Je, ITV ni Huru ama inatumiwa na wanasiasa?

ikindo

Senior Member
Nov 29, 2011
130
110
Jamani sikuhizi hii ITV nimekua siielewi, wanakipindi chao kinaitwa MALUMBANO YA HOJA ambacho mada inasema PILISI KUUA RAIA KWA SILAHA ZA MOTO WAKITAWANYA MAANDAMANO,JE WANAHESHIMU NA KULINDA HAKI ZA RAIA? cha ajabu hapa naona kunamtangazaji anaitwa SALUM Mkambala anawapangia wachangiaji waseme nini, halafu wamealika maafisa kadhaa wa polisi wanaowatisha watu eti wasijadili suala lililopo mahakamani, sasa hapa watu watachangia nn?, na kama suala lipo mahakamani kwa nini wanaleta mada kama hizi?

Weledi hebu nijuzeni kama hiki kituo kimenunuliwa ili kitete udhalimu.
 
samaihani kwa kukosea speling ni POLISI na sio PILISI, halafu kunapolisi wengine wamevaa kiraia ambao wanapiga makofi kila huyo afande anapoongea kibabe.
 
Again shamee on you ITV

Kitu mnachofanya sio kizuri
hawezekani POLIce wanasema kuuwa RAIa ni haki yao
This is stupid kwa ITV kuandaa vipindi vya vyake na kupandikiza
mafisadi kupamba kipindi

M.o.the f%%%%&ck
 
yah, nimemuona dada mmoja ametoka kuongea nadhani babayake ni afande mchumia tumbo.
 
How comes hii mijitu inasema eti POLICE wanalinda RAIA???

Hii mjitu imeletwa kwenye kipindi ikiwa corrupted

ITV should STOP THIS GAME KUANDAA WATU KUJA KUPOTOSHA RAIA

SHAME ON U ITv
 
Hahah ama kweli,yani wamejaa mamluki humo wa ccm hujapata ona..nani asiyemjua livinus mashindano alihamia na kuwa kiongozi wa ccm wakati yuko udsm fine and performing arts?
Nani asiyemjua nyisebo tena safari hii kashapewa uwakili?

Halafu wanapindisha hoja..ok granted waandamanaji wanakiuka sheria tuseme sawa,lakini polisi sheria inawataka wawaue na kuwapiga risasi kichwani? Sheria si inasema ikibidi kutumia fosi uwaatack waandamanaji kuanzia kiunoni kwenda chini ili kuparalyse shughuli zao?
 
sio wote tuliona ITV fafanua kama mwanaume acha kulia lia. Lete ujumbe unaoeleweka hapa tuchangie. Unaleta Uzi kama wote tumeona.
 
kipindi cha leo kimeboa sana ni dhahiri itv wamealika watu maalumu kulinda na kutetea polisi maana asilimia tisini na tisa ya wachangiaji wanatetea polisi na kuponda wanaharakati halafu makofi yanapigwa kwa nguvu sana kushangilia. Nilikuwa nawaheshimu sana itv lakini leo wameshusha hadhi yao kwa kualika mamluki..
 
Ngoja nielekee bar, hii TV naona sikuhizi inaganga njaa, kuna kajamaa kamevaa miwani nadhani pumba zake zimesababisha nipoteze uvumilivu ngoja nikanywe kiroba.
 
Ndugu zangu nimesikitika sana, kipindi kimejaa mamuluki tupu.. Sijui imekuwaje ni coincidens au?? Kuna mtu anasema eti wengi wanaoandama ni wahuni hawana kazi.. Daah nimesikitika sana kwahiyo wahuni siyo watanzania? Kwahiyo polisi wanaruhusiwa kuua raia is it?? Watanzania tunakoelekea siko kabisa!
Mmoja anasema eti vijana wanatumika kisiasa daah! Hivi mtu ambaye anayeandama bila silaha anawezaje kumuua polisi, nchi zilizoendelea watu hawaandamani? Mbona mauaji hayatokei kama sisi huku!!
Siku moja yatatimia tu, nani asiyejua jinsi jeshi letu linavyotumika kwa maslahi ya serikali!!
Any way.. Acha watuue... Ukombozi utakuja tu
 
kipindi ni kizuri na watu wanachangia vizuri.Tatizo unataka wachangie kile unachotaka wewe.Na hili ndio wengi linawasumbua humu,watu wachangie kile unachofikiri wewe,hilo ni gumu kila mtu ana muono wake,na mawazo ya mwengine yaheshimiwe
Jamani sikuhizi hii ITV nimekua siielewi, wanakipindi chao kinaitwa MALUMBANO YA HOJA ambacho mada inasema PILISI KUUA RAIA KWA SILAHA ZA MOTO WAKITAWANYA MAANDAMANO,JE WANAHESHIMU NA KULINDA HAKI ZA RAIA? cha ajabu hapa naona kunamtangazaji anaitwa SALUM Mkambala anawapangia wachangiaji waseme nini, halafu wamealika maafisa kadhaa wa polisi wanaowatisha watu eti wasijadili suala lililopo mahakamani, sasa hapa watu watachangia nn?, na kama suala lipo mahakamani kwa nini wanaleta mada kama hizi?

Weledi hebu nijuzeni kama hiki kituo kimenunuliwa ili kitete udhalimu.
 
Back
Top Bottom