Hakika wananchi Arumeru -Mashariki lazima watumie mfumo wa watu wa Arusha-Mjini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakika wananchi Arumeru -Mashariki lazima watumie mfumo wa watu wa Arusha-Mjini.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by S.N.Jilala, Mar 2, 2012.

 1. S

  S.N.Jilala JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 80
  Naamini asilimia 100% wananchi wa Arumeru mashariki wasiposimama kidete watapewa mbunge ambao hawakumchagua.Mtu yoyote aniambie ni mbunge gani wa upinzani 2010 alitangazwa ameshinda bila shinikizo kali la wananchi? Angalieni Arusha mjini,Ilemela na Nyamagana (Mwanza),tupia macho Ubungo na Kawe,nenda Mbeya mjini,Iringa mjini na Maswa,na sehemu nyingine kote mbunge hasa wa upinzani alitangazwa kwa nguvu ya uma.

  Angalizao langu ni kwamba,hakika NEC hii haiwezi kumtangaza mshindi ukiacha CCM kwa amani maana wanaotangaza wameajiriwa na mfumo unaoshindana. Hakika wananchi wa Arumeru mkimuchagua mbunge kupitia CCM mtapewa haki yenu haraka sana,lakini tofauti na hivyo msahau.Lengo la ujumbe huu siyo kuhamasisha mfanye vurugu,la!hapa mnatakiwa kwanza kabla ya Nec inayoegemea upande mmoja kujua Je?wanayetaka kumtangaza ndiyo chaguo lenu?.Mimi nina uhakika kukiwa na uwazi kwaenye upigaji wa kura hata wananchi watakuwa na imani na matokeo yoyote yale,kinyume na hayo mambo ndo huwa kinyume ndo maana wananchi wa Arusha Mjini walijua kuwa wanaporwa haki yao.Nihitimishe kwa kusema wagombea wote wakifanya kampeni za kistarabu hata mwisho wake huwa kunajenga imani kwa wapiga kura.
   
 2. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Angalizo zuri sana kiongozi
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kura zitalindwa kwa njia yoyote!
   
 4. M

  MYISANZU Senior Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameru nawaaminia kwa ulinzi.Tatizo ni ushawishi wa Lowassa!
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hili liko wazi Kamanda!

  Huu ni msako mpya huu!

  Jina lake nitakuja nalo baadae!
   
 6. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 482
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  dah nampenda Nassary namwogopa EL,KIJANA NTAKULETEA KURA YANGU KUTOKA HAPA DSM NAJA KUPIGA KURA TAREHE 1,KUMBUKA NAACHA KAZ PIA NATUMIA GARAMA KUJA TAMBUA IMAN YANGU KWAKO UKIJANIAMBIA UMEIBIWA KURA KWELI UTANIDISAPOINT be smart mr joshua al d best
   
 7. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa bora tu wasitumie mawe maana wameru kwa mawe mhm!!!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Taratibu magamba watajifunza kuwa enzi zimebadilika.
  CCM Arumeru hawawezi kufanya kampeni zozote zaidi ya kunadi fedha, maana mgombea wao ni mgeni masikioni mwa jamii, wakati Nassari anajulikana toka 2010, na pamoja na kuchakachuliwa na Sumari Snr, amekuwa akiendeleza kazi kule kwao kama kawaida.
  Ni kwa fedha tu SIOI atashinda.
   
Loading...