Tundu lissu anamwaga cheche ofisi za chadema tawi la saut. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu lissu anamwaga cheche ofisi za chadema tawi la saut.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by don-oba, Feb 29, 2012.

 1. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Baada ya kuzuiwa kuongea na wanafunzi wa SAUT ktk viwanja vya chuo kuhusu umuhimu wa KATIBA MPYA, sasa TUNDU ANTIPAS LISSU anaongea na wanafunzi hao ktk ofisi la chama icho tawi la SAUT zinazopatikana eneo la NYAMALANGO. Ameulizwa swali kuhusu posho za wabunge, amedai sheria za nchi NATIONAL ASSEMBLY ADMINISTRATIVE ACT ni raisi pekee ndo anaruhusu posho. Kuhusu wanafunzi vyuoni kucheleweshewa pesa zao, ameishangaa serikali kwani haijawahi kushindwa kugharamia safari za raisi nje ya nchi wala kushindwa kuwalipa posho wabunge. Amewataka wanafunzi kutokaa kimya, amemnukuu prof SHARIFF wa Udsm enzi akiwa anaskul hapo kwamba "NEVER NEVER KEEP QUITE" ametolea mfn madaktari waliogoma. Sasa anazungumza mambo ya KATIBA NA MUUNGANO. Amemtaja Nyerere km mtu ambaye alikua complex, aliutetea muungano wa Tanganyika na Zanzbar huku akimpinga Kwame Nkurumah kuhusu kuanzishwa kwa AFRICAN UNITED STATE! Amemnukuu nyerere aliposema bila CCM mathubutu nchi itayumba huku hapohapo akiishambulia CCM ktk kitabu chake cha UONGOZI WETU NA HATIMA...(nimesahau kidogo). Nitazidi kuwapasha zaidi, mods aunganishe stori. Naona km polisi na usalama wa taifa wanarandaranda hapa.
   
 2. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tupe tupe kamanda.

  ngoja kwanza nioge alafu nirudi cause hapo patakuwa patam.
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Vuneni material kutoka kwa kamanda Lissu...halafu mkayasambaze kila kona ya nchi hii ili raia waamuke.
   
 4. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Anachambua juu ya mamlaka ya raisi kuwateua majaji, anadai hii ni kuingilia mhimili wa mahakama. Anadai kwasasa ili uteuliwe kuwa jaji lazima ujipendekeze kwa serikali.,na akaongeza "huwezi kuung'ata mkono unaokupa chakula" anadai niwachache sana wanaoweza kutenda haki juu ya kesi zinazoihusu serikali. Analaumu katiba hii mbovu mizizi yake ni Nyerere. Anadai enzi wakati anaingia UDSM kitu chakwanza alichoulizwa ni kadi ya CCM...!
   
 5. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  namin walio huzulia kwenye hayo maongez watapata mambo ya muhimu
   
 6. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Namkubali Lisu kwa harakati na masala ya sheria, hivi ni kweli JK alisema ni bora Slaa aingie ikuru kuliko Tundu lisu kuingia Bungeni? Long live Lisu.
   
 7. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mpaka hapo sijaona jipya alilozungumza
   
 8. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ameitaka katiba ya sasa ipunguze mamlaka ya raisi, ametaka wabunge wakuteuliwa wafutwe ili kuleta competent of parliament. Ameonya juu ya serikali kuzuia siasa vyuoni huku ikifundisha somo la siasa. Ameitaka katiba izungumze kuwa raisi awe wa CCM au CHADEMA lazima adhibitiwe akiwa mwizi.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tundu Lissu ni kisima cha sheria. Ni catalyst ya mabadiliko.
   
 10. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  toa elimu mbunge wangu, tulikuchagua ili
  ulete ukombozi nchi hii. Ongea na mpiganaji wa jimbo lako hapo saut mkuu wa chuo father kitima awahamasishe vijana kuingia kwenye ukombozi wa nchi.
   
 11. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Amemaliza, wakuu sijaweza kutoa yote aliyoyaongea ila nimemrekodi ngoja nitafute namna ya kuweka kwenye You tube.
   
 12. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wanafunzi wanataka kusukuma gari lake amewazuia.
   
 13. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hakika watu wamevuna nondo kutoka kwa kamanda Lissu, anauwezo wa kujenga hoja na msimamo madhubuti, viwanja vyote vya chuo cha SAUT wanafunzi wanashangilia wanadai walikuwa na njaa hawana boom ila sasa wameshiba nondo za kamanda Lissu.
   
 14. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ...Boom...poleni sana kwa hili...ina tia simanzi aisee...Nina wapongeza sana kwa kuhudhuria mkutano huo mkiwa na njaa...Mungu atawalipa kwa kuruhusu ukombozi wa kweli ambao hauko mbali sana...Tukazeni buti makamanda.
   
 15. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kazi ya kufikiri kwa masaburi tu!:lol:
   
 16. A

  ABBY MAGWAI Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haki ya elimu uraia ni ya kila mtanzania tuachane na uconservative hakuna atakaye zuia hilo.
   
 17. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  huwezi kuona kwasababu uko kwenye sistim,na unalinda kibarua
   
 18. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Ni bora haujaona. Tena waambie na wenzako muendelee hivo hivo mkijafumbuka macho tupo ikuru.
  Peoplessssssssssssssss''''
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  hakuna kama Lisu.
   
 20. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni kupigana tu hadi kieleweke! Ukombozi wa nchi hii utaletwa na wenye mioyo wa dhati ya kupambana.
   
Loading...