake ni c.c.m,
  ile jumiya inaitwa TAPA,unadhan watamwacha?
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ndo changamoto za dunia askate tamaa
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Si ni mwalimu kuna upungufu wa waalimu zaidi ya 1,000 tanzania atapata kazi tu
   
 7. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  amefukuzwa kazi kwa sababu amegombea ubunge au kwa sababu ya utoro kazini
   
 8. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanayo haki ya kumtimua kwani jumuia ya wazazi inayo miliki shule hiyo ni jumuia ya ccm hivyo na hiyo shule ni mali ya ccm. Kuamia chadema au kutofautiana na kanuni na taratibu za ccm za kutanguliza rushwa kwenye chaguzi ni kujiondoa katika ajira zao. Nampa moyo kuwa kama hkuajiriwa kwa kubebwa wala kupendelewa, basi shule zipo nyingi atapata kazi pahala pengine. People's power!!!
   
 9. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ni jambo lililokuwa limetegemewa kutokea, sina uhakika kama aliondoka kwa hasira huko CCM au alishafikiria kabla hajahama kuwa lazima atafukuzwa. Ajipange upya, tamaa mbaya.
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu lakini hii ni haki kweli au ni uonevu...?Naomba ufafanuzi tafadhari hasa toka kwa wana taaluma wa sheria za ajira.
   
 11. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata watoto wanaosoma pale wana itikadi ya ccm
   
 12. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 19,391
  Likes Received: 8,426
  Trophy Points: 280
  daah, inatia huruma sana, Magamba hayana huruma wala hofu ya mungu!
   
 13. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Msihofu nitamtafuta na kumpa kazi baada ya kufahamu masomo anayofundisha.Am serious on this.Abakie CHADEMA nadhani atatupa siri nyingi za dani ya Shule za Jumuiya ya Wazazi.Labda ukute hana cheti cha ualimu.
   
 14. i

  igoji Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shule zipo nyingi sana Arusha na ukitaka kazi utapata kwani tunajua umuhimu wako. songa mbele na usikate tamaa.
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,862
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Hata yeye alijua atafukuzwa tu!!
   
 16. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kila mtu alitegemea ilo,nina hakika hata yeye mwenyewe alijua ilo kwa hiyo alikua ameshajipanga juu ya outcome yake!kikubwa awe makini wasije kumuwekea sumu bure,maana hawatabiriki hawa watu!
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,850
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  lazima atakuwa alikuwa anajua kitakachotekea badaye na pia na imani kuwa atakuwa amejianda kikamilifu
   
 18. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kavuna alichopanda
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,321
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Hakuna mwalimu mwenye shida ya ajira labda awe mwalimu wa magumashi
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,294
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  mwenye access na matokeo ya hiyo sekondari atuwekee hapa...
   
Loading...