lini wananchi tutaweza kujadili katiba yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

lini wananchi tutaweza kujadili katiba yetu

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by jane_000, Mar 3, 2012.

 1. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wa jf naomba update ya katiba lini itakuja kwa wananchi na vitu muhimu nataka nitoe ushauri wangu
   
 2. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  baada ya kuundwa tume ya kuratibu mchakato mzima wa ukusanyaji maoni na kupewa majukum watapita huko ulipo ili kupata mawazo yako kwa ujenz wa taifa!serikali itatangaza lini wataanza kazi na wao watatangaza ratiba yao.
   
Loading...