CCM kumtumia Mkapa Katika Ufunguzi Wa Kampeni Arumeru East Mmechemka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kumtumia Mkapa Katika Ufunguzi Wa Kampeni Arumeru East Mmechemka

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Puppy, Mar 5, 2012.

 1. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Watu Wa Meru mashariki wanakumbuka vizuri maneno yako Mh. Mkapa.
  siku ile ulipokuja kijiji nyumbani kwa marehemu mbunge Sumari (R.I.P) kufungua shule ya sekondari Akheri.
  ulisema kuwa ,wewe umekuja tu kufungua shule na sio lingine lo0lote eti kisa hawakukuchagua, na haukutoa lolote.

  wewe leo unategeme awameru watakusikiza kwenye ufunguzi? au ni wale mtakaowaleta kwa malori? watakuja na kusikiza muziki kisha watasepa.
   
Loading...