Omari Nundu, TIC, Pinda...nendeni Lamu Kenya muone

autopilot

Member
Jan 30, 2012
44
61
Cha ajbu wake ECO-IMPERIALISTS kutoka Kenya (WWF& CO) waliopinga tusijenge barabara Serengeti wako kimya juu ya huu mradi kwa sababu una manufaa kwa kenya

Tazama from 10:30

Screen+shot+2011-07-27+at+12.07.48.png

6781656608_841c2f8aa4_b.jpg
 
Last edited by a moderator:
bado wanatengeneza mchakato na kufanya upembuzi yakinifu watarudi kuja kutupa taarifa baadae
 
i did not see lamu project... just talking,,,

hii topic haifai hapa!!!
 
Subirini mtaona jinsi JK,CCM & Co watakavyo kuja na makongamano,MoU, Seminar na kutiliana saini za ujenzi wa bandari mpya Bagamoyo na reli mpya ya tanga- musoma na dar-mnz-kgm kisa wamesikia Kibaki kaweka jiwe la msingi Lamu. Yote ni usanii tu.
 
i did not see lamu project... just talking,,,

hii topic haifai hapa!!!
Mkuu niliwahi kuambiwa kuwa ukitaka kufanikiwa kirahisi angalia na wenzako wanafanyaje kitu gani hii itakusaidia kuokoa muda wa kufikiria saaaaaaaaaana kumbe solution ipo miaka 100 iliyopita. Nimeangalia kwa macho yangu leo mchana kupitia CITIZEN TV wakenya wamezindua rasmi ujenzi wa reli hiyo. Pia usisahau wanamalizia uwanja wa ndege wa kimataifa hapo nyuma ya mlima wetu Kilimanjaro sisi ndio kwanza tunaziba viraka kwenye viwanja vyetu na kusaini makabrasha then tunayatia kapuni baada ya kulipwa posho za sherehe ya kusaini. Mwanza airport iko hoi utadhani Mwanza iko Sudani ila ukiwauliza Precision watakwambia hakuna route yenye pesa kama Mwanza
 
Cha ajbu wake ECO-IMPERIALISTS kutoka Kenya (WWF& CO) waliopinga tusijenge barabara Serengeti wako kimya juu ya huu mradi kwa sababu una manufaa kwa kenya

Tazama from 10:30

Screen+shot+2011-07-27+at+12.07.48.png

6781656608_841c2f8aa4_b.jpg

Sisi wabongo ni watu wa ajabu sana, tumeshabikia humu ndani kupinga ujenzi wa Serengeti highway na sasa watu kila kona eti wanashabikia ujenzi wa Lamu port utafikiri itawasaidia nini. Watu wengi humu ndani hawatambui kuwa uharibifu wa mazingira wa Lamu port ni mkubwa kuliko ule wa kusadikika wa Serengeti highway.. Wake-up WaTanzannia...bao la kisigino hilo...:A S-coffee:
 
si usewe huo uharibifu ni nini au tupe link inayoelezea huo uharibifu? kuliko sisi na ngonjera zetu mara kuwait fund, mara mbia, mara recession, umeme ulikosekana tukashindwa kutia saini, mara upembuzi yakinifu, mchakato , na ngojera ya kuwa mradi mkubwa kusini mwa afrika na watu watakuja kuangalia (utali wa ndani)
 
Sisi wabongo ni watu wa ajabu sana, tumeshabikia humu ndani kupinga ujenzi wa Serengeti highway na sasa watu kila kona eti wanashabikia ujenzi wa Lamu port utafikiri itawasaidia nini. Watu wengi humu ndani hawatambui kuwa uharibifu wa mazingira wa Lamu port ni mkubwa kuliko ule wa kusadikika wa Serengeti highway.. Wake-up WaTanzannia...bao la kisigino hilo...:A S-coffee:
MZEEE sio bao la kisigino tu bali la masafa marefu wakati wenzetu walipokuwa wanafanya HARAMBEEE kuchangia wtoto wao kwenda KUSOMA HATA NJE YA NCHI sisi tuliendelea na KAMATI ZA SHEREHE ZA HARUSI;VIPAIMARA;MAULID;KOMUNYO;BESIDEI na mengine mengi. Ukiomba uchangiwe au hata KUKOPESHWA kupeleka mtoto shule unakuwa KITUKO;KEJELI naKICHEKO mtaani. Bado tutafungwa mabao mengi ngoja EAC ikomae tutaona.
 
Majirani wanasema not only do they think big but they also think biggest. Mradi unajumuisha bandari,reli , barabara hadi Sudan na Ethiopia,bomba la mafuta,viwanja vya ndege vitatu vya kimataifa(Lamu,Isiolo na Turkana). Wamethubutu sasa wanasonga mbele!
 
cha ajabu waliokuwa wanaongoza kupinga maradi wa serengiti ni asasi za mazingiza za Kenya wakisaidiwa na wazungu wa Ulaya na Marekani

Na sisi bila aibu tukaamua kuwasikiliza hawa waKenya

Kumbe wao wanakuja kutupiga bao
 
Sisi wabongo ni watu wa ajabu sana, tumeshabikia humu ndani kupinga ujenzi wa Serengeti highway na sasa watu kila kona eti wanashabikia ujenzi wa Lamu port utafikiri itawasaidia nini. Watu wengi humu ndani hawatambui kuwa uharibifu wa mazingira wa Lamu port ni mkubwa kuliko ule wa kusadikika wa Serengeti highway.. Wake-up WaTanzannia...bao la kisigino hilo...:A S-coffee:
 
Last edited by a moderator:
Omari Nundu ni mpenda maendeleo na najua atakuwa anasoma hizi habari lakini kama wizara yake haina pesa afanyeje jamani?
 
Back
Top Bottom