Arumeru: Kama unawajua hawa tuambie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru: Kama unawajua hawa tuambie

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mgeni wenu, Mar 3, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF tayari mgombea wa CHADEMA jimbo la ARUMERU ametangazwa,hebu tuambiane na kukishauri CHAMA HIKI ni kamanda yupi aongoze wapi katika mapambano ya kulichukuwa Jimbo la Arumeru na Apangiwe maeneo yapi..Michango yenu ni muhimu kipindi hiki ili baadae tuone nguvu ya JF katika ushauri wa SiasA
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aiseee...unataka ushauri wa mpango kazi?
  Ungeanza na mapendekezo yako kwanza.
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kengemaji bwana,tehe tehe tehe.swali umeulizwa afu unauliza tena.ID yako bwana
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Godbless Lema ngarenanyuki
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Full squade inatakiwa kuhakikisha ushindi unakuja. JJ, Zitto Kabwe nk wanahitajika sana.
   
 6. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siasa za vijijini msimsahau Mtela Mwampamba,
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Lema godbless awe kiranja
   
 8. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mnyika akiongozana na mgombea wapita maeneo yote ya Wameru wenye msimamo mkali (Kuanzia mto nduruma upande wa kushoto ukitokea mjini hadi KIA) waende hadi milimani vijijini pia wanaweza mshirikisha Halima. Lema na Henche wapige upande wote wa kulia wa barabara kuu kuelekea Moshi. Mbowe na Slaa watapigilia misumari yao pale USA River mjini.
   
 9. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  tayari sio kapitishwa kazi inaanza rasmi sasa
   
 10. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,928
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Maeneo yote yenye wajanja stendi, sokoni, aende Lema halafu washili na maamuma Dr anawahusu
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  kaka umenikuna
   
 12. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Tunawatakia kila kheri, Fuateni ushauri nilioutoa hapo juu, nia ni kuwagawanya Wameru into two parts kwa sababu hawawezi kumkataa mtoto wao wenyewe, then huu upande wa chini una makabila mchanganyiko, the easy way to CDM
   
 13. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huko kwa washili Milimani aende Dr. Lema na Mbowe waende maeneo ya usa na kwa waendesha bodaboda. . . Masokoni na magengeni aende Mdee na Owenya!
   
 14. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  a k a ganzi......i lyk the dude frankly speaking tangu udsm kwa mama misana!!
   
 15. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  namsimasahau marando na pr safari maeneo yenye watu wenye umri mkubwa
   
 16. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  safi sana
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe ni nani CDM usiyejua kinachoendelea?
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ingefaa sana mpambano ungekuwa kati ya Godbless Lema na Edo. Nakumbuka Edo played most part kwenye kampeni Arusha mjini, akatimuliwa vumbi na Lema, Demu chaliiiii!!!
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  unaejua lete tarifa....
   
 20. M

  MYISANZU Senior Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr awe na Ndesamburo ktk maeneo yenye aging population.
   
Loading...