JK ndani ya mji wa Moshi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ndani ya mji wa Moshi....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by boybsema, Mar 4, 2012.

 1. b

  boybsema Senior Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Rais JK kaingia ndani ya mji wa Moshi mida hii akiwa ndani ya ulinzi mkali...kila kona ni polisi waliosheheni silaha nzito,msafara wake ni zaidi ya magari 30...atakuwa kwenye lango kuu la mlima kilimanjaro (marangu gate) jirani na kwa lyatonga wa kiraracha...
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Anata kupanda mlima mrefu kuliko yoyote Afrika.Itakuwa vema akaweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza Kuupanda.
   
 3. t

  true JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  si unajua rais wetu ni mtalii? Amemaliza utalii wa nje ya nchi, ss ameanza wa ndani ya nchi. Huyo ndo presidoo wa TZ BWANA!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nina mashaka naye sana!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,583
  Trophy Points: 280
  Kwani nani kafa huko.
   
 6. b

  boybsema Senior Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hahaha naskia kuna ishu za akina mama anaenda zindua
   
 7. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Sasa atembelee wapi Wakuu kama kila mahali mnamkandia? Awe Tz mnasema, akienda nje, nako mnamsema.
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  acha awatembelee wapiga kura wake.
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Karibu kj nipo karibu na meku kuna sehemu nzuri ya kubembea
   
 10. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Na kale kaugonjwa ketu kalikompatia sifa Babu wa Loliondo katamuacha kweli? Nasikia na yeye alikwenda kupiga kikombe cha babu! Nijuavyo mimi kama afya yako inahitaji msaada wa kikombe cha Babu basi ukijidai shujaa wa kupanda mlima Kilimanjaro ujue huo ndo mwisho wa maisha yako au utasababisha watu wakubebe kwenye yale machela yetu!............. Mungu ongoza mkono wako ili mheshimiwa rais wetu asikubali kupanda mlima Kilimanjaro kwani bado miaka mitatu tu tumpe heshima ya ustaafu!.........
   
 11. S

  Seacliff Senior Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mwacheni Jemadari wetu Mkuu atutembelee kwetu na sisi tujisikie kidogo. Kuna kata moja ya mbege inamsubiri pale Marangu Mtoni wakati akisharudi kupanda mlima. Ria Mbee!! Ukishakata kiu kimbia kadili na ishu ya madaktari wetu kule jijini - acha kusuasua na issue muhimu zinazohusu maisha ya watu.
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Gari ya ambulace itamfuata nyuma?
   
 13. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bila ya ambulance HAKUNA MSAFARA WA MKULU.
   
 14. f

  fisadimpya Senior Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  anatafuta kigamboni nyingine aiweke sokon
   
 15. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi anajua yanayoendelea hapa nchini au ni yale yale? Mtoa mada msaidie
   
 16. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mwakamu wake mzee wa mikasi amemwacha wapi,si ndo kazi zake kuzindua?au amechoka kufunua na kukata utepe!
   
 17. N

  Njaare JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona ghafla sana? Nahisi anataka kukimbia sakata la madaktari. Anamwachia pinda ahangaike nao. Pinda unali!
   
 18. N

  Njaare JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anaenda kuzuru kaburi la Mangi Thomas Marealle
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  kwa jinsi anavyopiga mwereka sidhani kama ana nia ya kuupanda mlima. Wasi wasi wangu ni kwamba labda anataka kuupiga bei mlima wetu!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  kweli jk ni mhudhuriaji mzuri wa misiba
   
Loading...