Nape aogopa kutia mguu Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape aogopa kutia mguu Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Jul 25, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Update.............
  *
  yule katibu wa uenezi bwana Nape nauye siku ya leo ameshindwa kuja mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili juu ya kuingilia uhuru wa mahakama kuhusiana na kesi ya uchaguzi ya jimbo la Arusha mjini. Nape ameshindwa kufika na hakimu amesema Nape ameitaarifu mahakama kuwa anaumwa. kesi hiyo imeahiriswa.  Wakuu, hivi karibuni yule katibu mwenezi wa chama kinacho chukua mazoezi ya kuwa chama cha upinzani bwana Nape Nauye, tulitaarifiwa atakuwa na mikutano moshi na Arusha. Lakini hali imekuwa ndivyo sivyo baada ya Nape kufanya mkutano Moshi na kukosa watu waeneo husika na kubaki na watu wake wakubeba toka wilaya za jirani na mji wa moshi.

  Nape alitarajiwa kutia miguu Arusha ila hali imekuwa ndivyo sivyo kwa sababu zifuatazo:
  1. Tulimweleza nape kabla ya kuja Arusha aje na majibu ya Kagoda, Richmond, Epa, Rada
  2. Ahakikishe watuhumiwa wote wamefikisha mahakamani kabla ya kutia miguu yake Arusha.
  3. Ahakikishe m/kiti wake wataifa anaingizwa kwenye kesi ya kuhujumu uchumi toka 2005.
  4. Ahakikishe serikali yake inatoa umeme siku mbili kabla ya kuingia Arusha bila kukatika.
  Nape na serikali ya chama chake walikosa majibu na kuamua kusitisha ziara hiyo Arusha na kuamua kurudi Dodoma, imedhibitika kuwa Nape amekataa kata kata kutia miguu Arusha pamoja na kushinikizwa aje lakini kakataa na kudai Arusha si mnaifahamu? Mimi siwezi kwenda Arusha sasa mpaka hapo nitakapo jiridhisha alisema Nape.
   
 2. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mbona mkuu tulikuwa tayari tu kuhudhuria mkutano haswa angefanyia pale NMC sasa alichoogopa ni nini hasa? Vijana walikuwa wamejipanga vema na kwa hamu kuhudhuria kusikiliza na kuijibu hotuba yake papo hapo uwanjani.
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tehe!

  Angekuja tu, manake tulikuwa tunamsubiri kwa hamu!...lol. Pole Nape!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Vijana wa kazi wa UNGA LTD wangemla kama kisusio...ha ha haaa!
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na walimpania bahati yake machale kumdesa akaishia MS....lol..
   
 6. D

  Derimto JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani huyu jamaa huwa saa zingine anaona mbali maana asingeamini ambayo yangemkuta tulimwandalia makarisho mazuri kweli lakini ndiyo hivyo wambea(tiss) wamempa habari
   
 7. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ukimpigia mbwa miluzi mingi kamwe hawezi kupata uelekeo, bora mbayuwayu akili za kuambiwa huchanganya na zake. Kijana is going to perish in politics very soon. Sasa sijui anatumwa na CCM au Masalia, mi kimsingi bado sijamulewa anakotaka kuelekea. Tutaona!
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  ame retreat, anakuja tena muda si mrefu.

  Pinda ameahidi mgao wa umeme kupungua sana kama si kwisha kabisa by 31st August, baada ya hapo bila shaka atakuja tu arusha.

  Endeleeni tu kujiandaa kumpokea kwa vifijo na nderemo, anakuja kuwapokea rasmi madiwani walioasi na kung'ang'ania vyeo!!
   
 9. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  alisoma alama za nyakati, kama moshi aliambulia wasafiri wa stand peke yake na mabango juu yakimpinga yeye na ccj yake akajua Arusha itakuwa kichapo!
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  arusha mbona magamba tupo wengi tu?
  ushauri wa miti shamba sometime noma.
   
 11. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kunguru mwoga huficha bawa lake.... ungetia maguu tu!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Eneo hilo ni [WCC]West Coast Camp, na mara zote wanamagamba wanahofia sana kufanyia mikutano hapo, maana wanajua watashindwa kuwadhibiti vijana wa kazi wa Ngaleloo!...Kwao ni uwanja wa Sheikh Amri Abeid, maana wakimwaga polisi mule watu wote wanawekwa kati!.
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Hao ndio CHADEMA, jioneeni wenyewe wanayoyaandika!
   
 14. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  CDM hawachoki siasa za uchwara. Nape kwani aliwapa ratiba ya ziara yake???? Msipende kudandia yasiyowahusu, malizeni mgogoro na madiwani wenu ambao wameapa hawatathubutu kutekeleza maagizo ya Kamati Kuu yenu kupitia barua ya Dr. Slaa. Aibu imewakuta madiwani wenu kutamka mbele ya wandishi wa habari kuwa KAMWE hawatishiki na barua toka taifani wao wanaangalia maslahi ya wapiga kura wao.
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Nothing new here!!
   
 16. c

  chief m Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape, NApe? Hamna kazi ya kufanya? Bangi zenu zimewasababishia mfikiri kwa kamasi badala ya ubongo, na atakuja arusha sasa tuone kati CCM na hiyo NGO nani mwenye nchi. Uwendawazimu huu umenichefua sana. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumkamia mtanzania mwenzake hata hujajua anakuja kuongea nini
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Taratibu ndugu!
  Heri yako wewe unayetumia ubongo kufikiri. We ndo Nape au?? Nape ni mtz mwenzako wewe!
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa wanaitwa 'kamata mwizi meeeen'
   
 19. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nilisubiri sana nisikie magari ya matangazo sikusikia kabisa nikajua labda amekutana tu na kamati ya UVCCM Mkoa indoor. Pale NMC ni patamu sana tungezunguka uwanja then tum discipline kwa pamoja na hata wangepiga mabomu njia pale za kutokea ni nyingi sana.
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Nape ampiga vijembe Mrema
   
Loading...