Rais Kikwete ahutubia taifa mwisho wa mwezi Februari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete ahutubia taifa mwisho wa mwezi Februari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edward Teller, Feb 29, 2012.

 1. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Jk leo atahutubia kama utaratibu ulivyo kwa kila mwisho wa mwezi.
  Tusubiri tuone atakuja na yapi yakutuleza sisi wananchi wake wenye matatizo lukuki
  stay tuned.
  UPDATES
  Ameanza sasa kuhutubia
  Naona leo kaingia kwa staili ya Obama-japo corridor yake ni fupi
  Swala la mgomo wa madaktari analizungumzia
  mauaji ya singoe pia yapo kwenye hoja,
  leo naona anafuraha kuliko hotuba zake nyingine,na hajakaa kama zamani,kasimama
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ndan joto,nipo kibarazan hapa,unambie
   
 3. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aende zake hatuna mda naye, sie tuko bussy na shamla shamla matokeo kumpata mgombea wetu arumeru. Lipi jipya toka kwa JK? PEOPLE'S POWER!!!
   
 4. libent

  libent JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwa nini hautubie usiku na anahutubia saa ngapi maana naona TBC wameweka michezo ya maigizo
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  utapata taarifa mkuu
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kwanini ahutubie usiku anataka kuongea na wananchi wake huku wakiwa wamelala? Tupe source
   
 7. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huku kwetu tanesco washalamba uume me wao..
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nazani baada ya hii michezo-naona wameipa hii michezo kipaumbele kwanza...hope does not signify their importance
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwa wale wenye tbc tv na redio,JK anapatikana pande hizo sasa
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni ya mwisho wa mwezi,ameanza na suala la mgomo wa madaktari
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wana JF Rais anatoa hotuba yake ya mwezi na ameanza na mgomo wa madaktari na sasa anatoa pole kwa mauaji ya Songea.

  Twendeni sambamba
   
 12. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba mtujuze ni lipi jipya anatuambia kwani kila mara urudia Hotuba zake
  Nathani atakua anajipya kwa Sasa, Nchi imeshamshinda, ngoja amalizie muda atuachie Nchi yetu tuanze Upya.
  Good Luck JK.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  amezungumzia pia suala la mauaji ya songea watu 13 walikufa,askari polisi 4 walikamatwa
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  bunge kupitisha sheria ya marekebisho ya katiba naye ameshatia saini
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  anawapongeza wabunge hususan vyama vya siasa kwa ushirikiano wao
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ametoa pole kwa wafiwa mauaji ya Songea na kwamba hatua zinachukuliwa kwa waliohusika.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  vyama,wadu mbalimbali na wanaharakati walitaka nisisaini,nami niliwakubalia kukutana nao tukazungumza
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mchakato wa katika amewasifia CHADEMA, CUF na NCCR MAgeuzi kwa kukutana naye.
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  sikutaka taifa liingie kwenye mgogoro usio wa lazima
   
 20. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Madaktari wawe na subira serekali inaanza kuyafanyia kazi mapendekezo ya tume.

  Mauaji ya songea amewapa pole wa wahanga waliouliwa na polisa.
   
Loading...