Mapato ya mbunge wa bunge la Tanzania kabla ya kujiongezea posho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapato ya mbunge wa bunge la Tanzania kabla ya kujiongezea posho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngararimu, Mar 1, 2012.

 1. Ngararimu

  Ngararimu Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  1.Mshahara kwa mwezi tshs 2,300,000/=
  2.Mafuta ya gari kwa mwezi 2,000,000/=i.e ltr 1000 kwa mwezi
  3.Posho ya ubunge kwa mwezi 1,000,000/=
  4.Posho ya kukaa bungeni kwa siku 80,000/=
  5.Posho ya kuendesha ofisi kwa mwezi 700,000/=
  6.Simu ya mkononi kwa mwezi 500,000/=
  Jumla ya mapato hayo ni7,200,000/=ukiachilia mbali posho za vikao vya kamati mbali mbali na safari za nje. bado wameona pato hilo kwa mwezi halitoshi wamejiongezea posho ya vikao mpaka 200,000/= kwa kisingizio kuwa maisha ni magumu. madaktari walipogoma posho imeongezwa kufikia 25,000/=. waalimu wanalalamika hakuna anayejali. Hii imekaaje? na nini kifanyike?. Tafadhali changieni bila ghadhabu. Nawasilisha.


  source: gazeti la mwananchi jumatano 29/02/2012 page 3
   
 2. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,130
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Tamaa na moyo wa kutokuridhika,ndio umepelekea wao kuwa hivyo na kutojali shida za wengine!
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,394
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Wanafanya kazi kubwa na muhimu hasa kaka yangu Wassira. Posho haiwatoshi kiukweli
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Hawa wabunge wa bunge la Tanzania wengi wao ni MERCENARIES.
   
 5. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,812
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Kazi ya Mbunge hasa ni nini?

  Hivi hawa watu huwa wanafuata kitu gani Dodoma?

  Mbona ukumbi wa Bunge unakuwa na mahudhurio hafifu sana, mikutano yao haina kanuni na viongozi?

  Sawa, kama wanataka posho, watuambie kazi gani waliyowafanyia watanzania inayositahili malipo hayo.
   
 6. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Mi nataka kujua mshahara wa rais wetu, kama tunaweza kujua wabunge wanalipwa vipi naye pia ni vema tukajua.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,035
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Yeye hana mshahara, anajitolea tu na ndiyo maana hajali shida za waTZ
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  sasa hawa wendawazimu huwa wanazungumzia mshahara huo wa m mbili tu? Ina maana hizo posho zingine kama mafuta hawapewi keshi?
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,195
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Maskini, kumbe kipato chao kidogo hivyo! ndo maana wanataka kuachia ngazi. Wasibembelezwe ili 2015 tuone all new faces!
   
 10. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  JK anapenda sana perdiem
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  nIMECHOKA!
  KAMA hata wabunge wa viti maalum kama Mama Lwakatare wanalipwa hela kama hizo basi inatakiwa walipwe nusu ya hiyo hela!
   
 12. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,198
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Tragedy of the common
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,817
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  swala la kuongeza posho ni kuibia wananchi pesa zao mchana kweupe
   
 14. nkawa

  nkawa Senior Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duu inauma lakini ndio ukweli, na je? kuna fungu jingine kwaajili ya maendeleo ya jimbo lake?
   
 15. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dah!!!!!! siamini macho yangu...,aiseeeeeeeee........
   
 16. b

  baba koku JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mmesahau posho za jimbo,dereva n.k.
   
 17. W

  We know next JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani hembu tufanye analysis nzuri kidogo inayotokana na analysis ya mshahara wa wabunge hapo juu.. mfano, tunafahamu kada zifuatazo zilivyo na umuhimu ktk jamii;

  1. Madaktari na Waauguzi
  2. Walimu - ktk shule na vyuo
  3. Polisi na Magereza
  4. Kikosi cha Zima moto
  5. Waongoza Ndege pale Airport
  6. Madereva - hasa wanaofanya kazi zitoazo huduma kwa jamii kama Daladala/ Mabasi / Malori / Train nk.
  7. Wazibua mitaro na vyoo (maji taka)

  Je umuhimu wa kada hizi ikilinganishwa na Bunge ni ipi inahitaji kulipwa zaidi?

  Kwa mawazo yangu, ninaona kada zote ni muhimu, na kila moja hufanya kwa kutegemeana, isipokuwa tu kuna zile zinaitwa rarey professions, ambazo inabidi tuzichambue na kujua ni zipi kwa mazingira ya Kitanzania, na inatakiwa ziangaliwe vipi.

  Kwa mantiki hiyo, kwa kuanza, tungetengeneza scheme ya utumishi ambayo mtu hulipwa kutokana na perfomance yake. Tunafahamu, kila kazi inavigezo vyake, basi wale wanaofanya kwa ufanisi zaidi wangelipwa vizuri pia kuliko wengine. Hata huko Bungeni, wangeangalia perfomance ya mbunge mmoja-mmoja, na kuona utendaji wao. Nadhani ni jambo lililowazi, kuwa wananchi wanaona kwa uwazi kabisa michango ya wabunge pale mjengoni na nje ya Bunge. labda tuanzie hapo. Pay for Perfomance (P4P).
   
 18. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  madaktari wameomba m3 wakaonekana wana tamaa.hebu fikiria daktari aliyesoma miaka 7 mpaka 10 na kazi anayoifanya halafu mlinganishe na profesa maji marefu.
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kumbe wabunge wanalipwa pesa kidogo eeeh?? maana 7,200,000 times 12 = 86,400,000 bado haiwatoshi aisee

  Shime wananchi tushirikiane tujenge hii nchi ili tuweze kumlipa angalau vijisenti vya kumuwezesha kukidhi mahitaji yake
   
 20. m

  mharakati JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,276
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  duh kumbe hawa mabwana hawapati hela 7.2m ni kidogo ukichukulia wanatoa hela yao mfukoni kwa sababu serikali yetu haina fungu la maendeleo ya kila wilaya/constituency kama vile Kenya...wanatakiwa angalau kulipwa 15mil ...kumbuka wabunge wengi wanahudumia miradi na matumizi ya kila siku ya familia huko majimboni
   
Loading...