Natamani zitokee angalau chaguzi TANO mfulizo ili CCM ifilisike

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Kutokana CCM kutegemea pesa kuhonga wananchi ni vizuri tuombe Mungu zitokeze chaguzi zaidi ya tano ili wahonge mpaka wachakae. Ni vizuri tuanze kuhamasisha kale kamsemo ka KULA KWA CCM KURA KWA CHADEMA.
 
Unakosea sana kuamini CCM itafilisika, kabla ya watanzania wote hatujaisha kwa umaskini, kumbuka wanajichotea pesa hazina ambayo ni kodi zetu, umesahau scandal ya EPA walichota kiasi gani??unasahau wana wabunge wengi na wanachota ruzuku kubwa kuliko chama chochote? unasahau walivojimilikisha vyanzo vya mapato vilivoanzishwa na kodi ya wananchi wote wakati wa chama kimoja kama sukita, jengo la umoja wa vijana, viwanja vya michezo na vingine lukuki?? unasahau wanatumia magari ya serikali ya wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kwenye kampeni?? watafilisikia wapi??
 
Back
Top Bottom