Kamati kuu CHADEMA ndani ya Arumeru leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati kuu CHADEMA ndani ya Arumeru leo.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Molemo, Mar 3, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kamati kuu ya CHADEMA inakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe na Katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa kwa ajili ya kulijadili na kupitisha rasmi jina la mgombea Ubunge wa chama hicho jimbo la Arumeru Mashariki Bw Joshua Nasari.
  Wajumbe wote hadi jana walikuwa wamewasili na kikao hicho kitafanyika Arumeru Mashariki ndani ya jimbo husika la Uchaguzi.
  SOURCE:MWANANCHI
   
 2. M

  MYISANZU Senior Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawatakia kila la kheri.CDM si kama magamba yanavyotapatapa.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wamenifurahisha sana kufanyia kikao ndani ya jimbo husika
   
 4. e

  evoddy JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  People's power never loose hope
   
 5. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kila la heri huku mkijua kuwa mnapambana na CCM iliyogawanyika vipande viwili.
   
 6. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hilo jina ndilo lenyewe cdm sio magamba hawana haja ya kukaka dar wanakusanyika uwanjani kwenye tukio bigap cdm nawakubali sanaa magamba watakimbia watawaa cdm mapambanon simumeiona cuf?
   
 7. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  THANKS! Kwa kuwa mna maono mapya, ambayo uongozi wa ccm bado wako usingizini!
  Nahisi wataiga kama walivyo iga wazo la kutumia helcopter!
   
 8. z

  zee la weza Senior Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chadema forever!!!! Waarumeru tunaomba mtujulishe nini kinaendelea kuhusu kumpitisha mgombea wa chadema. All the best.
   
 9. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani hapo walipo hakuna wazee wa kishili wakawatimua au mmechoka kuwazushia wazee hao kuwa hawaipendi cdm,
  mda umefika kila mtu atoe mchango wake makini wa kujenga taifa letu lililokosa mwelekeo kwa miaka 50 iliyopita bila mafanikio.
  Ukombozi uanzie arumeru east na huenda baadae segerea,monduli,bariadi na njombe maana bibi kiroboto atajitoa posho zisipoongezeka .
   
 10. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kila la heri, tunawaombea mshikamano na umoja ktk maamuzi watakayofanya katika kikao chao.
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Chadema hureeeeeee.ndo mana mzee mtei leo sijamkuta pale kwake tengeru
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni jambo zuri kufanya huu mkutano Arumeru. Lakini kuna kitu bado naona kama kina mushkili kidogo. Naona kama CHADEMA wanatumia mfumo unaofanana na CCM. Kwa sasa hivi unaweza kuwa sawa lakini huko mbeleni wanaweza kujikuta wana matatizo haya haya yanayowasumbua CCM. Kwa mfano, kKama DELEGATES wameshachagua mtu kwa nini CC ipitie tena? Kwa nini CC isipitie majina/wasifu kabla ya delegates hawajipiga kura? Itakuwaje kwa mfano CC inabatilisha chaguo la delegates? Si ndio mwanzo wa kujenga kambi? Hili ndilo tatizo la ccm. CHADEMA angalieni upya mfumo wenu.
   
 13. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Kamati kuu,imeshaidhinisha jina la Joshua Nasary,kuwa mgombea Ubunge Arumeru
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu ukipata nafasi pitia katiba ya CDM utaelewa ni kwanini haya yote yanafanyika
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kamanda Nanyaro.Tunakuaminia sana.
   
 16. k

  kidonge ki1 Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  2likua hapo leo 2kihakksha mshkamano thabt,mzizi dawa pia alitoa chachu yake kuhuxu jmbo la Monduli,hawana jpya wana ccm wakajpake poda xaxa...wao wakat umewadia
   
 17. p

  politiki JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  FJM point yako ni nzuri mchezo wote inabidi umalizwe na kura zinapopigwa tu na si vinginevyo lakini kwa upande wa chadema nafikiri hii CC yao ni kikao cha mikakati zaidi ya kuteua jina la mgombea kama wanavyofanya CCM. kwahiyo labda wangekiita kikao cha kuwekana sawa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...