Mbunge wako ametekeleza ahadi ngapi hadi sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wako ametekeleza ahadi ngapi hadi sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pinokyo Jujuman, Mar 2, 2012.

 1. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni matumaini yangu kuwa humu ndani wengi wetu tulishiriki upigaji kura mwaka 2010, kama hiyo haitoshi tunao Wabunge humu ndani na wengine walishiriki kwa ukaribu zaidi mchakato mzima wa kampeni za wabunge wao sehemu mbalimbali; hebu tupeane changamoto hapa sasa ktk ahadi walizozitoa wagombea wetu wakati wa kuomba kura ni ngapi wameshazitekeleza mpaka ss na je ni mara ngap wamefanya mikutano mbalimbali kuwapeni mchakato na jitihada alizozifanya na anazotarajia kuzifanya ikiwa pamoja na kupata kero mpya??
   
 2. M

  MYISANZU Senior Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salome D. Mwambu hajatekeleza chochote Iramba mashariki.
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  JOHN JOHN MNYIKA ,KATEKELEZA ZOTE ALIZOaHIDI NA NYINGINE HAKUAHIDI ANAENDELEA KUTEKELEZA
   
 4. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  Haki ya MUNGU namchukia huyu md..du kupita maelezo! Kazi kuvaa mabazee ya rangi ya kijani tu.
   
 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mbunge wetu hakuahidi chochote wakati wa kampeni. Sana sana yeye alisema atatuwakilisha Bungeni kwa kupiga meza sana na baada ya hapo muda wake mwingi atautumia Dsm kwenye miradi yake! Mwaka 2015 amesema hana mpango wa kugombea hivyo imekula kwetu.
   
 6. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Umenikumbusha wimbo wa AIC MAKONGORO "Kekundu" kekundu, kekundu kekundu! Majinga ndio waliwao, wajinga ndio waliwaoooooo! Mamie nimeliwa na libunge langu(ingawa sikulichagua) la Iramba mashariki! Ndg yangu tufarijiane kwa Tenzi za Rohoni! Tushaliwa kwani majirani washaona manyoya!
   
 7. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wengine humu ndani hawana majimbo au hawakuhudhuria hizo mambo kama mimi; maana naona wako kimya sana au ndo Mbunge wao hasomeki hadi hii leo na walimuamini kupita kawaida matokeo yake wanabaki kulalamika uozo wa wenzao hebu lisemee lako kwanza ndo uamie kwa jirani; Ukombozi uanze kwako!!
   
 8. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mbunge wangu mgonjwa akipona ataanza tekeleza sera na ahadi gafla dah wadanganyika tunakaze
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  lema huku arachuga bado hakijaeleweka!
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ningeomba yoyote ambaye si mkazi wa Moshi lakini anaifahamu Moshi toka zamani zama za mtui wa nccr na sasa zama za Ndesamburo anisaidie kueleza
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sijawah kumckia wakat wa Kampeni>>EID aZaN
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  KIUKWELI KABISA! NDESA NI NOMA! KAIPELEKA MANISPAA YA MOSHI NEXT STEP! mf.Hospitali ya mawenzi huduma zimeboreshwa! barabara za manispaa ni nzuri(sio zote lkn idadi kubwa) etc
   
 13. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,514
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  SUGU
  ahadi nlzoshuhudia kwa sasa kaztekeleza ni kama 7..
  1.kutengeneza barabara na ikiwemo kuweka vfusi..
  2.kutengeneza bwawa kubwa la samaki ili vjana wapate ajira..
  3.kajitolea ujenzi wa shule ya walimu kwa shule moja hvi iliyopo mbliz mbeya..
  4.kajenga zahanati kata ya iganzo..
  5.kawaombea machinga waruhusiwe kufanya biashara zao..
  6.kagawa vitanda 100 hospitali ya meta..
  7.na ahadi kubwa aliyoitoa n kua ataishi hapahapa mbeya,na n kweli anaisha hapahapa mitaa ya block t..
   
 14. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Joseph selasini cjaona alichofanya hadi sasa licha ya kumpigia cm mara kwa mara na kumkumbusha....kilichobaki ni mm na mh b kupachimba 2015!!
   
Loading...