Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napata tabu sana kupata utashi wa dhati wa viongozi wetu katika suala la kinachoitwa kilimo kwanza. Ukisikiliza sana kauli zao na kuangalia kinachofanyika katika hali halisi utaona kabisa kwamba...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye uchaguzi huu Chadema kimeamua kuhakiki wapigakura wake katika vijiji vyote vya Jimbo la Arumeru Mashariki mbinu ambayo ilitumiwa na CCM kwenye uchaguzi uliopita wa Igunga. Jimbo hilo lina...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Sioi j Sumari ameshinda tena kuwa mgombea ubunge wa jimbo la arumeru mashariki kwa tikiti ya CCM, awali alikuwa ameshinda huku akifuatiwa kwa karibu na Sarakikya. Nauchukulia ushindi huu kama pigo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni baada ya viongozi kujiudhuru na kudai chama kimepoteza dira. source: itv
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Remija Mtema Wapendwa salamu! Familia ya Dr Estelatus Mtema inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki zetu wote kwenye kumaliza msiba (arobaini) ya mpendwa wetu Mh Regia Estelatus Mtema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa ni wanaharakati walio andamana mpaka Ikulu jana kukumbushia azimio la Msumbiji mwaka 2003 juu yaongezeko la chakula mpaka kufikia bajeti ya 10%. Rais hakuona nongwa kuwakaribisha kabisa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za Ijumaa wanaJF Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Julius Mtatiro atazungumza kuhusu majaaliwa ya chama hicho kwa sasa kutokana na upepo mbaya wa kisiasa unaovuma katika Chama hicho, Lakini...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
What next for 'Iron Lady'? Send to a friend Saturday, 25 February 2012 21:49 digg By Bernard James, The Citizen Reporter Dar es Salaam. For Ms Blandina Nyoni, ‘misfortunes rarely come...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Kufuatia hotuba ya JK leo kwa Taifa, ameonyesha wazi kuwa hivi sasa yuko katika wakati mgumu sana wa utendaji wake wa kazi. Amethibitisha kuwa anapata mashinikizo kutoka chama chake CCM, wabunge...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
....Huyu si mwingine bali ni SAID MIRAJ...katika uchaguzi wa mwaka 2010 huyu ndiye mtu muhimu alichangia kushindwa vibaya kwa CUF katika nafasi ya urais kipindi hicho akiwa hana ugomvi wowote na...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na kutangazwa kwa matokeo jimbo la arumeru, baada ya kurudiwa kwa uchaguzi. Mara walisema kuwa jamaa ni mkenya, holo wakashindwa kithibitisha kisha wakaja na sera ya kuwa awali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na kutangazwa kwa matokeo jimbo la arumeru, baada ya kurudiwa kwa uchaguzi. Mara walisema kuwa jamaa ni mkenya, holo wakashindwa kithibitisha kisha wakaja na sera ya kuwa awali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Naomba mwenye wasifu wa kutosha kwa wagombea wa Arumeru Mashariki atutupie hapa ili tunapochangia wote tuwe na uelewa mpana (na si ushabiki tu!!)na pindi tu mmojawapo atakapoingia mjengonu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Heshima yako mkuu, kwanza hongera kwa ushindi wa kishindo ktk kura za maoni ambao nadhani hautatofautiana sana na ushindi wenyewe! Ningependa nichukue fursa hii kukuomba uje hapa jamvini ujadili...
2 Reactions
75 Replies
13K Views
Mbunge Ndesa pesa atagharamia kadi zipatazo hizo, habari ndo iyo
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mvutomkubwa unaotokana na itikadi za kisiasa, umeibuka mbele ya Makamu wa Rais, Dk.Mohamed Gharib Bilal kati ya wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vita kubwa ambayo itagharimu maisha ya wananchi ni migogoro ya ardhi iliyoshika kasi kubwa kwa sasa hapa nchini mwetu.Utendaji mbovu na tamu inayosababishwa na njaa za watendaji waliopewa dhamana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
01 MARCH 2012 Salim Nyomolelo na Grace Ndossa WAKATI wabunge wengi wakishinikiza kuongezewa posho kutoka sh. 70,000 hadi 200,000, imebainika kuwa baadhi yao hawaelewi kutafsiri lugha ya bajeti...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimemsikia Hamad Rashid Mohamed akisema kuwa wakati wa kampeni za ubunge huko Igunga Bw. Mtatiro alipewa kiasi cha Shs. 128 milioni na matokeo yake ni kwamba alizitumia hizo hela kuponda raha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naibu katibu mkuu wa CUF ndugu Julius Mtatiro yupo zake chuo cha SAUT kwa mkutano na wanafunzi ambao ni wanachma wa chama hiko ila mwtikio wa wanafunzi ni mdogo. Je chama kishapoteza dira??
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…