Mkutano wa madaktari NSSF Water Front | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by vimon, Mar 3, 2012.

 1. vimon

  vimon Senior Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  KIKAO NDO KINA ANZA Dr. Namala ameonge na anasisitiza kikao kiwe brief na detail, Dr. ulimboka kaongea amekwisha toa muhtasari wa mkutano wa tarehe 9/2/2012.

  Dr. Namala anasisitiza sababu zilizosababisha kuhitilafiana/kutokukubaliana na meza ya majdiliano ya serikali. Madaktari wanatoa michango yao.

  Kikinuka nitawajulisha
  Kwa ufupi madaktari wamekubaliana kuipa serikali mpaka jumatano Bwana Mponda na Naibu wake Lucy wawe wameondoka pale wizara ya afya ili waweze kukaa meza mmoja na serikali kutatua mgogoro wao.

  Serikali ikishindwa kufanya hivyo basi mgomo utanza jumatano,madaktari wametumia busara kubwa sana katika mkutano wao wa leo,lakini inaonekana ofisi ya waziri mkuu na chombo kimoja cha habari vinatumika vibaya kuupotosha umma wa Tanzania.

  My take:

  serikali ifanye jitihada ya kuwaondoa hawa waliotuhumiwa ili wananchi wasije pata madhara tena kama mgomo ulio pita.
  Mungu ibariki Tanzania na watu wake
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nini kinajiri? Tupe updates mkuu!
   
 3. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kaka tuhabarishe hata kaka akijanuka.
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kikinuka kinuke hadi Arumeru
   
 5. vimon

  vimon Senior Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  wanaichambua serikali isivyo jali kutatua kero na madai yao,hawa jamaa wanamwaga point
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yaani unataka kusema lile sakata la madaktari limeanza tena?
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,484
  Trophy Points: 280
  Nahisi kama kuna sinema inataka kuanza hapa.
  hebu ngoja nikae vizuri...
   
 8. vimon

  vimon Senior Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  wewe kama unahela nenda kwa babu hapa mwisho wa siku nahisi yatafanywa maamuzi magumu hawa sio mbayuwayu
   
 9. vimon

  vimon Senior Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  madaktari wanachangia na kusisitiza wanajuwa madai yao yalikuwa ya kushughulikiwa hatua kuna mengine muda mfupi na mengine ya muda mrefu.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Vimon acha basi kikao kiishe, mbona hiyo ni closed meeting unawahi kubwabwaja?? who are you representing sasa wewe?? au ndio mliotumwa na serikali kunyonya hali za madaktari??

  @#$%^&*()(OIUGFCVBNM+_)(*&^%$# we
   
 11. vimon

  vimon Senior Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  basi sitoi tena updates
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu si umuache Vimon atupe habari sisi ambao tuko mbali na upeo wa hiyo habari? Hivi unadhani serikali haipo hapo Water Front?
  Mkuu Vimon tuhabarishe kama kinanuka tujue la kufanya mapemaaaa kama ni kwa Dr. Kifimbo tuweke appointment mapema. Hii ndio advantage ya kuwa na uwakilishi wa JF kila mahala
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Acha kususa tuhabarishe mkuu.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ikitokea hivyo matatizo yao yata sikilizwa mapema sana....
   
 15. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  bora kinuke tu mapemaaaaa
   
 16. vimon

  vimon Senior Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  nitaaribu solidarity ila baada ya masaa mawili nitatoa taarifa tena wadau tuendelee kuwepo
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Tupe taarifa baada ya kikao kuisha kama alivyoshauri MTM..
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Kumbe lile sakata la madaktari bado halijaisha!!
   
 19. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Serikal ya JK imeshindwa kuongoza,haiwezekan mpaka leo wafanyakaz na wahadhiri wa vyuo vikuu hatujapata mshahara.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hadi leo mshahara bado..! Poleni
   
Loading...