NAMDAI Nassary eneo kubwa la shamba

Ritts

Senior Member
Feb 28, 2012
136
33
Bw nassary mimi ni mkazi wa sing'isi meru na ni mmoja nliyekupa kura ktk mchakato wa awali wa maoni.Unafahamu kuwa kipindupindu kimeua wanetu kutokana na msongamano wa watu,ufinyu wa maeneo.mwaka juzi tuliingia kwa jinai ktk eneo la madibira estate tukilihitaji tugawiwe kwani linahodhiwa na serikali kwa sasa ila hatujapewa mpaka leo.

So naahidi na tunaahidi kukupa kura UKIFIKA BUNGENI UTUPIGANIE KWANI CCM WAMETUHADAA SANA,na wewe hili liwe deni lako kwetu,maana tuna matumaini utatusaidia kulipata eneo hilo.SING'ISI YAKO YOTE.
 
Bw nassary mimi ni mkazi wa sing'isi meru na ni mmoja nliyekupa kura ktk mchakato wa awali wa maoni.Unafahamu kuwa kipindupindu kimeua wanetu kutokana na msongamano wa watu,ufinyu wa maeneo.mwaka juzi tuliingia kwa jinai ktk eneo la madibira estate tukilihitaji tugawiwe kwani linahodhiwa na serikali kwa sasa ila hatujapewa mpaka leo.So naahidi na tunaahidi kukupa kura UKIFIKA BUNGENI UTUPIGANIE KWANI CCM WAMETUHADAA SANA,na wewe hili liwe deni lako kwetu,maana tuna matumaini utatusaidia kulipata eneo hilo.SING'ISI YAKO YOTE.
Kwanini msiende mahakamani?
 
Radhia umeifurahia title sana eee,kumbe wee gamba la kobe
 
Umejiunga na JF tar 28/feb/2012 ili kutufahamisha mambo yenu binafsi na Nassary?.
Hata hiyo haimzuii Nassary kuwa Mbunge wa Arumeu.

*******weeeee badae Utapakua tu.
 
Hapa una point lakini umeshindwa namna ya kuiweka,shamba unalozungumzia nadhani ni lile lenye mgogoro na Kimaro aliyekuwa mbunge wa ccm vunjo,edit heading yako na theme nzima uiweke sawa.
 
Hakika sina maneno sahihi kuelezea jinsi gani nilivyojifunza hapo kwenye RED kwamba wapiga kura wakimpenda mtu na kuweka hesima naa imani yote kwake kumbe ni balaa hivi!!!!!!!!!!!

Ndugu yetu Joshua Nassari, ukumbuke kwamba Mtanzania japo unaweza ukamuona maasikini masiki hivi, au ni mwanakijiji asiyeelewa elewa mambo mengi sana vile, lakini pamoja na hayo yote kuna ukweli mmoja mzito sana Mtanzania si mtu wa kujirahisisha na kupeleka matatizo yake kwa kila apitae barabarani kama hao kina sijui SIOI SUMMARI - Mtanzania humtazama mtu usoni na kulinganisha na mneno yatokayo kinywani mwako pamoja na matendo ndipo upate kusikia kinachomsibu moyo.

Huyo ndugu yetu hapo juu kasema yote na ninayo imani kwamba amewasemea wengine wengi zaidi kule Rumeru. Sasa katika hilo ombi la kutoka moyoni mwo wenyewe kwako, mwenzetu hilo kweli ni deni kubwa kwako tangu hivi sasa - kalivalie njuga kule Mjengoni kwa Bibi Mkinda watu tukapate ahueni pale kijijini Sing'isi.


Bw nassary mimi ni mkazi wa sing'isi meru na ni mmoja nliyekupa kura ktk mchakato wa awali wa maoni.Unafahamu kuwa kipindupindu kimeua wanetu kutokana na msongamano wa watu,ufinyu wa maeneo.

Mwaka juzi tuliingia kwa jinai ktk eneo la madibira estate tukilihitaji tugawiwe kwani linahodhiwa na serikali kwa sasa ila hatujapewa mpaka leo.So naahidi na tunaahidi kukupa kura UKIFIKA BUNGENI UTUPIGANIE KWANI CCM WAMETUHADAA SANA,na wewe hili liwe deni lako kwetu,maana tuna matumaini utatusaidia kulipata eneo hilo.

SING'ISI YAKO YOTE.
 
Mkuu thread yako ni nzuri ila badili heading!maana vilaza wa magamba wao uwa wanakimbiliaga kusoma heading bila kupitia contents,na nafikiri umeshajionea mwenyewe!
 
Ni kweli kabisa eneo la Meru lipo overpopulated na mwaka juzi mlivamia eneo la madibira karibu na SADEC na kukatakata migomba na kufanya vurugu zingine, hiyo yote ni kutokana na tatizo la ardhi,.Lakini eneo mnalogombania hata kama mkipewa lote halitakidhi hata 10% ya mahitaji ya ardhi,.

Tanzania bado ina eneo kubwa sana lenye rutuba na linalofaa kwa makazi sasa huyu kijana mtumeni bungeni akaishinikize serikali iwatafutie eneo la kuhamia lipimwe na mmilikishwe kisheria mana hilo mnalogombania haata mkipewa tutashuhudia vita nyingine ya kukatana mapanga kwenye kuligombania wakati wa kugawana, kulikuwa na mpango wa wameru kuhamia Handeni kutokana na tatizo la ardhi, fuatilieni mpango huo umefia wapi??
 
Back
Top Bottom