TAKUKURU; Lowassa Kawakosea nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAKUKURU; Lowassa Kawakosea nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulukolokwitanga, Mar 3, 2012.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mwaka mzima huu hamjakamata rushwa hata moja hadi uchaguzi wa Arumeru ulipowadia. Cha kushangaza mko BIAS hadi kila mtu anaona kuwa mmetumwa kukomalia upande mmoja. Kitendo cha kuwakamata watu walio karibu na Lowassa na kuvamia kituo chake cha redio huku kambi ya Sarakikya haiguswi kinaleta picha kuwa TAKUKURU ni mtaji wa kisiasa wa watu fulani.

  Uchaguzi wa 2010 mliiandamana kambi ya Sitta na mkamkamata mkewe na kumbambikizia kesi. Wakati huo Sitta na Baba M hawakuwa wanaiva, na wakati huu ambapo inaonekana Lowasa na Baba M hawaivi nyie mnawanyanyasa watu wake. Inatufanya sisi watanzania tulioumizwa sana na ufisadi wa Lowassa kuwa na SYMPATHY naye kuwa huenda mambo yote dhidi yake anapakaziwa.

  Ushauri: TAKUKURU tumieni akili kidogo kufanya mambo yenu, msionyeshe kila mtu kuwa mnatumiwa. Rushwa imetapakaa kila kona na mlitoa ripoti kuwa Polisi ndio wanaongoza lakini mmeshindwa kukamata, uwezo wenu ni rushwa za uchaguzi tu au kila aina ya rushwa? Mnatumia vibaya kodi zetu. Acheni nature ichukue nafasi yake, yani NAPE AKAMPIGIE KAMPENI MKWEWE LOWASSA, si ndio demokrasia...
   
 2. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umetumwaa!
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nimetumwa na nia ya kuona haki inatendeka. Mbona tunaowapa rushwa trafic hatukamatwi kama TAKUKURU wana dhamira ya kukamata rushwa?
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,904
  Likes Received: 2,330
  Trophy Points: 280
  Unamhurumia SHETANI wewe vipi una matatizo ya kichwa?
   
 5. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haki ya Dowans na bei ya umeme! au hujui chanzo? we vipi!
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kweli zile bukubuku za kwenda rudi kwa Trafic jamaa wala hawazigusi, lakini naomba uelewe kuwa zile rushwa za trafic ndizo zilizo fanya Kijana wa TBC kubambikiwa kesi na mwisho wa siku akaibuka mshindi,nadhani ile ina mikono ya wengi
   
 7. B

  BMT JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  kwl haki itendeke jaman,yani kama wametumwa vle
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Bei ya umeme inaumiza sana kwa kweli...

  Sasa mbona TAKUKURU hawamkamati hata kumhoji tu huyu wakala wa RICHMOND na DOWANS? Nahisi haya madili wanapiga wote kwa hiyo ukimchukia Lowassa peke yake ukamuacha Baba Mwanaasha hutendi haki.
   
 9. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ukimkandamiza shetani mmoja huku unachekacheka na mashetani wengine na kuwaruhusu waitumie taasisi nyeti kama TAKUKURU kwa maslahi yao binafsi tena ya kisiasa kamwe hutaleta ukombozi kwa nchi yako. Hii taasisi inatakiwa kuwa OBJECTIVE. Hizi subjectivity zinasababisha kikundi cha wateule wachache (MASHETANI) kuzidi kutunyonya huku wanalindwa
   
 10. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  You are talking sense but you should avoid to own the public authority. You are not the public spokesperson thus better caution is taken in using prural nouns e.g SISI. This is your personal observation and opinion. I might be of different and still I belond to the public (SISI). You won't be acting fairly in your general statements if you own my opinion prior getting my consent.
   
 11. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa jamaa nadhani siyo weledi kabisa katika kazi yao kwani tumeona kesi nyingi za Takukuru hasa kwenye chaguzi zinazofanyika wanashindwa kuthibitisha kosa walilokamata,angalia ile kesi ya Mwakalebela,Mama Sita pale Tabora na kesi nyingine nyingi hawafanikishi wao wanachofanya ni kuchafua majina ya watu.Wanakurupuka sana hawa jamaa.Sasa tutaona mwisho wa hizo kesi zao kama zitaleta mafanikio.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  mLETA MADA UNAPOINT kubwa sana!
  Ni kituko sana hawa watu wa TAKUKUNGURU. Huwa wanakurupukaga tu hawa watu, sijui wanaamrishwaga na nani!
  Sijawahi kuona kama wana strategies zozote katika kazi zao. Uchaguzi wa Arumeru ukiisha watapotea hadi 2015.
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  SISI (Mimi, mke wangu, watoto wangu wawili na watu wote wenye mawazo kama yangu)

  NYIE (Wewe na wenzio wenye mawazo kama yako haiwahusu)

  What is public by the way?
   
 14. M

  MYISANZU Senior Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una point mkuu. Bila kutumwa na JK, TAKOKUU RU ni toothless dog!
   
 15. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Naanza kuamini,kweli kasi ya kumsafisha EL imeshika kasi! Kuanzi ktk machurch,ktk maulidi, na sasa imetinga Jf! Pesa ilivunja mabonde na milima! Mpaka ije ifike 2015 atakuwa msafii mithili ya theluji! Ongezeni bidii.
   
 16. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I dont think if she/he will be in a good position of answering this coz she/he is still a learner.........
   
 17. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahahah khaaa Myisanzu Mkuu wangu naona uko kwenye ubatizo sasa duh!
   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  Ajabu ni kuwa ccm ikimpata mgombea wake, pccb itaenda likizo na kuipa ccm mwanya wa kutoa kila aina ya rushwa kwa wapiga kura
   
 19. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  If I am/(We) are less concerned then the post is placed in the wrong conduit. JF is a Public Social Media! Did you know that?

  Based on your reply, the post targeted your family members (You-the poster, your wife and children) dont you think posting on the walls of your corridors, verandah, sitting room and bed rooms could suffice to reach your target? In this way it could be impossible for me to read and act on it. But if postetd in JF (The Public Social Media) it becomes inevitable for the public including me to see/read it.
   
 20. A

  Aki The Great Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa Rais kwa dakika kumi tu ningeisambaratisha TAKUKURU, hawa jamaa ni mdebwedo kabisa, mahakamni tunalizwa rushwa kila siku, haki hazipatikani wako wapi? Upuuzi mkubwa huu, siko moja nilikimbilia TAKUKURU kuomba msaada hakimu anataka rushwa, tena hakimu akawa amenipigia mpaka namwambia afisaa wa TAKUKURU hakimu huyu twende tukamnase wapi! Nina hasira sana na TAKUKURU
   
Loading...