Hongera Kikwete kwa kile unachopanga kuifanyia Tanzania

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,185
56
Wakati mwingine inabidi kuongelea mazuri tunayotegemea kufanyika mbeleni baada ya kuona usasa na uliopita (present and past) una mazuri machache sana ya kusherehekea.

Weekend ya pasaka nilikalishwa chini kwa masaa zaidi ya 5 na mama yangu na kumwagiwa propaganda ya nguvu sijawahi kusikia toka kwa mama tangu nizaliwe. Mama alianza kwa kunipa "inside story" anayodai kuwa ni matukio yaliyotokea siku chache kabla mzee wa visungura na ndege ya kupaa kwa mafuta ya ufisadi na wizi wa richmonduli - Edward Lowasa - kuachia madaraka.

Story inasema kuwa Lowasa na Sitta walikuwa karibu kabisa kufunika soo baada ya Sitta (mzee wa vimada) kumshushua mama Makinda na kumwambia aache kukurupuka na kuendesha mjadala wa kamati ya richmond bungeni. Stori inaendelea kusema kuwa ile safari ya mzee wa vimada aliyokurupuka na kusema kuwa anaifanya kuja marekani kwa mwaliko maalumu ilikuwa feki tu!

Story ambayo mama anaiita fact, inadai kuwa vasco da gama AKA Jakaya wa Kikwete alichukua hatua za haraka na kumpiga bonge la stop mzee wa "kukurupuka na vimada" huku akimrudisha Dodoma kwa spidi ya Jet ili akaendeleze mjadala wa Richmond. Habari zaidi zinasema kuwa ilibidi wakina mama waingilie kati na mama makinda akampanga mama mwenzake (shujaa wangu ndani ya ccm) Ana Malecela kuwa miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo kabisa wa mjadala wa Richmonduli. Kama kawaida na bila ajizi, mama Malecela akamwaga lazi huku akitoa msemo wa karne wa - kumtosa tingatinga kama akiweka usiku kwenye issue ya richmonduli.

Yaliyofuatia ni history na picha ya mwaka ya mama lowasa akilia bungeni huku Lowasa akipigwa stop kumwaga upupu kwenye TVT baada ya mwandishi wake maalumu - Ndugu Balile - kukosa gazeti huru la kutoa story za kumsafisha Lowasa.

Kama hii itakuwa kweli - msomaji ni juu yako kufanya wito hapa (make the call) kama ni ukweli au uongo - basi Kikwte atakuwa na some bollz ambazo amezionyesha kidogo hapa na kumtosa fisadi na mwizi mkuu Lowasa na cousin yake in crime Mramba (mzee wa nyasi).

Mama anadai kuwa baada ya NEC ya Butiama kuna mengi yatatokea na wengi huko ccm na serikali wenye kuweka usiku kwenye maendeleo ya watanzania watapigwa chini kibangusilo style - kuanzia chenge hadi kwa mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata - Rostam Azizi.

Kama hili litatokea - ni ombi na matumaini yangu kuwa litatokea - basi Kikwete atakuwa amepata ongezeko kubwa la bollz na inabidi apewe hongera kama atavuta hili (pull this one off).

Hongera Kikwete kwa unayopanga kuifanyia nchi ya wadanganyika. Kwa sasa yangu ni macho na masikio kwa kile ambacho umepanga na unataka kufanya kwa manufaa ya watanzania ambao nina hakika wote watakuunga mkono kama ukifanya haya.

Msomaji, huu ni mtizamo wangu binafsi. Ni juu yako kama kawaida na moto wa JF unavyosema kufanya wito wako (make your own call) kwenye hili!

Thanks
 
sawa mimi ugomvi wangu ni pale alipoamua kupeleka majeshi COMORO bila kujibu maswali yoyote ya msingi

serikali yake inatumia mabilioni comoro lakini haina pesa za kupgrade sewage system Dar

this is a joke...ni sawa na kipindi kile alipokuwa na baraza la mawaziri 60 huku wananchi wakiwa hawana barabara za maana
 
Sounds too good to be true!! Its nice to think so highly of Kikwete..if he does this..he will definately get that Mo Ibramin award for 2008..LOL..
BUT mwafrika wa kike..are u saying kikwete atavunja CCM??coz ukichomoa mafisadi CCM its goin to be a different party called CC?
 
I like the stand buddy! Anyway, JK ana dhamira njema, kosa lake lipo katika kuchagua wasaidizi wake. I see, hapo ndipo michemsho ilipo. Wabunifu zaidi wanahitajika na wenye kuwa na mitizamo chanya!
 
Mwafrika wa Kike,

Vipi mamako naye ni fisadi wa CCM nini? Sasa hapa inaweza kuwa mtoto kama mama au mwana wa nyoka ni nyoka kwi kwi kwi!!!

Vipi niendelee kukuunga mkono? Au unatufunga kamba tu hapa kama akina Balile? Kwi kwi kwi!!!!
 
GT are you sure about this? Word is AU is footing the entire bill.

MWK,

Huyo Kikwete msanii tu asikubabaishe na spin mastering zake.

Jamaa hafanyi kazi mpaka ikifika stage ya Zimamoto.Tena mioto mingine anaiacha tu mpaka approval ratings zinapofika kwenye floor ndiyo anafanya kitu kwa style ya kumtoa mtu sadaka ili aonekane shujaa.

Kikwete hafai kwa sababu moja kati ya hizi mbili, au mbili zote.

1.Kwanza ananuka rushwa na hana moral authority ku wage a diligent war on corruption.Kampeni yake ya urais iligubikwa na rushwa nyingi tu, kutoka BOT mpaka countless other.Yeye si kuwa alikuwa hajui, alijua na kushiriki.

2.For the sake of argument, hata ukisema Kikwete hakujua rushwa ilivyogubika kampeni na urais wake, bado Kikwete amejionyesha kama si mtu makini.Kuna level fulani ambayo rais anaweza kukosa info (Reminds me of Jeffrey Archer's "Shall We Tell The President?") Kwa hiyo genuinely anaweza kuwa hajui all the details of a few issues, watetezi wa Harry Truman wanasema alidrop the A bomb bila kujua details za impact yake.Kwa hiyo hii kitu inawezekana, lakini ikiwa kila siku "rais alidanganywa this" "rais hakufahamu that" "rais hakuwa na habari thia" inakuwa too much.Kikwete ni ruthless commandeer, mtu wa networking sana na mjeshi, nina hakika anatumia intelligence agencies zilizo chini yake vizuri na ana habari pengine kuliko mtu yeyote serikalini hasa kwa sababu ana groupies kibao wanaotaka kujikomba kwa hiyo hata ma issue kabla hayajahit the papetrs mzee wa kaya ana details zote.Kwa hiyo anatudanganya tu kujifanya hajui.Na ikiwa kweli hajui basi hafai kuwa rais, kwa sababu with all the above at his disposal it really takes a tutusa not to be in the know.

There you have it, kwa nini Kikwete hawezi kufanya lolote zaidi ya sideshows za kumtoa Lowassa na kumuweka Sumaye wake (Pinda) katika hii vita dhidi ya rushwa.
 
hili litaonekana siku chache zijazo!
 
Mwafrika wa Kike,

Vipi mamako naye ni fisadi wa CCM nini? Sasa hapa inaweza kuwa mtoto kama mama au mwana wa nyoka ni nyoka kwi kwi kwi!!!

Vipi niendelee kukuunga mkono? Au unatufunga kamba tu hapa kama akina Balile? Kwi kwi kwi!!!!

Mama yangu ni mwanachama wa chama cha wafanyakazi wa Tanzania kinachoongozwa na mkombozi wa wanawake Tanzania AKA mzee wa kiraracha AKA mzee wa mabomu AKA mwanasiasa aliyepigwa mabomu na FFU kuliko yeyote yule Tanzania AKA mzee wa pilau AKA Augustine Lyatonga Mrema ......

Kwi kwi kwi, mama anasema kuwa tumekuwa negative mno na JK so tumpe bureki kidogo kwa kile anachofanya .... its your call!
 
sawa mimi ugomvi wangu ni pale alipoamua kupeleka majeshi COMORO bila kujibu maswali yoyote ya msingi

serikali yake inatumia mabilioni comoro lakini haina pesa za kupgrade sewage system Dar

this is a joke...ni sawa na kipindi kile alipokuwa na baraza la mawaziri 60 huku wananchi wakiwa hawana barabara za maana

Game, najua unatheory nyingi sana unazozijua za geoeconomics, macro et al. Je, umechunguza na kujua population ya middle class kule Comoro imefikia kiasi gani kwa sasa hivi?

Na nikirudi hapa nyumbani, je unafahamu tuna mifugo wangapi wa kuweza kuuza nje ya nchi na huko Comoro? Je, tuna abattoirs na processing plants ngapi hapa bongo kwa ajili ya value added goods za mazao ya mifugo?

Kingine, je una makadilio ya kiasi gani ambacho tunaweza kupoteza kama nchi hiyo inaingia kwenye full civil war vinavyoweza kusabishwa na migongano ya serikali ya Comoro na waasi wake, kama tutashindwa kuvizuia hivi sasa - economical and humanitalian?

Je role yetu kama region leader itakuwa determined na economic stability yetu tu (kama mambo ya drainage system n.k) au pia inaweza kuwa determined na jinsi tunavyoweza kuongoza mapambano kivita na kimshikamano na washirika wetu?

SteveD.
 
GT are you sure about this? Word is AU is footing the entire bill.

MWK,

Huyo Kikwete msanii tu asikubabaishe na spin mastering zake.

Jamaa hafanyi kazi mpaka ikifika stage ya Zimamoto.Tena mioto mingine anaiacha tu mpaka approval ratings zinapofika kwenye floor ndiyo anafanya kitu kwa style ya kumtoa mtu sadaka ili aonekane shujaa.

Kikwete hafai kwa sababu moja kati ya hizi mbili, au mbili zote.

1.Kwanza ananuka rushwa na hana moral authority ku wage a diligent war on corruption.Kampeni yake ya urais iligubikwa na rushwa nyingi tu, kutoka BOT mpaka countless other.Yeye si kuwa alikuwa hajui, alijua na kushiriki.

2.For the sake of argument, hata ukisema Kikwete hakujua rushwa ilivyogubika kampeni na urais wake, bado Kikwete amejionyesha kama si mtu makini.Kuna level fulani ambayo rais anaweza kukosa info (Reminds me of Jeffrey Archer's "Shall We Tell The President?") Kwa hiyo genuinely anaweza kuwa hajui all the details of a few issues, watetezi wa Harry Truman wanasema alidrop the A bomb bila kujua details za impact yake.Kwa hiyo hii kitu inawezekana, lakini ikiwa kila siku "rais alidanganywa this" "rais hakufahamu that" "rais hakuwa na habari thia" inakuwa too much.Kikwete ni ruthless commandeer, mtu wa networking sana na mjeshi, nina hakika anatumia intelligence agencies zilizo chini yake vizuri na ana habari pengine kuliko mtu yeyote serikalini hasa kwa sababu ana groupies kibao wanaotaka kujikomba kwa hiyo hata ma issue kabla hayajahit the papetrs mzee wa kaya ana details zote.Kwa hiyo anatudanganya tu kujifanya hajui.Na ikiwa kweli hajui basi hafai kuwa rais, kwa sababu with all the above at his disposal it really takes a tutusa not to be in the know.

There you have it, kwa nini Kikwete hawezi kufanya lolote zaidi ya sideshows za kumtoa Lowassa na kumuweka Sumaye wake (Pinda) katika hii vita dhidi ya rushwa.

Nitakuwa mpole kwa siku chache zilizobaki kuona kitakachotokea Butiama na baada ya hapo to make my call!
 
I like the stand buddy! Anyway, JK ana dhamira njema, kosa lake lipo katika kuchagua wasaidizi wake. I see, hapo ndipo michemsho ilipo. Wabunifu zaidi wanahitajika na wenye kuwa na mitizamo chanya!

Invisible,

Itabidi afanye uamuzi haraka sana maana window ya benefit of doubt inafunga haraka sana kuliko anavyodhani yeye.
 
Mama yangu ni mwanachama wa chama cha wafanyakazi wa Tanzania kinachoongozwa na mkombozi wa wanawake Tanzania AKA mzee wa kiraracha AKA mzee wa mabomu AKA mwanasiasa aliyepigwa mabomu na FFU kuliko yeyote yule Tanzania AKA mzee wa pilau AKA Augustine Lyatonga Mrema ......

Kwi kwi kwi, mama anasema kuwa tumekuwa negative mno na JK so tumpe bureki kidogo kwa kile anachofanya .... its your call!

Kumbe niko naye chama kimoja, rais wangu mimi ni Mrema hata kama hana Ph.D kwi kwi kwi!!!!

Alisema jiji liwe safi na kweli likawa safi.

Jiunge nasi tupate madaraka na nchi ikimbie.
 
I like the stand buddy! Anyway, JK ana dhamira njema, kosa lake lipo katika kuchagua wasaidizi wake. I see, hapo ndipo michemsho ilipo. Wabunifu zaidi wanahitajika na wenye kuwa na mitizamo chanya!

Honestly, mimi nilikuwa mmoja kati ya waliokuwa wana imani maybe he was our own OBAMA

Lakini JK aliniboa tangu alipoamua kuchagua baraza la mawaziri 60 bila kujali kuwa Tanzania is one of the poorest countries in the world

Aliahidi serikali ingekuwa karibu zaidi na watu lakini cha ajabu so far serikali yake imekuwa mbali zaidi na watu kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru

Aliahidi kuwa ataondoa politics kwenye kurun economy lakini from BOT inaonekana kuwa wizara ya FEDHA,MIPANGO na BOT zimejaa politics kuliko sehemu yoyote ile kwenye serikali yake

Aliahidi angeleta damu mpaya lakini inashangaza kuona kuwa watendaji wake wengi ni wale wale waliokuwepo tangu enzi za Mkapa na wengien enzi za Mwalimu wakati dunia imeendelea mbele

mfano:

kitendo cha kumpeleka Ramadhani Mapuri kuwa balozi CHINA ni cha aibu sana kwani kule alitakiwa apelekwe chipukizi ambaye anaweza kuelewa kwanini Paulson alipokuwa Goldman Sachs alimake over 200 trips to China na mwishowe akachakuliwa kuwa secretary na Bush

Tangu JK achukue nchi keha:

Tujengea uwanja wa mpira (japo ulikuwa msaada) ambao tulikuwa hatuuhitaji

Bandari yetu bado mbovu na ndio maana wengine tunatumia Mombasa

Urasimu Dar airport umezidi kuliko wakati wmingine wowote ule

TRA bado hawakusanyi kodo vilivyo

Rushwa imehama toka Kenya na kuja Tanzania

The gap between the haves and the have nots inazidi kupanuka

Wanawake nao wameachwa sana na hali ni mbaya zaidi kule Pemba

On top of kila kitu bado ameamua kupeleka majeshi yetu kule Comoro bila kujibu maswali yoyote ya msingi

Sasa sijui nitamtetea vipi raisi wangu kwenye haya,Mmesema wasaidizi wake wamepitwa na wakati lakini je yeye anafanya jitihada gani kuwa na serikali ambyo ni inclusive ya watu ambao anaweza aikubaliane nao moja kwa moja lakini watu ambao ni wachapa kazi

trust me legacy ya JK is bound to fail kama hatofanya radical changes in the next six months
 
Bado baraza la mawaziri liko katika mchujo na baada ya kikao huwenda hata wizara zingine zingafungwa na baadae kutoweka kisha kuvunjwa kabisa. Muungwana alihitaji mawaziri au wizara 60 ,kwani alikuwa anaingia kambini na baada ya michuano ya majaribio ametoka na timu ya mazoezi ambayo itatoa wacheza ishirini na magolikipa wawili kwa ajili ya kuanza ligi kuu 2010.
 
Honestly, mimi nilikuwa mmoja kati ya waliokuwa wana imani maybe he was our own OBAMA

Lakini JK aliniboa tangu alipoamua kuchagua baraza la mawaziri 60 bila kujali kuwa Tanzania is one of the poorest countries in the world

Aliahidi serikali ingekuwa karibu zaidi na watu lakini cha ajabu so far serikali yake imekuwa mbali zaidi na watu kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru

Aliahidi kuwa ataondoa politics kwenye kurun economy lakini from BOT inaonekana kuwa wizara ya FEDHA,MIPANGO na BOT zimejaa politics kuliko sehemu yoyote ile kwenye serikali yake

Aliahidi angeleta damu mpaya lakini inashangaza kuona kuwa watendaji wake wengi ni wale wale waliokuwepo tangu enzi za Mkapa na wengien enzi za Mwalimu wakati dunia imeendelea mbele

mfano:

kitendo cha kumpeleka Ramadhani Mapuri kuwa balozi CHINA ni cha aibu sana kwani kule alitakiwa apelekwe chipukizi ambaye anaweza kuelewa kwanini Paulson alipokuwa Goldman Sachs alimake over 200 trips to China na mwishowe akachakuliwa kuwa secretary na Bush

Tangu JK achukue nchi keha:

Tujengea uwanja wa mpira (japo ulikuwa msaada) ambao tulikuwa hatuuhitaji

Bandari yetu bado mbovu na ndio maana wengine tunatumia Mombasa

Urasimu Dar airport umezidi kuliko wakati wmingine wowote ule

TRA bado hawakusanyi kodo vilivyo

Rushwa imehama toka Kenya na kuja Tanzania

The gap between the haves and the have nots inazidi kupanuka

Wanawake nao wameachwa sana na hali ni mbaya zaidi kule Pemba

On top of kila kitu bado ameamua kupeleka majeshi yetu kule Comoro bila kujibu maswali yoyote ya msingi

Sasa sijui nitamtetea vipi raisi wangu kwenye haya,Mmesema wasaidizi wake wamepitwa na wakati lakini je yeye anafanya jitihada gani kuwa na serikali ambyo ni inclusive ya watu ambao anaweza aikubaliane nao moja kwa moja lakini watu ambao ni wachapa kazi

trust me legacy ya JK is bound to fail kama hatofanya radical changes in the next six months

GT,

Hiki nilikisema miezi sita iliyopita ukisoma hapa nilipotoa warning kuwa anaelekea kuwa the worst president ever if...

Ninampa last stand hapa Butiama na baada ya hapo the guy will be written off!
 
I am glad mimi nilimshtukia tangu 1995 nikasema hiki kijamaa hakifai kuwa rais.Nikawaambia watu throughout the campaigns, watu wakawa kwenye euphoria na Kikwetemania.Kuna mchizi mmoja akamkata mtama huko kwa wasukuma nikaona kumbe bongo mpaka bush kuna watu wanashtukia dili (yule mchizi prophetic, sasa watanzania wataelewa umuhimu wake natafuta jina lake)

I hate to say I told you so.And as much as I hate to be a doomsday prophet, nothing is going to change under Kikwete.Maybe for the worse, but nothing for the better.
 
Kumbe niko naye chama kimoja, rais wangu mimi ni Mrema hata kama hana Ph.D kwi kwi kwi!!!!

Alisema jiji liwe safi na kweli likawa safi.

Jiunge nasi tupate madaraka na nchi ikimbie.

Kweli kabisa mtanzania ..... naona sasa nimepata sababu nyingine ya kuja tena Europe kuongea hili zaidi.... lol
 
GT are you sure about this? Word is AU is footing the entire bill.

MWK,

Huyo Kikwete msanii tu asikubabaishe na spin mastering zake.

Jamaa hafanyi kazi mpaka ikifika stage ya Zimamoto.Tena mioto mingine anaiacha tu mpaka approval ratings zinapofika kwenye floor ndiyo anafanya kitu kwa style ya kumtoa mtu sadaka ili aonekane shujaa.

Kikwete hafai kwa sababu moja kati ya hizi mbili, au mbili zote.

1.Kwanza ananuka rushwa na hana moral authority ku wage a diligent war on corruption.Kampeni yake ya urais iligubikwa na rushwa nyingi tu, kutoka BOT mpaka countless other.Yeye si kuwa alikuwa hajui, alijua na kushiriki.

2.For the sake of argument, hata ukisema Kikwete hakujua rushwa ilivyogubika kampeni na urais wake, bado Kikwete amejionyesha kama si mtu makini.Kuna level fulani ambayo rais anaweza kukosa info (Reminds me of Jeffrey Archer's "Shall We Tell The President?") Kwa hiyo genuinely anaweza kuwa hajui all the details of a few issues, watetezi wa Harry Truman wanasema alidrop the A bomb bila kujua details za impact yake.Kwa hiyo hii kitu inawezekana, lakini ikiwa kila siku "rais alidanganywa this" "rais hakufahamu that" "rais hakuwa na habari thia" inakuwa too much.Kikwete ni ruthless commandeer, mtu wa networking sana na mjeshi, nina hakika anatumia intelligence agencies zilizo chini yake vizuri na ana habari pengine kuliko mtu yeyote serikalini hasa kwa sababu ana groupies kibao wanaotaka kujikomba kwa hiyo hata ma issue kabla hayajahit the papetrs mzee wa kaya ana details zote.Kwa hiyo anatudanganya tu kujifanya hajui.Na ikiwa kweli hajui basi hafai kuwa rais, kwa sababu with all the above at his disposal it really takes a tutusa not to be in the know.

There you have it, kwa nini Kikwete hawezi kufanya lolote zaidi ya sideshows za kumtoa Lowassa na kumuweka Sumaye wake (Pinda) katika hii vita dhidi ya rushwa.

Pundit:
You have said it all.

Kikwete hawezi kuwa pande zote - katika ufisadi na hapohapo katika utetezi wa walalahoi.

It is getting too late for him to permanently be associated with mafisadi. He must drastically change course, and pretty soon. He must begin by clearing the entire BOT saga, and not only the EPA business, but all the Meremetas and Tangolds and what haveyo. Afunue haraka mafisadi wa EPA na Richmond. Aache tabia za kijanja kijanja (I am refraining from calling them 'za kiswahili' for obvious reasons);kwa kutumia mbinu za kuwasahaulisha wananchi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom