Serikali imeyafanyia kazi madai ya madaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali imeyafanyia kazi madai ya madaktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Feb 29, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya ile siku ya tarehe tatu mwezi wa tatu najaribu kujiuliza ni kwa kiwango gani serikali imeweza kushughulikia madai ya madaktari?je tutegemee mgomo mwimgine wa madaktari?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakati ukitegemea mgomo toka kwa madaktari, tegemea na baadhi ya watu kuwekewa silaha ya maangamizi Pollonium-210!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJF

  Ni kuwa kama madaktari watakutana kesho 03.3.2012 kuongea na serikali

  Asante saana serikali
  Afya ya watanzania
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,385
  Trophy Points: 280
  Umetumwa kuja kudadisi? waambie waache kucheza na maisha ya watanzania, hizo propaganda wanazoendeleza zitasababisha maafa mengine.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Karibu tena Jeykey! Nategemea watakutana kama taarifa ilivyotolewa!
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kesho madaktari wanakutana kutathmini utekelezaji wa ahadi za pinda!
  Acha kujinye@#nye@!subiri hiyo kesho
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mlipewa wiki tatu hamkuona haja ya kukutana na madaktari leo hii unauliza upuuzi!
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  jibu la swali hili litapatikana kesho!katika ukumbi wa.....stay tuned natafuta info
   
 9. ngamiamzee

  ngamiamzee JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pastor lesekelo anawatafuta akawape maombi mzee wa upako
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mwambie aende muhimbili kuanzia jumatatu akafanye maombi
   
Loading...