Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KIKAO NDO KINA ANZA Dr. Namala ameonge na anasisitiza kikao kiwe brief na detail, Dr. ulimboka kaongea amekwisha toa muhtasari wa mkutano wa tarehe 9/2/2012. Dr. Namala anasisitiza sababu...
6 Reactions
138 Replies
13K Views
Wakati ndio huu,jumatano hakuna kutoa huduma,hakuna sababu tena ya kuwategemea madaktari watetee maslahi yenu. Mbona matatizo yenu ni makubwa mno? Nyie ndio kada pekee katika sekta ya afya...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Makamanda wa cdm wakiongozwa na Habibu Mchange, Rajabu, Mwampamba wanazunguka kata zote za jimbo la kibaha vjijin kufungua matawi na leo wapo mpiji kote wanakozunguka wanavuna wanachama weng...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Haya ni maoni yetu ambayo haiyumkini yana mashiko.wameru ni watata,hawamtaki mtu mtata KAMA PAUL CHAGONJA.ukitaka kuzima moto zima na maji si moto.mytake Tunakuomba umpe madaraka Basilio Matei ktk...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
KATIKA maandiko mengi ya magazeti, katika makala za redio na televisheni, katika matamko lukuki yanayotolewa katika mikutano ya hadhara na soga za vijiweni, kila mahali nimekuwa nikisikia ujumbe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimevutiwa na habari kuu ya leo katika gazeti la Daily Monitor la Uganda, pamoja na mambo mengine najiuliza ile issue ya meremeta ilihusu JWTZ na sasa Jina la Luiteni Jenerali Silas Mayunga...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
WANASIASA na viongozi wa kuchaguliwa wameshauriwa kuwa na mahusiano mazuri na Mungu ili awape mvuto wa kukubalika mbele za watu na kutimiza malengo ya waliowachagua. Mwito huo umetolewa na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Uchaguzi mdogo wa kata ya vijibweni unaanza rasmi wiki ijayo ( Baada ya Diwani wa CUF kufariki). Kwa mujibu wa taratibu zetu tulipaswa kufanya utafiti ili kujua mtaji wetu na maeneo yanayohitaji...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Haya ni kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi leo Jumapili. Kwa uchache: (a) PCCB bado yawaandama watoa rushwa kambi ya Sioi (b) Chadema huenda wakatumia helikopta katika kampeni (c) Kundi la...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wana JF leo nilikuwa katika mmoja ya Mikutano nchini Canada. Katika kujadili masuala ya husuyo Tanzania na bila kufahamu kama walikuwemo wa-TZ ndani ya Mkutano ule uliokuwa unazungumzia Utalii...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
KUtoka mwananchi: Nilipokuwa huko nilipima afya yangu na hasa akili na mishipa ya damu na wataalamu wakaniambia nipo salama. Ninatarajia kupumzika baada ya mwaka mpya - Kikwete NImechukizwa na...
0 Reactions
185 Replies
17K Views
Ni mara nyingi tumeshuhudia wasanii mbalimbali nchini,wakitumika kwenye uhamasishaji majukwaani kama njia mojawapo ya kuwavutia wapiga kura katika mikutano ya kampeni, hii imekuwa ni mtindo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya vyama hivi vikubwa kupitisha majina ya wagombea wao, macho na masikio ya wananchi yapo kati ya wagombea wawili kutoka CCM na CHADEMA. Joshua Nassari na Siyoi Summari. Pamoja na kuwa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida leo wananchi wa wilaya ya kyela wamekutana maeneo ya viwanja vya siasa kyela mjini kujadili hatma ya jimbo lao pamoja na afya ya mbunge wao Dr.H.Mwakyembe, ambaye afya...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
:shock:The Deputy Secretary-General of the United Nations is an office created to handle many of the administrative responsibilities, help manage Secretariat operations, and ensure coherence of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu mgomo wa madaktari kama ukija kutokea kwa mara ya pili kwani mimi siamini,lazima tujilaumu wote kwani wewe na mimi tuna nafasi ya kutetea lile ambalo ni la maslahi ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tangu aingie madarakani moja ya malalamiko makubwa ya wananchi kwa JK ni woga wa kuchukua maamuzi magumu dhidi ya viongozi anaowateua yeye. Mifano ni mingi: Chenge-mpaka madhara yalipojitokeza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesikia kwa vyombo vya habari kuwa next wiki madokta huenda wakagoma ati kwa kuwa bado wizara inaongozwa na mawaziri wale wale waliosababisha mgomo wa awali kitu ambacho serikali kupitia kwa PM...
3 Reactions
72 Replies
6K Views
Watanzaniawanapoteza muda mwingi kwenye kusubiri......... Wakuu, Wana JF, tumeshaongea sana kuhusumambo mengi yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu, nakutuzidishia umaskini. Lakini hebu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…