Chunya, Mbeya - Lupa Tinga tinga. Kwawaka tena!!!

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Mwanafunzi auawa mikononi mwa Polisi

Wananchi wakapata taarifa, wakavamia kituo, wakachoma nyumba za askari.

Askari wamesepa.

Source: Radio One.

Enhe, ukombozi unakaribia!!
 
Mwanafunzi auawa mikononi mwa Polisi

Wananchi wakapata taarifa, wakavamia kituo, wakachoma nyumba za askari.

Askari wamesepa.

Source: Radio One.

Enhe, ukombozi unakaribia!!

dogo alikuwa ameiba SIMU! jamaa wemechoma nyumba za polisi na nayayule aliye ibiwa simu!
sijui tunaenda wapi?
 
Mkuu ni wapi kumewaka moto? Mbeya au Chunya au Lupa Tinga Tinga? Nauliza hivyo kwa kuwa haya maeneo japo yote yapo Mbeya lakini yapo mbalimbali yote yakiwaka moto basi ni hatari.
 
Tanzania ni nchi ya amani na upendo, kama kuna matatizo ni hekima kuyatatua kwa mazungumzo.
 
Aisee wananchi hawana tena imani na vyombo vya dola, hili ni doa lingine kwa serikali kujitafakari upya
 
Msipende kutupa pressure wapendwa.Mwaga habari inayoeleweka manake mi nipo Uzunguni-Mbeya toka jana cjackia lolote.
 
Haya dar wananchi walichoma moto mwanajeshi magumashi polisi wamedai wanawasaka walio husika na kuwatia lupango na kuwafungulia mashtaka ya kujichukulia sheria mkononi.

Lakin wao wamezungukwa na mauaji chungu mzima tukianzia arusha,mbeya na songea hiyo ni baadhi ya mikoa iliyokutana na wauaji polisccm lakin hatuja wahi sikia kuna polis kashtakiwa juu ya mauaji ya raia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom