CCM na mikutano ya redioni Tabora

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
Ni pale ilipotokea kwa viongozi wa CUF wakiongozwa na katibu wao bara Ndg. Mtatiro kufanya mikutano ya mfululizo katika wilaya za mkoa wa Tabora na kuambulia maputu huku wakitumia mbinu za wanachama wao kushika vichwa ili kuwaadaa watu watakao ona picha hizo kuwa msemaji amefikisha ujumbe kumbe la!

ili kujibu mapigo CCM nao kwa kupitia Mbunge wao Aden Rage wamejaribu kujibu mapigo kwa kuitisha mkutano katika kiwanja hicho hicho ambacho idadi ya watu wakiwa 50 tu kinajaa. Jitihada hizo ziligonga ukuta na hatimae kukimbilia kwenye kituo cha Redio ambacho Rage ni mkurugenzi wake ili kufanya mkutano redioni.

My take; CCM sasa wapo safarini kuelekea kuzimu kwani viwanja vipo vingi ila sasa wanaogopa kipigo au maswali magumu kutoka kwa raia wenye hasira na maisha magumu.........
 
Ha ha ha! Huyo msomali mali Rage asubirie 2015 ndipo atakapojua vichwa vya chadema vipo vipi, hata kama anamiliki VOT but sisis tutamwangusha kwa Radio za umma.
 
unamwongelea rage yule mwizi aliyeiba pesa za michezo na kufungwa enzi zile za FAT,huyu si wakutupotezea mda kabisa.
 
Back
Top Bottom